Kwanini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?

Kwanini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?

Democracy ipi yakuwauwa watoto Gaza. Sa we mtoa mada nipe nchi gani ya kikristo ina Democracy.

Si bora hata hao warabu hawana Democracy lakini. Hospital bure, masomo bure, na wengi wao wanaishi kwenye majumba serekali zimewajengea, wengine hawalipi umeme, maji na wakichukua mikopo ya bank wanalipiwa sometimes. Nipe nchi ya kikristo yenye kufanya hayo.
Una akili kweli..? Mbona wanatorokea ulaya 😁😁😁😁 kama vyote wanavipata kwao..?
 
Kama kuna maisha nchi za kiarabu mbona hamkimbilii huko badala yake mnakimbilia ulaya na marekani kutafuta maisha ?
 
Una akili kweli..? Mbona wanatorokea ulaya 😁😁😁😁 kama vyote wanavipata kwao..?
Nchi za kiarabu za Kifallme wanaitwa Ulaya na hawatorokei huko, Tofautisha Waarabu wa Africa ambao mifumo yao ya uongozi kama sisi na hao wanaotumia Monarchy systems.

Nchi za GCC wengi ndio wa miliki wa Mali nyingi za Ulaya na Usa, wanaingia Visa Free hizo nchi za ulaya, sometime unakuta Duration ya Visa free hadi miezi 6.
 
Kama kuna maisha nchi za kiarabu mbona hamkimbilii huko badala yake mnakimbilia ulaya na marekani kutafuta maisha ?
image.jpg

Nchi kumi zenye proportion kubwa ya migrants saba zinatoka Hapo Gulf

Na hata ukiangalia Total migrants Population Ukitoa Ujerumani hakuna Nchi zenye Migrants wengi kushinda Saudi na UAE hapo Ulaya.
 
Kama kuna maisha nchi za kiarabu mbona hamkimbilii huko badala yake mnakimbilia ulaya na marekani kutafuta maisha ?
Nani kakimbilia huko we umeisha enda nchi za Uarabuni ukaone wakristo walivyo jazana huko hebu nenda Dubai tu wacha kwingine
 
View attachment 3402081

Nchi kumi zenye proportion kubwa ya migrants saba zinatoka Hapo Gulf

Na hata ukiangalia Total migrants Population Ukitoa Ujerumani hakuna Nchi zenye Migrants wengi kushinda Saudi na UAE hapo Ulaya.
Bora umempa panadol atajua wengi wamekimbilia uarabuni haswa hao wakristo na mahindus na hao wote wana chukia Uislam lakini ajabu wamejazana uarabuni.
 
Democracy ipi yakuwauwa watoto Gaza. Sa we mtoa mada nipe nchi gani ya kikristo ina Democracy.

Si bora hata hao warabu hawana Democracy lakini. Hospital bure, masomo bure, na wengi wao wanaishi kwenye majumba serekali zimewajengea, wengine hawalipi umeme, maji na wakichukua mikopo ya bank wanalipiwa sometimes. Nipe nchi ya kikristo yenye kufanya hayo.
We jamaa vp, kwani kasema nchi ya Kiislamu? Ama make naona ushakurupukia kwenye Ukristo. Waarabu ni kama punda wanaendeshwa kwa fimbo tuu otherwise hawafiki kokote.
 
Kufupisha tu Qur'an inamtambua Yesu ni Mtume na Waislam wote wanamuamini hiyo aya ipo against wakristo kabisa kusema wanao mfata Yesu nyie mnamfata Paulo sio Yesu.
Waislam mnamfuata Yesu kwa Lipi punda wewe, unajifanya huelewi Aya hapo inaposema wafuasi wako Yesu watakuwa juu dhidi ya Waislam hahaha Ulishasikia wakristo wanamfuata Yesu au Paulo? unadhani sisi ni matahahira kama Nyie Mnamfuata Mohammad na Allah mmemtupa. Allah anachosema mnakataa mnafuata ya Mudy.

Weka Aya ambayo Wakristo wameambiwa wamfuate Paulo na wamuache Yesu. we need tucheke upumbavu wako humu.
Story za Qatar walio jenga kwani hao wananch,i mimi naongelea wananchi wewe unaleta ukenge wako.
Kasome vizuri nadhani mwezi mmchanga ushakufika
We hivi huwa unafahamu au unarukia kujibu tu hujui unajibu nini na hujui mtu anaongelea nini.
Ndio maana nakuita fake Muslim kila unalosoma linakuruka sababu iblis ndugu yenu ki imani
 
Waislam mnamfuata Yesu kwa Lipi punda wewe, unajifanya huelewi Aya hapo inaposema wafuasi wako Yesu watakuwa juu dhidi ya Waislam hahaha Ulishasikia wakristo wanamfuata Yesu au Paulo? unadhani sisi ni matahahira kama Nyie Mnamfuata Mohammad na Allah mmemtupa. Allah anachosema mnakataa mnafuata ya Mudy.

Weka Aya ambayo Wakristo wameambiwa wamfuate Paulo na wamuache Yesu. we need tucheke upumbavu wako humu.

Kasome vizuri nadhani mwezi mmchanga ushakufika

Ndio maana nakuita fake Muslim kila unalosoma linakuruka sababu iblis ndugu yenu ki imani
Wewe kenge hebu rudia kasome nilicho andika nimesema Waislam wanamuamini Yesu ni Mtume, wacha kugeuza maneno.

Wapi nilisema Waislam tunamfata Yesu hebu nionyeshe, au huwa kama kawaida yako ukijibiwa point unarukia matawi mengine nipe wapi nimesema Waislam tunamfata Yesu. Sisi tunamfata Mtume Muhammad natunamheshimu Yesu kama Mitume wengine wa Mwenyezi Mungu.

Yesu alitumwa kwa kondoo walio potea wa Kiyahudi sio kwetu.

Wewe lipi unalo fata kutoka kwa Yesu? Wakati Yesu alisema yeye katumwa kwa kondoo wa kiyahudi Wewe kondoa wa kiyahudi hahaha. Yesu kasema hakuna binadamu kawahi muona Mungu wewe unabisha. Yesu kasema Mungu ni mmoja tu ni Mungu wake na Mungu wetu wewe unabisha, unasema Yesu ni Mungu hahaha. Wewe unafata mafunzo ya Paulo sio ya Yesu.
 
Unamaa
Kwa nini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?

Demokrasia haiivii chungu kimoja kabisa na uarabu?

Hii ina athari gani kwetu pia kama nchi kwetu sisi ambapo utamaduni wa Kiarabu una mizizi pia ?
nisha demokrasia ipi? Egypt,Algeria,Yemen,Libya hizi nazo hazina?
 
We kenge mmoja utafananisha Mtume Muhammad alitabiriwa kwenye Taurati
Tizama Chizi mpya huyu Yaani Torati imtaje Mudy mabwaku haya... Kwa hiyo Quran imeongopa? Maana Quran imezungumzia Yesu kwenye Injil ndie aliyetaja kuwa atakuja Ahmed sasa huiamini Quran ghafla! We ni punda aliyethibitishwa. Alafu unajaua maana ya Neno Ahmed? Mtume wenu anaitwa Ahmed? au Qutham hahahaha
atakuja Mtume ambaye ni cousin wa wayahudi nani kama sio wajukuu wa Ismail. Kasome bibilia unapata mmoja kwa moja utume wa Mtume Muhammad, .
I told you nafahamu kila uongo katika uislam, Alafu Mungu hawezi kuwa na Mtume Govi, Mohammad hakutahiriwa alikufa na Govi lake

Kwanza Mtume wenu asili yake ni Yemen na hata alikuwa akiwasifia kuwa Yemen people ndio uzao bora na Quraish asili yao ni Yemen na walimove hadi Mecca hahahaha so hawana undugu wala vina saba na Wayahudi.

Pili Ishmail Mama yake ni Egyptian black and Father Aramaic so Wakizaa mtoto anageuka Mwarabu? hahahaha ukipinga hili according to Islaimic Source Ishmail alijifunza Kiarabu akiwa young age kadhaa sasa anawezaje kuwazaa watu waarabu walimfundisha lugha ya kiarabu? Lugha ya Quraish unatumia tricks? kama Allah? and mkimuita Ishmail ni nabii basi Quran inasema Mohammad ni mtume wake wa Kwanza kwa Waarabu so Allah alijua Ishmail hakuwa Arabs wala Ibrahim la sivyo amewaongopea kama Sisi Wakristo aliposema Yesu hakusurubiwa hahahaha

Pia Quran inasema pia hakuwahi tuma mtume asiyeongea lugha ya watu wake.

Mulislim hamsomi vitabu vyenu mnaishia kuwa waongo kwa kila tamko mnalotoa. mnaenjoy nini kuongopa?
Kuna siku mtu alinidanganya eti Mohammad alikuwa na watoto kibao niliishia kucheka yaani hamjui hata Quran kama inasema Mohammad sio baba wa mtoto yeyote, na Arabs walimcheka baada ya mtoto wake wa kiume kichanga kufa kuwa amekatwa uzao...Quran 108:3 vichekesho hawa kina Agakhan, Mfalme Hussein wa Jordan wanajifanya ni vitukuu vya Mtume hahaha Quran 40:30

We know Islamic cult cover to cover. Najua unaleta ujinga ili ujifunze now you know Siku mtu akikuambia Ishmail ni Muarabu mwambie Quran inakataa.
Na Quran imeandika kuwa Mitume inayofuata ni kutoka Kizazi cha Isaac,Jacob(Israel)
mnambiwa wacheni kina Kedar waimbe hizo Qur'an
Unajua maana ya Quran? hebu Google maana Muslims hawajui chochote kuhusu Aramaic language wao wanadhani ni Kiarabu, wanakaclaim Quran bila kufahamu maana yake.
sio yule Paulo hajulikani kwa Yesu na wala hakuwa mwanafunzi wa Yesu. Yesu anafundisha Mungu ni mmoja yeye anasema wako watatu kwenye umoja hahaha.
As long umeamua kuitukana Quran its ok for Me Quran inasema Mitume wa Yesu aya ambayo unaikataa.

Mungu ni mmoja na ana nafsi tatu. Nilishakuambia unieleze maana ya Tahweed ukasepa mbio... Allah wenu anajiita Plural Mubadala ya Singular, Allah wapo Wengi hata alipoambiwa anaweza kuwa na Mtoto Akasema labda apate thuwaiba kwa viumbe vya aina yake so Allah wapo kibao bora sisi Tunasema nafsi Tatu and Mwanzo wa Biblia imeandikwa Eloim mean Gods.

Kisha Kumbuka ewe fake Muslim Quran imekuonya 2:42 Usichanganye Ukweli na uongo wenu wa Uislam au kuukataa ukweli wakati unajua ni kweli alafu unapinga.
 
Tizam Chizi mpya huyu Yaani Torati imtaje Mudy mabwaku haya... Kwa hiyo Quran imeongopa? Maana Quran imezungumzia Yesu ndie aliyetaja kuw atakuja Ahmed sasa huiamini Quran ghafla! We ni punda aliyethibitishwa.

I told you nafahamu kila uongo katika uislam,

Kwanza Mtume wenu asili yake ni Yemen na hata alikuwa akiwasifia kuwa Yemen people ndio uzao bora na Quraish asili yao ni Yemen na walimove hadi Mecca hahahaha so hawana undugu wala vina saba na Wayahudi.

Pili Ishmail Mama yake ni Egyptian black and Father Aramaic so Wakizaa mtoto anageuka Mwarabu? hahahaha ukipinga hili according to Islaimic Source Ishmail alijifunza Kiarabu akiwa young age kadhaa sasa anawezaje kuwazaa watu waarabu walimfundisha lugha ya kiarabu? Lugha ya Quraish unatumia tricks? kama Allah? and mkimuita Ishmail ni nabii basi Quran inasema Mohammad ni mtume wake wa Kwanza kwa Waarabu so Allah alijua Ishmail hakuwa Arabs wala Ibrahim la sivyo amewaongopea kama Sisi Wakristo aliposema Yesu hakusurubiwa hahahaha

Pia Quran inasema pia hakuwahi tuma mtume asiyeongea lugha ya watu wake.

Mulislim hamsomi vitabu vyenu mnaishia kuwa waongo kwa kila tamko mnalotoa. mnaenjoy nini kuongopa?
Kuna siku mtu alinidanganya eti Mohammad alikuwa na watoto kibao niliishia kucheka yaani hamjui hata Quran kama inasema Mohammad sio baba wa mtoto yeyote, na Arabs walimcheka baada ya mtoto wake wa kiume kichanga kufa kuwa amekatwa uzao...Quran 108:3 vichekesho hawa kina Agakhan, Mfalme Hussein wa Jordan wanajifanya ni vitukuu vya Mtume hahaha Quran 40:30

We know Islamic cult cover to cover. Najua unaleta ujinga ili ujifunze now you know Siku mtu akikuambia Ishmail ni Muarabu mwambie Quran inakataa.
Na Quran imeandika kuwa Mitume inayofuata ni kutoka Kizazi cha Isaac,Jacob(Israel)

Unajua maana ya Quran? hebu Google maana Muslims hawajui chochote kuhusu Aramaic language wao wanadhani ni Kiarabu, wanakaclaim Quran bila kufahamu maana yake.

As long umeamua kuitukana Quran its ok for Me Quran inasema Mitume wa Yesu aya ambayo unaikataa.

Mungu ni mmoja na ana nafsi tatu. Nilishakuambia unieleze maana ya Tahweed ukasepa mbio... Allah wenu anajiita Plural Mubadala ya Singular, Allah wapo Wengi hata alipoambiwa anaweza kuwa na Mtoto Akasema labda apate thuwaiba kwa viumbe vya aina yake so Allah wapo kibao bora sisi Tunasema nafsi Tatu and Mwanzo wa Biblia imeandikwa Eloim mean Gods.

Kisha Kumbuka ewe fake Muslim Quran imekuonya 2:42 Usichanganye Ukweli na uongo wenu wa Uislam au kuukataa ukweli wakati unajua ni kweli alafu unapinga.
We kenge vipi Ismail awe Arhamic wakati nabii Ibrahim alitokea Iraq hahaha. Kwa tarifa yako Nabii Ibrahim alizaliwa katika mji wa Uru huko Mesopotamia (Iraq ya sasa). Aliishi huko na baba yake na watu wake, kisha akahama na familia yake kwenda Palestina (nchi ya Kanaani).

Taurati imeongelea Mtume atakuja kama Mussa sa Yesu kama Mussa. Yesu ana Mama hana Baba afu nyie simnasema Yesu ni Mungu vipi tena awe Mtume hahaha nyie vichaa kweli kweli.

Taurati inaongelea brethren hapo ni cousin, haya nani aliye kuja kafanana na Mussa. Sababu Mussa aliowa na ana watoto, Yesu sio kama Mussa. Mtume Muhammad kama Mussa. Sababu Yesu hana mke wala watoto.

Mussa aliheshimiwa na watu wake na alileta sheria Yesu hakuleta sheria na wala hakuheshimiwa na watu wake, alie leta sheria ni Mtume Muhammad.

Haya nani aliye wekewa maneno kwenye mdomo wake aseme kama sio Mtume Muhammad, hebu we tuambia nani kama sio yeye. Taurati iko wazi kabisa hahaha.

Deuteronomy 18:18 says, "I will raise up for them a prophet like you from among their brethren, and I will put My words in his mouth, and he shall speak to them all that I command him."

Kuhusu Ismail kuwa ni Mtume wa kiarabu kuna vitu viwili kuna Mtume ambaye ni Mtume hana kitabu na Mtume aliye pewa kitabu. Walio pewa vitabu ni Daudi kapewa Zaburi, Mussa kapewa Taurati na Yesu kapewa Injil hawa wote walikuwa wayahudi na Mtume Muhammad huyu alikuwa mwarabu sa point yako kusema vipi Ismail mseme mwarabu, na wewe ungejiuliza vipi hao wawe wayahudi kama Ibrahim alitokea Iraq. We ni kenge tu huna unalo lijua.
 
Binadamu anayetembea uchi kwa tafsiri halisi ya hilo neno ni aidha mtoto mdogo au kama ni mtu mzima basi atakuwa ni mwendawazimu tu, hakuna tofauti na hapo.

Hata kwenye hizo nchi unazozisema wengine tumeshafika hivyo huwezi kutuchuuza.
Mwanamke anaye tembea uchi maziwa unayaona na chupi unaiona huyo utasema hatembei uchi. Kumbe ulifukuzwa huko uarabuni sio hahaha
 
Pointi ni ''ukiwa masikini huwezi kujitegmea''

Hata Marekani ipo, wanaita ''wanaita kula kwa kutumia kadi''.

Kuna ndugu zetu humu wanadhani ni haki ya kila raia huko uarabuni. Hebu waelimisheni.
Masikini wapo kwenye nchi za Kiarabu zenye raia wengi kama Saudi Arabia.
Qatar ina watu milioni 2 na nusu tu huku watu laki nne wakiwa ndio raia wake.
 
We kenge vipi Ismail awe Arhamic wakati nabii Ibrahim alitokea Iraq hahaha. Kwa tarifa yako Nabii Ibrahim alizaliwa katika mji wa Uru huko Mesopotamia (Iraq ya sasa). Aliishi huko na baba yake na watu wake, kisha akahama na familia yake kwenda Palestina (nchi ya Kanaani).
Kasome acha kucheka kama Mtume wako alikuwa na Mapengo meno yote ya mbele ya juu na chini just imagine mapengo akachoka.

Ibrahim yes alitokea eneo kwa sasa ni Iraq ndio Sumerian ilipokuwa jamii hiyo ambayo haipo tena jamii iliyokuwa imeachiwa records zote za Dunia ilivyokuwa kwa details. So Ibrahim aliondoka na kwenda eneo lake na lugha aliyotumia ni Aramaic. So Ishmail amezaliwa katikati historia hiyo kama Wa aramaic. Lugha ya kiarabu waliongea kabila la Quraish peke yao tena lilitokea Yemen.

Tourati imeongelea Mtume atakuja kama Mussa sa Yesu kama Mussa. Yesu ana Mama hana Baba afu nyie simnasema Yesu ni Mungu vipi tena awe Mtume hahaha nyie vichaa kweli kweli.
Ujinga wa Dawahgandi mnachukua aya maneno out of content weka aya torati ikisema atakuja mtume anayefanana na Musa. And sio sisi tunasema Yesu ni Mungu ni maandiko na yeye ndie alisema hata viongozi wa Kiyahudi walitaka kumuua kwa kusema yeye ni Mungu, mungu na yeye ni Moja uzushi kwangu huwezi weka Quran iimekuonya usiukane ukweli wakati unajua nitakukumbusha kila mara. Quran 2:42
Taurati inaongelea brethren hapo ni cousin, haya nani aliye kuja kafanana na Mussa. Sababu Mussa aliowa na ana watoto, Yesu sio kama Mussa. Mtume Muhammad kama Mussa. Sababu Yesu hana mke wala watoto.
Weka tu hiyo aya tukucheke hapa Jf au unaogopa? Sisi hatuokoti okoti maneno mtaani au madrassa ya kuambiwa tunatumka ushahidi wa Aya
Mussa aliheshimiwa na watu wake
mbona walimuambia turudishe Misri kuna Nyama n.k husomi vitabu au wewe ni iblis mpotoshaji? Unawajua waisrael au lengo lako ni udanganyifu? Wayahidi hata chakula kutoka peponi walikikataa ni heshima hiyo?
Wayahudi walikataa kuingia nchi ya Ahadi wakapewa Adhabu 40 years wahangaike kwanza jangwani.. Tabia zako za Uislam umekuwa muongo satisfied
na alileta sheria Yesu hakuleta sheria na wala hakuheshimiwa na watu wake,
Kwa hiyo unachukulia nchi nzima? Kumbuka Yesu alikuwa anakusanya makundi makubwa kila aendapo its was Amazing akiponya na kusamehe dhambi, Yesu alichukiwa na Viongozi tu wa Dini ya Kiyahudi na walikuwa wakiona aibu walikosa kila singizio la kumfanya aonekane amefanya dhambi akiwaambia yeye ndio same Mungu wanayemuabudu in human form maneno azungumzayo na sheria afanyazo. Kasome Bible utaenjoy
lie leta sheria ni Mtume Muhammad.
Mohammad we know Alipookoyeza Sheria everything alichosema source zake tunajua hata mnavyosali wudu ni za Sabians, alitumia ujinga wa waarabu kuishi maisha matamu. Unaweza leta Sheria yake nikupe source just any
Haya nani aliye wekewa maneno kwenye mdomo wake aseme kama sio Mtume Muhammad, hebu we tuambia nani kama sio yeye. Taurati iko wazi kabisa hahaha.
Weka tu aya kuna mwenzio alileta aya akaelewa na kusema Mohamed hana mfanano wowote ni taperi jambazi tu lilikuwa, kuwa mtume wa Mungu na tabia lazima ziwe za kimungu, sio kusema wanawake waumini nikiwapenda waje niwatie.. huoni umungu ushetani?
Deuteronomy 18:18 says, "I will raise up for them a prophet like you from among their brethren, and I will put My words in his mouth, and he shall speak to them all that I command him."
Wewe katika kusoma kwako umeona huyo prophet mwenye kutumia maneno ya Mungu direct anafanana na nani? Maana Quran inasema Yesu ni Prophet, Yesu ni Nano la Mungu na ni Roho iliyomo kwa Yesu ikipumua yaani Mungu ndani ya mwili wa Yesu.
Kuhusu Ismail kuwa ni Mtume wa kiarabu
Ishamail hakuwa Muarabu umenoa hili hahahaha
kuna vitu viwili kuna Mtume ambaye ni Mtume hana kitabu
Huwezi kuwa mtume bila ujumbe na ujumbe unawafikia watu kuwaonya au kuwafundisha jinsi ya kuishi kwa kumuabudu Mungu wao, Ishmail hakuwa Mtume wala prophet hakuna alichofundisha zaidi ya kuwa mtoto wa Kambo wa Ibrahim.
na Mtume aliye pewa kitabu. Walio pewa vitabu ni Daudi kapewa Zaburi, Mussa kapewa Taurati na Yesu kapewa Injil hawa wote walikuwa wayahudi
Mitume imeandikwa kwenye Quran ni Uzao wa Isaka na Yakobo hakuna Mwingine nje ya hiyo Ahadi.
na Mtume Muhammad huyu alikuwa mwarabu
Unauliza auto maelezo
sa point yako kusema vipi Ismail mseme mwarabu,
Wewe ndio umesema Mwarabu sisi tumekataa
na wewe ungejiuliza vipi hao wawe wayahudi kama Ibrahim alitokea Iraq. We ni kenge tu huna unalo lijua.
Uyahudi umeanzia kwa Yakobo mtoto wake akiitwa Yudah waisrael ni Watoto wa 12 wa Yakobo una swali jipya lingine?
QURAN 2:136

Ujinga wako unadhani Mohammad ni Mtume au nabii Quran inasema yeye ni Muonyaji tu kwa watu wa Mecca na Jirani pekee.

"And thus we have revealed to you an Arabic Quran, so that you may warn the mother of the cities (Makkah) and those around her." ( Quran 42:7)
 
Nchi za kiarabu za Kifallme wanaitwa Ulaya na hawatorokei huko, Tofautisha Waarabu wa Africa ambao mifumo yao ya uongozi kama sisi na hao wanaotumia Monarchy systems.

Nchi za GCC wengi ndio wa miliki wa Mali nyingi za Ulaya na Usa, wanaingia Visa Free hizo nchi za ulaya, sometime unakuta Duration ya Visa free hadi miezi 6.
Wewe ni mwehu wale wazamiaji wanaokamatwa huko ulaya hususani France. Mpumbavu ni sifa ya makobazi.
Unakataa hata yaliyo wazi trash
 
Wewe ni mwehu wale wazamiaji wanaokamatwa huko ulaya hususani France. Mpumbavu ni sifa ya makobazi.
Unakataa hata yaliyo wazi trash
Wanatoka Nchi gani? Sio kosa langu kama Geographia ina kushinda, kamlaumu mwalimu wako na wanaokuzunguka kwa kushindwa kukuelimisha.
 
Back
Top Bottom