Kwanini hakukuwa na Manabii/Mitume Waafrika (watu weusi)?

Kumbe sio rangi ila ni uafrica ndio unakukereketa. Unajuaje miaka ya huko BC na AD kama kulikua na uafrica na blahblah zote za mabara. Wewe ndio soma historia vizuri maana unabishia kitu usichojua bila kureason mwenyewe

Kilichopo hapo ni tunafata tamaduni za watu zetu tumeziacha.. mababu/mabibi zetu walikuwa na uwezo kuomba chochote kwa M/MUNGU na wakapewa mfano mvua, nk na hawakuwa wanaiomba DINI=ni utaratibu wa jamii fulani.. sasa hivi jua linapiga yaani mpaka ubongo unachemka.. wazee wetu wangejua la kufanya ili mvua ipige irainishe hali ya hewa.. tumewaacha kwa kigezo cha ushirikina.. wakati wangepeleka mbuzi au ng’ombe milimani uko na mambo yangekuwa poa ... ukiona ng’ombe au mbuzi,kondoo usifikiri ushirikina wakina Abel na cain walipitia hizi stage tena kwa M/MUNGU mwenyewe sio kwenye DINI
 
Mbona hueleweki? Kwani wewe unakatazwa kupeleka ng'ombe na mbuzi kama walivyofanya wazee. Nani amesema mambo ya ushirikina?

Imani yako ndio mustakabali wako. Kama unaamini kuhusu mababu well and good fanya kama wao sasa maana sijaona mtu akilazimishwa kuabudu imani flani.
 
Nimependa hapo pa mchina na muhindi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hapa ulipopapenda.. wenzako wametajwa kwenye vitabu husika vya dini.. kuanzia mabara yao mpaka asili yao hasa hao wachina... imeandikwa anaeijua vizuri atakuja kunisahihisha.. tafuteni elimu hata kama mtaipata mbali hata uchinani.. hii hapo na anaejua atakuja kuiweka vizuri .. sitaki kuamini kama M/MUNGU haijui AFRICA ni hawa walioyaweka mapokeo kwenye mfumo wa maandiko ndio tatzo ila M/MUNGU ni swafi kabsa na anatupenda sana WAAFRICA.. na wanavyotunyanyasa anaongeza mapenzi zaidi
 
Mbona hueleweki? Kwani wewe unakatazwa kupeleka ng'ombe na mbuzi kama walivyofanya wazee. Nani amesema mambo ya ushirikina?

Imani yako ndio mustakabali wako. Kama unaamini kuhusu mababu well and good fanya kama wao sasa maana sijaona mtu akilazimishwa kuabudu imani flani.

Nnachojaribu kukielewesha ambacho wewe haukitaki ni kwamba bado wanatutawala ( WANATUTAWALA)=UKOLONI (mambo leo) kwa vigezo vya kutupa misaada ya vitabu vya dini = nasisi tunakubali tu
 
Nijibu kwanza, halafu nitakujibu.

Una uhakika Mungu yupo? Kivipi?

Wewe vip? Kama haujaangalia picha la YESU hiyo inaitwa swali kwa swali... elezea kama wewe upo? Tuambie upo? Wap? Na kwa mujibu wa nan? na hatutaki maelezo ya vitabu vyako ZUSHI tunyooshee maelezo MKUU.. tunakuheshimu kumbuka hilo
 
Nnachojaribu kukielewesha ambacho wewe haukitaki ni kwamba bado wanatutawala ( WANATUTAWALA)=UKOLONI (mambo leo) kwa vigezo vya kutupa misaada ya vitabu vya dini = nasisi tunakubali tu
Ukoloni mambo leo wala hauhusiani na dini. Karne ya sasa ukoloni mambo leo upo kwemye mambo ya siasa na uchumi wala sio dini.
 
Wewe vip? Kama haujaangalia picha la YESU hiyo inaitwa swali kwa swali... elezea kama wewe upo? Tuambie upo? Wap? Na kwa mujibu wa nan? na hatutaki maelezo ya vitabu vyako ZUSHI tunyooshee maelezo MKUU.. tunakuheshimu kumbuka hilo
Kama mimi sipo au nipo (pick whatever you want), hilo linathibitishaje Mungu yupo?
 
Kwa Wakristo sio tu kwamba hayo unayo yasema lakini pia hakukuwahi kua na nabii ambaye sio Muisrael, HAKUNA, sijui dini zingine now kuhusu rangi, hili ni debatable; Waisrael ni watu wanao tatanisha sana kuhusu RANGI zao, wapo weupe kama Wazungu, wapo weusi (almaarufu mafaharasha) wapo wenye sura za Kiarabu au you may call Waarabu kabisa though ni Waisrael/Wayahudi nk, so kujua kama wote hao walikua weupe au Waarabu au weusi ni jambo ambalo hatuwezi ku prove ukweli wake, linabakia kua ni swali fikirishi tu. Ni swali ambalo pia unaweza kujiuliza kwamba Yesu pamoja na kwamba alikua Myahudi tena wa kabila la Yuda but hakuna mtu anaeweza kutwambia RANGI hasa ya Yesu ilikua IPI, HAKUNA, achana na ile cinema au Mkanda wa Yesu, yule aliye act ile sehemu ya Yesu ambaye alikitumia kitabu cha Luka, nae pia hakua Myahudi, alikua Mwingereza ambao tunajua kwa mujibu wa maandiko kwamba Waingereza nao ni Wamataifa kama tulivyo Wafrika.
 
Aaa kiranga ee jina lako litakuponza... na mwenye kiranga haliliwi
 
Ukoloni mambo leo wala hauhusiani na dini. Karne ya sasa ukoloni mambo leo upo kwemye mambo ya siasa na uchumi wala sio dini.

Tuendelee kuwasomesha watoto wetu waje kutusaidia sisi tumeshashindwa.. na wataendelea kuwasoma wagunduzi wa fuvu la kwanza, wagunduzi waumeme, na kuendelea kusoma binadamu wa kwanza alikuwa nyani hapa baadae uje? Kumwambia dunia ipo chini ya hao waliotunga hivyo vitabu ataweza kukataa kutawaliwa kweli?
 
Kwa Wakristo sio tu kwamba hayo unayo yasema lakini pia hakukuwahi kua na nabii ambaye sio Muisrael, HAKUNA, sijui dini zingine now kuhusu rangi, hili ni debatable; Waisrael ni watu wanao tatanisha sana kuhusu RANGI zao, wapo weupe kama Wazungu, wapo weusi (almaarufu mafaharasha) wapo wenye sura za Kiarabu au you may call Waarabu kabisa though ni Waisrael/Wayahudi nk, so kujua kama wote hao walikua weupe au Waarabu au weusi ni jambo ambalo hatuwezi ku prove ukweli wake, linabakia kua ni swali fikirishi tu. Ni swali ambalo pia unaweza kujiuliza kwamba Yesu pamoja na kwamba alikua Myahudi tena wa kabila la Yuda but hakuna mtu anaeweza kutwambia RANGI hasa ya Yesu ilikua IPI, HAKUNA, achana na ile cinema au Mkanda wa Yesu, yule aliye act ile sehemu ya Yesu ambaye alikitumia kitabu cha Luka, nae pia hakua Myahudi, alikua Mwingereza ambao tunajua kwa mujibu wa maandiko kwamba Waingereza nao ni Wamataifa kama tulivyo Wafrika.

Historia inaendelea kutuficha WAAFRICA
 
Tuendelee kuwasomesha watoto wetu waje kutusaidia sisi tumeshashindwa.. na wataendelea kuwasoma wagunduzi wa fuvu la kwanza, wagunduzi waumeme, na kuendelea kusoma binadamu wa kwanza alikuwa nyani hapa baadae uje? Kumwambia dunia ipo chini ya hao waliotunga hivyo vitabu ataweza kukataa kutawaliwa kweli?
Hizo ni theories tu za watu kama kina Darwin. Zipo theories tofauti za evolution of a man na moja wapo ni ya kwenye dini. Hizo theories walizosema zilikua na strengths na weaknesses zake.

Hata wewe ukiwa na theory yako kua binadamu wa kwanza alitokea wapi unaipeleka kunakohusika ili itumike
 
Wanapotosha sasa.. zinafundishwaje mashuleni sasa?
 
Ambayo haipotoshi ni ipi?

Mrs.. Van; hili ni swali? Kama ni swali naomba uniambie wewe umechanja au haujachanja.. jibu likija pande yeyote katika hayo.. jipongeze pakubwa
 
Back
Top Bottom