Kwanini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?

Scandinavia Countries hujasikia habari zake? Hata Jela ni Luxury Jail.

Nchi za Kiarabu Nyingi tu mbona za Demokrasia... Arabs Occupied Tunisia, Arabs Occupied Egypt, Arabs Occupied Syria, Arabs Occupied Lebanon, Yemen ya Sanaa, Iraq, Mauritania not Sure.

The Claim uliyotaja katika Arabs country naweza sema ni Qatar,Bahrin,Kuwait, Uae, Saudia ilikuwa zamani ila now wanalipa Kodi japo ndogo. Saudi ni kubwa na kuna maeneo ni choka mbaya
 
Kwa nini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?

Demokrasia haiivii chungu kimoja kabisa na uarabu?

Hii ina athari gani kwetu pia kama nchi kwetu sisi ambapo utamaduni wa Kiarabu una mizizi pia ?
Zipo zinazo jaribu ila zikianza tu zinakua Typically nchi za ki Africa

Mfano Tunisia, Algeria, Libya na Morocco baada ya Arab spring wamefuata Democracy ila ndio Rushwa na upuuzi mwengine unazidi kasi,

Mwaka 2011 Gdp per capita ya Tunisia ilikua ni $4400 na mpaka 2023 ni $3900 wanashuka kiuchumi same kwa majirani zao kina Libya walifika hadi $14,000 per capita ila sasa hivi ni $6000.

At same time wenzao ambao hawafuati hio Democracy wanachanja tu mbuga. Hakuna Nchi yenye Mfalme middle East ambayo ni masikini.
 
Hakuna choka mbaya Saudia unless huyo mtu sio raia. Watu wote wasio na ajira na matatizo wanalipwa.
 
Watu pia wanahitaji kuwa huru kutoa mawazo yao kisiasa, kidini, uchumi, geopolitics n.k sio kushiba ugali na matembele tu.
Wewe unahisi mfumo wa Ufalme upoje? Ni mfumo bora wa kutoa haki kuliko hata hio demokrasia yenu mnayoipigia chapuo.

Kuku elezea kilayman uelewe.

Assume wachaga ndio wameomba uhuru wa Tanzania na wakapata, walivyorudi wakachukua Tanzania wakaita Ma Chief ya kabila yote, wakakubaliana wachaga watakuwa wafalme na makabila yata swore Allegiance na wataanzisha Shura (kama Bunge) na machief wote wata participate.

Kwenye Shura ndio sheria, Government policy, Economic policy na shughuli zote za Serikali zinapita, hili ni Bunge ambalo halina wabunge feki bali kila mtu ana represent kabila lake na kachaguliwa kaaga kwao, hakuna Uchawa humu wala kusifia ovyo ovyo.

Kutokana na mfumo huu ndio maana unaona Nchi za kifalme mtu asie na kazi wanalipwa mshahara, mama wa nyumbani analipwa mshahara, anayeumwa anatibiwa bure, Elimu bure, vitu kibao wanapewa benefits, kwanini? Sababu ni wananchi wenyewe ndio wanatunga hizo sheria na sio puppets wa serikali.

Nchi nyingi za kidemokrasia kuanzia mtoto anazaliwa mpaka anakua anaandaliwa kuwa slave wa corporations.
 
Kwa nini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?

Demokrasia haiivii chungu kimoja kabisa na uarabu?

Hii ina athari gani kwetu pia kama nchi kwetu sisi ambapo utamaduni wa Kiarabu una mizizi pia ?
Uislamu una asili ya mtu mmOJa kuwaona wananchi kama personal objects, na ndiyo Samia ana thinking/MENTALITY HIYO. Likewise was maguduli!

Actually na ulaya ya magharibi system zilikuwa hizi hizo. Uingereza bado wana system hiyo ingawa huyo Malkia hana coercive powers.... Thailand wako hivyo, mfalme ana coercive powers... NI MPAKA WANANCHI WA REVOLT/WAFANYE UASI DHIDI YA SYSTEM KAMA HIZO!

Waarabu dini inawaharibu ana, can not think out of a Pandora's box! China hivy hivyo............
 
D
Demokrasia itatoweka kabisa watu wakijitambua ..Ni utamaduni wa wazungu.
 
Iraq wana democracy nchi nyingi za Africa hawaifikii
Bado inasuasua na hiyo imekuja baada Saddam kuondolewa na Wamarekani.
 
Kwa hiyo democracy ni incompatible with Arabs??
 
Kwa hiyo kwa Tanzania tungekuwa mbali zaidi kama Nyerere na kabila lake la Wazanaki wangekuwa Wafalme??
 
Kwa nini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia? Demokrasia haiivii chungu kimoja kabisa na uarabu? Hii ina athari gani kwetu pia kama nchi kwetu sisi ambapo utamaduni wa Kiarabu una mizizi pia ?
Nadhani si utamaduni wao na ndio maana nchi za Kiarabu zilizoijaribu zimefail vibaya hasa kiuchumi kuliko ambazo hazijajaribu kuwa na huo mfumo wa kimagharibi wa demokrasia.
Nchi kama Yemen, Qatar, Saudi Arabia, Brunei (siko sure kama hawa nao ni Waarab) ziko vizuri kiuchumi na huduma kwa raia wake. Hata Libya ilikuwa vizuri mpaka walipoahidiwa kupata demokrasia.
Mfumo unaofanya kazi Ulaya si lazima ufanye kazi kwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…