Kwanini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?

Kwanini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?

Hauendani kivipi? Mfano wako si ni sawa na kusema tu Hata Hitler na Makaburu wa Africa Kusini waliziletea nchi zao maendeleo kwa hiyo tnaweza tu kuwa na tawala za mifumo hiyo ya kikatili ilimradi tunapata maendeleo!
Makaburu hawakuleta Maendeleo ya South Africa bali maendeleo ya watu wachache weupe, Wa Asia na Weusi wakiachwa kwenye hayo maendeleo same kwa Hitler.

Maendeleo ya Nchi za Gulf ni kuanzia masikini wa mwisho hadi Mtawala, unafahamu hili na nishawahi kukuekea list ya benefits ambazo masikini wanapewa huko.

Demokrasia ni kama mzaramo maneno matupu matupu, wakati mifumo ya middle East ni lazima, leo hii wanasiasa wanakuja wanapiga porojo wee, mwisho wa siku wanakuibia imetoka hiyo.

Middle East Shura inakaa bwana tunaweka UN-Employment benefit milioni 2 kwa mwezi, kwa kila asie na Ajira, hakuna cha kampeni wala kubembelezana serikali inabidi itekeleze.
 
Democracy ipi yakuwauwa watoto Gaza. Sa we mtoa mada nipe nchi gani ya kikristo ina Democracy.

Si bora hata hao warabu hawana Democracy lakini. Hospital bure, masomo bure, na wengi wao wanaishi kwenye majumba serekali zimewajengea, wengine hawalipi umeme, maji na wakichukua mikopo ya bank wanalipiwa sometimes. Nipe nchi ya kikristo yenye kufanya hayo.

Huko ni kula wali nyama vitani.

Maamuzi ya mtu mmoja ama koo fulani tena mbumbumbu ndio yakuyafagilia kisa ukipata gono unatibiwa bure?

Wakati ukienda kinyume na wao adhabu ni ukatwe kichwa

Amkeni utumwani ninyi wana wa mwamedi
 
Makaburu hawakuleta Maendeleo ya South Africa bali maendeleo ya watu wachache weupe, Wa Asia na Weusi wakiachwa kwenye hayo maendeleo same kwa Hitler.

Maendeleo ya Nchi za Gulf ni kuanzia masikini wa mwisho hadi Mtawala, unafahamu hili na nishawahi kukuekea list ya benefits ambazo masikini wanapewa huko.

Demokrasia ni kama mzaramo maneno matupu matupu, wakati mifumo ya middle East ni lazima, leo hii wanasiasa wanakuja wanapiga porojo wee, mwisho wa siku wanakuibia imetoka hiyo.

Middle East Shura inakaa bwana tunaweka UN-Employment benefit milioni 2 kwa mwezi, kwa kila asie na Ajira, hakuna cha kampeni wala kubembelezana serikali inabidi itekeleze.
Kundi gani ambalo halikufaidi maendeleo ya Hitler??
 
Shura ni baraza la ushauri tu linaloteuliwa na mfalme, haliwezi kuilazimisha serikali ya kifalme kufanya chochote.
 
Demokrasia ya Korea Kusini.
Kwani hao South Korea ni nchi ya kikristo hahaha hao wengi wao hawana dini, na wengine wale ma Buddhist afu democracy ipi unayo iongelea wao wanayo nchi za Kislam hawana? Labda ya sex, ulevi n.k
 
Kwani hao South Korea ni nchi ya kikristo hahaha hao wengi wao hawana dini, na wengine wale ma Buddhist afu democracy ipi unayo iongelea wao wanayo nchi za Kislam hawana? Labda ya sex, ulevi n.k
Mimi naongelea demokrasia bila kujali ni nchi za kikiristo au za kibudha.
Unaelewa demokrasia ni nini??
 
Huko ni kula wali nyama vitani.

Maamuzi ya mtu mmoja ama koo fulani tena mbumbumbu ndio yakuyafagilia kisa ukipata gono unatibiwa bure?

Wakati ukienda kinyume na wao adhabu ni ukatwe kichwa

Amkeni utumwani ninyi wana wa mwamedi
Hakuna adhabu ya kukatwa kichwa we kwa kuwa ni kenge ndio unadhani vile. Nipe nchi gani ya Kiarabu au Kislam inayo kata kichwa mtu isipokuwa Saud Arabia, na hao Saud Arabia mpaa uwe umeuwa mtu, na wewe unauliwa. Afu sina uhakika kama nchi zingine zinawacha hai mtu aliye uwa binadamu bila reason.

Hata nchi za kikristo zinafanya hayo kuwadunda shindano afu kwanza wanakutesa weee afu wanakumaliza kwa shindano. Tumeona democracy za kikristo mlizo fanya Iraq ku rape, kuwauwa watu wasio na hatia si bora hata nchi za Kislam wanafata sheria. Taifa teule lenu tunaona wanavyo uwa vitoto, rape tena mpaa wanaume na wanaleta mpaa mbwa kuwafundisha kurape wanaume kweli taifa teule linatuonyesha vipi watu wake wanarepresent taifa teule lenu hahaha.

Nyie wakristo bora mnyamaze tu hamna cha democracy wala nini labda democracy mnazo za kuingiliana wanaume kwa wanaume, ulevi, kunyonyana barabarani na kupapasana, kutembea uchi hizo ndio democracy mnazo ziongelea sidhani mnademocracy zaidi ya hizo
 
Mimi naongelea demokrasia bila kujali ni nchi za kikiristo au za kibudha.
Unaelewa demokrasia ni nini??
Naielewa sana democracy kuliko wewe nipe point ipi unayo iongelea South Korea wanayo nchi za Kiarabu au za Kislam hawana. Twende point kwa point.
 
Kundi gani ambalo halikufaidi maendeleo ya Hitler??
Ambao sio Aryan? Umesoma Historia ya Hitler? Aliamini kwenye Race superior ya Aryan ambayo ina include baadhi ya wazungu, Iran wa Persia etc hao ni Aryan aka chosen people

Then wazungu wengine, Jews, Slavic na wengineo wote walibaguliwa sababu sio Aryan ama walitumika na watu sio Aryan.

Mpaka kwenye sheria iliwatambua Aryan wakapewa incentive wazaliane sana na benefits nyenginezo.

Picha ikionesha mwalimu Enzi za Hitler akionesha sifa za Aryan
bfdba41b-40f7-4e38-af56-412e7bfa6e38 (1).jpg
 
Shura ni baraza la ushauri tu linaloteuliwa na mfalme, haliwezi kuilazimisha serikali ya kifalme kufanya chochote.
Si Kweli
Although in theory, the country is an absolute monarchy, in practice major policy decisions are made outside these formal governmental structures and not solely by the king. Decisions are made by establishing a consensus within the royal family (comprising the numerous descendants of the kingdom's founder, King Abdulaziz). Also, the views of important members of Saudi society, including the ulama (religious scholars), leading tribal sheiks, and heads of prominent commercial families.

Source Britanica, so Wapo wanaoteuliwa kwenye Shura na wapo ambao wana permanent seat. Na hata hao wanaoteuliwa si tu mfalme anaamua bali ni influential figure, mmoja wa wanawake ambao wapo juu kwenye Shura ya Saudia ni Hayat Al sindi mmoja wa best scientist wa kizazi cheti, Automatic kwa contribution yake Duniani amekua member wa shura. So sio baraza la machawa hilo.

Kasome Kingdom ya Saudia imeanzishwa vipi, walikula viapo Baina ya Mfalme na hao Tribal leaders kiapo cha loyalty. Ndio maana unaona hakuna friction baina ya serikali na Raia sababu important figures wa society ndio wana make decisions.
 
Mnaambiwa kuwa uarabuni wanakula bure, kulala bure, kila kitu bure na ukioa unalipiwa mahari kisha unapewa nyumba.

My foot!
Nchi ambazo ni za kifalme za Gulf zote zina hizo benefits sio myth ni facts, Raia wote wanapewa subsidies za vyakula, Kodi za Nyumba, Elimu, Afya etc wakiwa ni masikini hawawezi jitegemea.
 
Kwa nini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?

Demokrasia haiivii chungu kimoja kabisa na uarabu?

Hii ina athari gani kwetu pia kama nchi kwetu sisi ambapo utamaduni wa Kiarabu una mizizi pia ?
nchi za kiarabu nyingi ni za kifalme na utawala wa kijeshi
 
Kwa nini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?

Demokrasia haiivii chungu kimoja kabisa na uarabu?

Hii ina athari gani kwetu pia kama nchi kwetu sisi ambapo utamaduni wa Kiarabu una mizizi pia ?
Sasa Mkuu, Demokrasia na Sharia LAW vinaendana lini ndugu yanguuu ?
 
Back
Top Bottom