Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Ni swali maana lina kiulizo.Mrs.. Van; hili ni swali? Kama ni swali naomba uniambie wewe umechanja au haujachanja.. jibu likija pande yeyote katika hayo.. jipongeze pakubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni swali maana lina kiulizo.Mrs.. Van; hili ni swali? Kama ni swali naomba uniambie wewe umechanja au haujachanja.. jibu likija pande yeyote katika hayo.. jipongeze pakubwa
Ni swali maana lina kiulizo.
Umesha divert kabisa. Kwenye biblia inaelezea juu ya hayo mambo na kua yalimchukiza Mungu mpaka kushusha moto huko sodoma na gomora. Ni mambo ambayo katika dini yanakatazwa na yalioneshwa vile Mungu hakuyapenda.AFRICA bado sana.. sawa Asante kwa swali sitaki nikupotezee mda kuna maswali mengine hayapaswi kujibiwa ila kwa kutaka kuiweka sawa tu hao waliohariri vitabu ndio hawa hawa wanaohimiza mapenzi/mahusiano ya jinsia moja na kinyume na maumbile na wanaweka video pendwa za ngono mitandaoni na ndio hao hao wanatulete PROTOCAL-mfumo ambayo tunasoma-kuufata mashuleni na baadh ya nchi za AFRICA wanawalipa hao watu wa mapenzi ya jinsia moja kwa kigezo cha HAKI SAWA... malipo yanatoka moja kwa moja huko kwao
Umesha divert kabisa. Kwenye biblia inaelezea juu ya hayo mambo na kua yalimchukiza Mungu mpaka kushusha moto huko sodoma na gomora. Ni mambo ambayo katika dini yanakatazwa na yalioneshwa vile Mungu hakuyapenda.
Kama una mungu wako unayemuamini tofauti na wa wakristo basi jua maandiko yanakataza hizo tabia. Akili kichwani mwako
Kuhusu Ukristo sio Wafrica tu, hata Wazungu nao wana follow on the same path na sisi weusi, tupo sawa tu.Historia inaendelea kutuficha WAAFRICA
Waafrika zaidi ya 90% tuna majina ya tunayodai ya kikristo na ya kiislam bila kujua hayo ni majina ya wazungu na waarabu ata kabla ya hizo dini walikua nayo, Wazungu na Yesu wao, Waarabu na Mohammed wao, Asian na Buddha wao, Hindu, na wengineo.. Sasa sisi huku kwetu Masihi wetu nani? maana tumeng'ang'ania wa wazungu na waarabu.... Inatubidi turudi kwenye dini zetu za jadi kwenye mizimu ya mababu zetu....
Kuhusu Ukristo sio Wafrica tu, hata Wazungu nao wana follow on the same path na sisi weusi, tupo sawa tu.
Yesu alizaliwa Palestina sio Israel,Yerusaremu iko palestina,Ukweli ni kwamba hakukuwa na mtume muafrika kati ya wale mitume wa Yesu
Ila Kuna mitume walikuwa special for gentlies (watu wa mataifa) amabao sio Israel mfano ni mtume Petro.
Kumbuka Yesu alizaliwa alizaliwa Bethlehem huko Nazareth Israel ingawa alibeba package ya Dunia nzima
Ndio maana baada ya wao kujazwa nguvu za Roho mtakatifu aliwaambia
Nendeni muwe mashahidi wa mambo haya hata mwisho wa nchi
So Yesu akawa Mbegu ambayo Leo hii tumekuwa mashahidi wengi wengi Sana bila kujali Rangi, Kabila, Taifa,
Sina hakika kama nimekuelewa hapa!Mtu ni mweusi.. hapa kwenye waarabu, wachina, wahindi na wengine sawa sawa MZUNGU atengeneze/aunde gari alaf alipige rangi tofauti ila asili ya chuma itabaki gari ikiisha hiyo rangi iliyopigwa
Wewe unazungumzia dini na utamaduni.Hii madaa nilikuwa naipotezea sana kuisoma,kumbe nimeona na mimi ninamchango wangu wa kuchangia kwa mleta madaa,Kwanza ningekushauli huko uliko ukitaka kuzijua Dini kiukweli soma vitabu vya hadithi,masimulizi yanayohusu Dini hasa Ukristo na Uisilamu
Hizi Dini nyingi zimepotoshwa historia zake kwa makusudi na watu ili kulinda tawala za watu furani,mfano Ukristo umepotoshwa pakubwa sana baada ya kuingia Ulaya,huu unaouoni sasa hivi sio ukristo wenyewe kuanzia kuabudu,utamaduni pamoja na kila kitu,Ukristo haukutofautiana na Uisilamu wa leo unaouona ndiyo maana Yesu alivaa kanzu,alitawadha alisujudu na aliswali msikitini,na mitume wake ya watu sio wa na Majeneza,walizikwa na sanda tu kama Waisilamu,na makaburi yao hayakujengewa wala kuwekewa misalaba sana Juma ni dhambi kwa mwenyezi Mungu
Ukija kwa mama yake na Yesu Bikira Malia alivaa baibui,akavaa hijabu yaani alijistiri kama unavyoona Uisilamu na anaposwali alitawadha na hakuwahubiria wanaume wala kuimba alikaa mbali na alipokufa hakuzikwa na jeneza,inamana hiyo familia ikija Leo itaungana na Waisilamu na wataswali msikitini sio kanisani tena,sasa nataka kuja kwenye swala la mitume,Quruani inaeleza vizuri kabisa,kumekuwepo na Mitume laki tatu na sitini,kama sijakosei,katika hao mitume wengi ni kabila la Israel, mpaka mitume wa Mwisho ambaye alikuwa Mwarabu ambaye ni Mtume Muhamada (S.A.W)lakini walikuwepo wacha Mungu na Wafalme waafrika kama wa Habashi ambayo leo hii ni Ethiopia ambao Kwa wema wao na Hekima zao hata Mungu aliwakubali. Na hawa unaowaona Leo wanajiita Mitume,ni matapeli pazia la mitume lilishafungwa hamna mitume hapo,ila ni upigaji wa sadaka tu,sabau sifa ya Mitume hawana na hawaiwezi ni pamoja na mitihani majaribu na Maisha Magumu yaliyopitiliza
Kwa hiyo Bikira Maria angekuwa ulaya angekuwa anavaa kimini au suti,au gauni?na Yesu angekuwa anavaa kaptura,jinsi au suti?Usijifanye unajua vitu ndugu yangu,Mbona hao mitume wamekuja Mpaka Afrika kwa hiyo walikuwa wanabadilisha mavazi?Wewe unazungumzia dini na utamaduni.
Vai la kanzu na baibui ni vazi la uarabuni sababu ya mazingira ya joto na upepo.
Hayo mavazi ukiyafaa Ulaya utakufa kwa baridi,ukiyavaa afrika utakufa kwa joto.
Dini ni zaidi ya mavazi.
Mavazi uwakilisha tamaduni za sehemu husika.
Uwepo wa Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote, aliyeumba ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya, ni logical contradiction.We unaweza kuthibisha kuwa hayupo?
Huo ndio uthibitisho kwamba Mungu yupo?Punguza kiranga MKUU
Kimini kaptula sio vazi la Kidini.Ila ni mavazi ya kuvaa sirini mfano ndani,chumbani,michezoniKwa hiyo Bikira Maria angekuwa ulaya angekuwa anavaa kimini au suti,au gauni?na Yesu angekuwa anavaa kaptura,jinsi au suti?Usijifanye unajua vitu ndugu yangu,Mbona hao mitume wamekuja Mpaka Afrika kwa hiyo walikuwa wanabadilisha mavazi?
Mwenyezi Mungu amemuamrishia mavazi Mwanadamu ya kuvaa hayo mengine ni Mavazi ya shetani kama hujui,Mwanamke ameambiwa afunike kichwa afunike mikono na Miguu,na Mwanaume ameambiwa afunike kitovu mpaka magoti,je ulikuwa unalijua hilo?