Scandinavia Countries hujasikia habari zake? Hata Jela ni Luxury Jail.Democracy ipi yakuwauwa watoto Gaza. Sa we mtoa mada nipe nchi gani ya kikristo ina Democracy.
Si bora hata hao warabu hawana Democracy lakini. Hospital bure, masomo bure, na wengi wao wanaishi kwenye majumba serekali zimewajengea, wengine hawalipi umeme, maji na wakichukua mikopo ya bank wanalipiwa sometimes. Nipe nchi ya kikristo yenye kufanya hayo.
Zipo zinazo jaribu ila zikianza tu zinakua Typically nchi za ki AfricaKwa nini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?
Demokrasia haiivii chungu kimoja kabisa na uarabu?
Hii ina athari gani kwetu pia kama nchi kwetu sisi ambapo utamaduni wa Kiarabu una mizizi pia ?
Hakuna choka mbaya Saudia unless huyo mtu sio raia. Watu wote wasio na ajira na matatizo wanalipwa.Scandinavia Countries hujasikia habari zake? Hata Jela ni Luxury Jail.
Nchi za Kiarabu Nyingi tu mbona za Demokrasia... Arabs Occupied Tunisia, Arabs Occupied Egypt, Arabs Occupied Syria, Arabs Occupied Lebanon, Yemen ya Sanaa, Iraq, Mauritania not Sure.
The Claim uliyotaja katika Arabs country naweza sema ni Qatar,Bahrin,Kuwait, Uae, Saudia ilikuwa zamani ila now wanalipa Kodi japo ndogo. Saudi ni kubwa na kuna maeneo ni choka mbaya
Wewe unahisi mfumo wa Ufalme upoje? Ni mfumo bora wa kutoa haki kuliko hata hio demokrasia yenu mnayoipigia chapuo.Watu pia wanahitaji kuwa huru kutoa mawazo yao kisiasa, kidini, uchumi, geopolitics n.k sio kushiba ugali na matembele tu.
Usione Waarabu usoni nenda ndio utajua, wana ukabila hatari kama sio Mhabi huna chako trust me. Kuna hadi Omba ombaHakuna choka mbaya Saudia unless huyo mtu sio raia. Watu wote wasio na ajira na matatizo wanalipwa.
Usione Waarabu usoni nenda ndio utajua, wana ukabila hatari kama sio Mhabi huna chako trust me. Kuna hadi Omba omba
View: https://youtu.be/UV5O-0sYmkI
Uislamu una asili ya mtu mmOJa kuwaona wananchi kama personal objects, na ndiyo Samia ana thinking/MENTALITY HIYO. Likewise was maguduli!Kwa nini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?
Demokrasia haiivii chungu kimoja kabisa na uarabu?
Hii ina athari gani kwetu pia kama nchi kwetu sisi ambapo utamaduni wa Kiarabu una mizizi pia ?
Demokrasia itatoweka kabisa watu wakijitambua ..Ni utamaduni wa wazungu.Mimi hoja yangu huwa hivi Democracy sio kwamba ni benchmark ya utawala wa dunia nzima kwamba ndio mataifa yote yaufuate.
Kuja kwa Democacy ni katika harakati tu za wanadamu kujaribu jaribu aina ya political ideologies au utawala. Usishangae miaka ya mbele kukaja na mfumo mwingine kabisa
Democracy ni ideology tu ambayo mataifa ya Magharibi waliadopt kutoka kwa wahasisi ambao ni Greece
Walichofanya nchi za Magharibi ni kuforce mataifa mengine duniani yatumie mfumo huo wakati wa vita ya ideology (Cold War) kati ya Democracy na Socialism
Nchi za Magharibi zimeingiza chaka mataifa mengi duniani ku-adopt Democracy wakiamini ndio msingi wa maendeleo lakini mwisho wa siku hakuna maendeleo yoyote, fujo tu kama Kenya na siasa za kipumbavu kama Tanzania
Mataifa yenyewe ya Magharibi yalijipata kupitia political ideology ya Monarchy walipokuwa wanapora mali za mataifa mengine kipindi cha Feudalism.
Halafu leo wanakuja kuhubiri Democracy inaleta maendeleo WTF! Wameleta Democracy ili waweze kuwatawala kupitia ukoloni mambo leo.
Cha ajabu taifa kama Uingereza kipindi cha Monarchy lilijipata sana ilikuwa taifa kubwa duniani lilikuwa WORKSHOP OF THE WORLD kama tunavyosema leo China ni The World's factory
Uingereza walifanya INVENTIONS kubwa sana kwenye kipindi hicho ila kwenye Democracy taifa hilo limekuwa kituko
Mataifa mengi ya Magharibi yameanza kuwa na democratic election iliyo kamili miaka ya 1960s na 1970s
Miaka ya nyuma ya hapo hakukuwa na democratic election kamili ilikuwa na kasoro nyingi kwa mfano wenye mali na vipato ndio waliruhusiwa kupiga kura, ubaguzi wa jinsia na rangi n.k
My take: ilitakiwa kila taifa lijiamulie mfumo wake wa utawala mbona kabla ya Democracy maisha yaliendelea kama kawaida
Wachina hawajatetereka kwenye kukubali mfumo wa Democracy wao wamejipata kwenye mfumo wao wa Socialism with Chinese characteristics
Na Waarabu nao waendelee na mifumo yao. Utafananisha life la UAE, Qatar, Saudi Arabia na taifa lolote la kidemokrasia la Africa, Latin America na nchi nyingi za Ulaya?
D
Demokrasia itatoweka kabisa watu wakijitambua ..Ni utamaduni wa wazungu.
Kwa hiyo democracy ni incompatible with Arabs??Zipo zinazo jaribu ila zikianza tu zinakua Typically nchi za ki Africa
Mfano Tunisia, Algeria, Libya na Morocco baada ya Arab spring wamefuata Democracy ila ndio Rushwa na upuuzi mwengine unazidi kasi,
Mwaka 2011 Gdp per capita ya Tunisia ilikua ni $4400 na mpaka 2023 ni $3900 wanashuka kiuchumi same kwa majirani zao kina Libya walifika hadi $14,000 per capita ila sasa hivi ni $6000.
At same time wenzao ambao hawafuati hio Democracy wanachanja tu mbuga. Hakuna Nchi yenye Mfalme middle East ambayo ni masikini.
Kwa hiyo kwa Tanzania tungekuwa mbali zaidi kama Nyerere na kabila lake la Wazanaki wangekuwa Wafalme??Wewe unahisi mfumo wa Ufalme upoje? Ni mfumo bora wa kutoa haki kuliko hata hio demokrasia yenu mnayoipigia chapuo.
Kuku elezea kilayman uelewe.
Assume wachaga ndio wameomba uhuru wa Tanzania na wakapata, walivyorudi wakachukua Tanzania wakaita Ma Chief ya kabila yote, wakakubaliana wachaga watakuwa wafalme na makabila yata swore Allegiance na wataanzisha Shura (kama Bunge) na machief wote wata participate.
Kwenye Shura ndio sheria, Government policy, Economic policy na shughuli zote za Serikali zinapita, hili ni Bunge ambalo halina wabunge feki bali kila mtu ana represent kabila lake na kachaguliwa kaaga kwao, hakuna Uchawa humu wala kusifia ovyo ovyo.
Kutokana na mfumo huu ndio maana unaona Nchi za kifalme mtu asie na kazi wanalipwa mshahara, mama wa nyumbani analipwa mshahara, anayeumwa anatibiwa bure, Elimu bure, vitu kibao wanapewa benefits, kwanini? Sababu ni wananchi wenyewe ndio wanatunga hizo sheria na sio puppets wa serikali.
Nchi nyingi za kidemokrasia kuanzia mtoto anazaliwa mpaka anakua anaandaliwa kuwa slave wa corporations.
Siku moja tutapata uhuru kwa kuiondosha demokrasia ,wataanza Zanzibar kwanzaKutakuwa na utawala gani badala ya demokrasia?
Nadhani si utamaduni wao na ndio maana nchi za Kiarabu zilizoijaribu zimefail vibaya hasa kiuchumi kuliko ambazo hazijajaribu kuwa na huo mfumo wa kimagharibi wa demokrasia.Kwa nini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia? Demokrasia haiivii chungu kimoja kabisa na uarabu? Hii ina athari gani kwetu pia kama nchi kwetu sisi ambapo utamaduni wa Kiarabu una mizizi pia ?