Aizna
JF-Expert Member
- Jan 3, 2022
- 1,348
- 1,652
- Thread starter
- #261
Kwanza kabisa inabidi ujue Ezekieli hakuwa muisrael kama ulivyoaminishwa?
Nabii Ezekieli ni mtoto wa ndungu yake na ibrahimu aliekuwa anaitwa Nahori alizaa na milka mtoto alieitwa buzi
uyu buzi ndiye aliyekuja kuwa baba wa Ezekieli soma Ezekieli 1;3
Na unapokataa muisraeli sio mweusi sijui nikuelewaje? yakobo alizaa watoto 12 kwa wanawake wanne, na kati ya hao wawili ambao ni bilha na zilpa walikuwa ni mabinti weusi tiii kutoka misri;
uyo musa ambae anatoka kabila la lawi alikuwa na watoto weusi aliozaa na spora binti wa kikushi soma hesabu 12;1
Suleimani pia alizaa watoto wengi sana na binti za kiafrika kama meneleki aliyezaa na malikia wa sheba,
kwaiyo unapoongelea israel unaongea taifa ambalo ni mchanganyiko wa rangi weusi na waarabu,
na unaposema samweli hakuwa nabii [emoji15][emoji15][emoji15] inaonesha wewe hujui chochote kuhusu ukristo
Vitabu havijathibitisha mkuu