Kwanini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?

Kwanini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?

Mfano wako wala hauendani na comment niliyotoa​
Hauendani kivipi? Mfano wako si ni sawa na kusema tu Hata Hitler na Makaburu wa Africa Kusini waliziletea nchi zao maendeleo kwa hiyo tnaweza tu kuwa na tawala za mifumo hiyo ya kikatili ilimradi tunapata maendeleo!
 
Democracy ipi yakuwauwa watoto Gaza. Sa we mtoa mada nipe nchi gani ya kikristo ina Democracy.

Si bora hata hao warabu hawana Democracy lakini. Hospital bure, masomo bure, na wengi wao wanaishi kwenye majumba serekali zimewajengea, wengine hawalipi umeme, maji na wakichukua mikopo ya bank wanalipiwa sometimes. Nipe nchi ya kikristo yenye kufanya hayo.
Ni nani anaewafundisha huu ujinga?

My foot!
 
Kwasababu demokrasia ni mfumo wa kimagharibi,hata Afrika hakuna nchi ya kidemokrasia ukifumbua macho
 
Mnaambiwa kuwa uarabuni wanakula bure, kulala bure, kila kitu bure na ukioa unalipiwa mahari kisha unapewa nyumba.

My foot!
Wapi wanakula bure nchi gani hio ili twende, ukristo ni uwongo kama mtume wao Paulo.

Nacho kijua warabu hata Trump anaenda waomba mpaa kalamu hahaha afu wanamnunulia Rais ndege inayo tengenezwa kwao hio kama sidharau ni nini tena.

Ukweli unauma Qatar mwananchi wake akiwa na deni analipiwa, mishahara yao mikubwa, akitaka kuowa anapewa pesa.

UAE special Abu dhabi na Sharjah wanalipiwa madeni mara kwa mara, mpaa chakula serekali imeweka maduka yanaitwa AlTauwan united au Abu Dhabi Cooperative Societ au mwanachi anapata discount kuanzia 35% mpaa 60%. Mambo mengi sana ambayo hakuna nchi za kikristo wanayafanya.

Kuwait pia wanajitahidi pia.
 
Kwa nini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?

Demokrasia haiivii chungu kimoja kabisa na uarabu?

Hii ina athari gani kwetu pia kama nchi kwetu sisi ambapo utamaduni wa Kiarabu una mizizi pia ?
Demokrasia kwa muktadha upi?...,kupiga kura ?
 
Demokrasia kwa muktadha upi?...,kupiga kura ?
Kwa muktadha mpama wa uchaguzi huru na haki, uhuru wa mihimili, haki za binadamu, uhuru wa habari, uhuru wa dini, kujieleza n.k
 
Kwa muktadha mpama wa uchaguzi huru na haki, uhuru wa mihimili, haki za binadamu, uhuru wa habari, uhuru wa dini, kujieleza n.k
Kuna nchi inayotekeleza hayo kwa asilimia 100?....haipo
 
Kuna nchi nyingi sana zinazojiita za kidemokrasia zimezidiwa na UAE, Qatar, Kuwait, Saudi Arabia n.k kiuchumi​
Shida ni kwamba watu wamekariri maana ya demokrasia wakiinasibisha na mfumo wa kisiasa wa vyama vingi sambamba na uchaguzi.

Watu wanashindwa kuelewa maana pana ya demokrasia kwamba nchi yoyote inayoongozwa kwa serikali kufuata misingi ya haki na pasipo viongozi wake kujihusisha na vitendo vya kifisadi na pia kuwahakikishia wananchi wake mahitaji muhimu ya kibinadamu na inayoepuka kuwaonea wananchi wake, hiyo nchi ni ya kidemokrasia bila kujali kama ina mfumo wa vyama vingi au la na inafanya uchaguzi au la.
 
Mfumo wa democracy upo kwa ajili ya kutugawa na kutufanya tugombane wenyewe kwa wenyewe
 
Wapi wanakula bure nchi gani hio ili twende, ukristo ni uwongo kama mtume wao Paulo.

Nacho kijua warabu hata Trump anaenda waomba mpaa kalamu hahaha afu wanamnunulia Rais ndege inayo tengenezwa kwao hio kama sidharau ni nini tena.

Ukweli unauma Qatar mwananchi wake akiwa na deni analipiwa, mishahara yao mikubwa, akitaka kuowa anapewa pesa.

UAE special Abu dhabi na Sharjah wanalipiwa madeni mara kwa mara, mpaa chakula serekali imeweka maduka yanaitwa AlTauwan united au Abu Dhabi Cooperative Societ au mwanachi anapata discount kuanzia 35% mpaa 60%. Mambo mengi sana ambayo hakuna nchi za kikristo wanayafanya.

Kuwait pia wanajitahidi pia.
Uliyoyaeleza yanamaanisha kula bure. Mbona unaniuliza tena ni wapi, ilihali wewe ndiye unayetaja.

Hizo ni propaganda za kuwaaminisha kuwa nchi ikiwa ya kiislamu maisha yanakuwa rahisi, ili mpiganie kuleta uislamu.

Halafu usichanganye mambo, Nchi ya kikristo ni moja tu duniani, Vatican.
 
Back
Top Bottom