Wapi wanakula bure nchi gani hio ili twende, ukristo ni uwongo kama mtume wao Paulo.
Allah Anasemaje kwenye Quran 3:55
when Allah said,(Allah aliposema) “O Jesus,(Ewe Jesu) indeed(Hakika) I will take you (Nitakuchukua)and raise you to Myself(na nitakunyanyua mimi mwenyewe) and purify you(na nitakutakasa) from those who disbelieve (kwa wale wasikuamini makafiri )and make those who follow (nitawafanya wafuasi wako wakristo)you superior to those who disbelieve(wawe juu dhidi ya wasiokuamini wanakufuru) until the Day of Resurrection.(hadi siku ya kiama) Then to Me is your return,(hayo ndio marejesho yangu kwenu) and I will judge (nitahukumu)between you (kati yako)concerning that in which you used to differ.(dhidi ya wale wanaokuletea mfarakano)
Hii aya kwa Muislam anayeleta Dhihaka dhidi ya Ukristo ni mshenzi kabisa anastahili Fatwa kama ile ya kule Iran aliyopewa Trump na etanyahu adui wa Allah.
Kama Uongo weka tuujue.. Maana Kama Quran na Mohammad waliukubali ukristo na Paulo kaandikwa ni Mtume wa Massiah Tuwekee huo Uongo and Jibu.
Kama Ukristo ni Uongo na basi unamtusi Allah kuwa ni mjinga na muongo Quran ya Allah iliyoandika aya 5:46 kuwa anathibitisha Ukristo na Uyahudi kuwa ni kweli. Quran na uislam ndio uongo basi. Sisi tunakupa ushahidi wewe utabaki kuwa Ayatollah muongo asiye na ushahidi.
Quran 5:46 Kisha tukafuata nyayo za Manabii, tukamtuma Isa bin Maryamu, akiisadikisha Taurati iliyoteremshwa kabla yake. Na tukampa Injili yenye uwongofu, na nuru, na inayosadikisha yaliyoteremshwa katika Taurati, ni mwongozo na mazingatio kwa wachamngu.
Quran 5:46 : Then in the footsteps of the prophets, We sent Jesus, son of Mary, confirming the Torah revealed before him. And We gave him the Gospel containing guidance and light and confirming what was revealed in the Torah—a guide and a lesson to the God-fearing.
وَقَفَّيْنَا عَلَىٰٓ ءَاثَـٰرِهِم بِعِيسَى ٱبْنِ مَرْيَمَ مُصَدِّقًۭا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ مِنَ ٱلتَّوْرَىٰةِ ۖ وَءَاتَيْنَـٰهُ ٱلْإِنجِيلَ فِيهِ هُدًۭى وَنُورٌۭ وَمُصَدِّقًۭا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ مِنَ ٱلتَّوْرَىٰةِ وَهُدًۭى وَمَوْعِظَةًۭ لِّلْمُتَّقِينَ ٤٦
Wewe Muislam fake ni Muasi kafir Quran inakutambua acha kusumbua watu aya chini soma hiyo Quran 5:47
Basi wahukumu watu wa Injili kwa yale aliyoteremsha Mwenyezi Mungu ndani yake. Na wale wasiohukumu kwa aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, hao ndio waasi.
Quran 5:47 : So let the people of the Gospel judge by what Allah has revealed in it. And those who do not judge by what Allah has revealed are ˹truly˺ the rebellious.
وَلْيَحْكُمْ أَهْلُ ٱلْإِنجِيلِ بِمَآ أَنزَلَ ٱللَّهُ فِيهِ ۚ وَمَن لَّمْ يَحْكُم بِمَآ أَنزَلَ ٱللَّهُ فَأُو۟لَـٰٓئِكَ هُمُ ٱلْفَـٰسِقُونَ ٤٧
Nacho kijua warabu hata Trump anaenda waomba mpaa kalamu hahaha afu wanamnunulia Rais ndege inayo tengenezwa kwao hio kama sidharau ni nini tena.
Allah Peponi anasema atawapa Ndizi huko Firdaus na Makochi jiulize na hili wewe kwenu mnayo makochi na ndizi mda wowote unapata gengeni, Mohammad anawadanganya Allah atawapatia peponi, Allah na Qatar na Trump wanatofauti gani?
Peponi kumbe pia mnalala kwenye mahema majuzi hahahahaha kati nilikuwa bored nikasoma Quran 55:72 nilicheka sana... sasa Mahema Jannah kwa ajili ya nini haswa? kivuli? au vumbi la upepo au Mvua? hahaha niliposoma interpretations ya hiyo aya kumbe ukiwa una sex usionekane hahaha, Jennah ni jangwa pia Mtume wenu aliwadanganya sana waarabu.
These pavilions are wondrous tents, made of pearls, each one is made from a single, hollowed-out pearl. They are sixty miles high; according to some reports they are sixty miles wide. al-Bukhaari reports from ‘Abdullaah ibn Qays that the Messenger of Allah (ﷺ) said,
“The tent is a hollowed out pearl, thirty miles high; in each corner of it the believer will have a wife whom no one else can see”. Abu ‘Abdus-Samad and al-Haarith reported from Abu ‘Imraan that the wording was
“sixty miles high” [Sahih al-Bukhaari, Kitaab Bid’ al-Khalq, Baab Sifaat al-Jannah, Fath al-Baari, 6/318]
Ukweli unauma Qatar mwananchi wake akiwa na deni analipiwa, mishahara yao mikubwa, akitaka kuowa anapewa pesa.
Kama sifa hizo basi wafanyakazi waliokuwa wanajenga viwanja vya world cup wasingepata shida, wajua mkataba wa ku abolish slave trade hawajawahi sign most of arabs and islamic country - so ukiwa black wewe ni Mtumwa wa Mwarabu na Allah pia.
UAE special Abu dhabi na Sharjah wanalipiwa madeni mara kwa mara, mpaa chakula serekali imeweka maduka yanaitwa AlTauwan united au Abu Dhabi Cooperative Societ au mwanachi anapata discount kuanzia 35% mpaa 60%. Mambo mengi sana ambayo hakuna nchi za kikristo wanayafanya.
hapo umesema wanalipiwa and then ukachomeka wana pata discount! so story ni ya uongo! i rember zamani kuna mtu alikuwa akiishi Kuwait miaka zaidi ya 15 hivi time hizo fuel huko kwa wananchi na wageni wote ilikuwa kama 120 kwa tzs wakatoa tangazo kuwa watapandisha bei kama 10tzs nasiki mingong;ono ilikuwa mikubwa wakilalamika. kuna vitu tunakuza issue za free lunch sidhani kama zipo hata kwa Gadaffi walimsingizia sana hizo sifa kumbe ilikuwa ni kwa kabila lake tu na waliojiingiza kama kuoa n.k mpaka wapambane kula keki ya taifa
Kuwait pia wanajitahidi pia.
Acha kuutukana Ukristo Mtume wenu alikataza kabisa kusema Mkristo muongo aliwaasa mnyamaze tu kama unahisi ni uongo ila kamwe usisema ni uongo maana watu wa kitabu we know everything about creations of Islam kuwa ni false. So Mohammad kila alilolisema kujidai Allah ni kweli aliumbuliwa faster kama mimi navyowapasua.