Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Nionyeshe wapi niliandilka kula bure au unaleta uwongo wa mtume wenu paulo. Unapo sema nilimanisha.kula bure wapi. Au nifikra zako unazigeuza ziwe fikra za wengine.Uliyoyaeleza yanamaanisha kula bure. Mbona unaniuliza tena ni wapi, ilihali wewe ndiye unayetaja.
Hizo ni propaganda za kuwaaminisha kuwa nchi ikiwa ya kiislamu maisha yanakuwa rahisi, ili mpiganie kuleta uislamu.
Halafu usichanganye mambo, Nchi ya kikristo ni moja tu duniani, Vatican.
Unapo ongea leta fact sio maneno tu ya kutune unavyo taka wewe.
Nilicho ongea kiko wazi kabisa nchi za kiarabu au za kislam mnasema hazina democracy wapi nchi za kikristo zina democracy hamkunipa jibu.
Nilicho endelea nikasema labda ya kuwauwa watoto Gaza kupeleka silaha Israel hio ndio democracy kwao.
Nilicho ongea kingine si bora hao warabu hawana democracy nchi zao Shule bure, hospital bure, kuna wakati wanalipiwa madeni nimezitaja.nchi kama Qatar. UAE na Kuwait.
Nchi za Europe.mpaa barabara unalipia hio ndio democracy labda democracy ya mtume wenu Paulo aliye ota mara kamuona Yesu. Mara kaona mwanga walio kuwa naye hawakuona mwanga. Mara alizimia hahaha ukristo ni uwongo endeleni kuuza.kanga tu.