Aizna
JF-Expert Member
- Jan 3, 2022
- 1,348
- 1,652
- Thread starter
- #201
Kumbe sio rangi ila ni uafrica ndio unakukereketa. Unajuaje miaka ya huko BC na AD kama kulikua na uafrica na blahblah zote za mabara. Wewe ndio soma historia vizuri maana unabishia kitu usichojua bila kureason mwenyewe
Kilichopo hapo ni tunafata tamaduni za watu zetu tumeziacha.. mababu/mabibi zetu walikuwa na uwezo kuomba chochote kwa M/MUNGU na wakapewa mfano mvua, nk na hawakuwa wanaiomba DINI=ni utaratibu wa jamii fulani.. sasa hivi jua linapiga yaani mpaka ubongo unachemka.. wazee wetu wangejua la kufanya ili mvua ipige irainishe hali ya hewa.. tumewaacha kwa kigezo cha ushirikina.. wakati wangepeleka mbuzi au ng’ombe milimani uko na mambo yangekuwa poa ... ukiona ng’ombe au mbuzi,kondoo usifikiri ushirikina wakina Abel na cain walipitia hizi stage tena kwa M/MUNGU mwenyewe sio kwenye DINI