Kwanini HAMAS sasa anapigana vita alivyoshindwa?

Kwanini HAMAS sasa anapigana vita alivyoshindwa?

Usingekua unatokwa povu huku za kushabikia maugaidi kama sio udini unakusumbua, haitokuja hata siku moja mfaulu kuua Wayahudi wote kama alivyoagiza huyo muarabu 'mungu' wenu.

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.

Povu unatokwa wewe. Hujishangai hakuna popote penye reference ya dini yoyote kokote katika andiko langu lolote?
 
Povu unatokwa wewe. Hujishangai hakuna popote penye reference ya dini yoyote kokote katika andiko langu lolote?

Wala sitokwi povu, niko humu nafurahi namna maugaidi ya dini yenu yanavyosambaratishwa, inapaswa mbadilike maana haya maandiko ndio yanawachonganisha na dunia na kuishia kuuawa bure...

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Unaweza kunionyesha bandiko lolote nililoandika au kuonyesha hata mwelekeo tu au kunukuu jambo lolote la dini ndugu?
 
1. HAMAS hawezi kulaumiwa kwa kusalitiwa na washirika au wahanga wenzake.

2. Tambua kama Palestine pia Syria, Lebanon na wengine wana ardhi zao mikononi mwa Israel.

3. Manowari zilizosogezwa pale ni kuwatia hofu washirika wengine kutowaunga mkono HAMAS.

4. Alichokuwa kakianzishia HAMAS pale iwe kwa makubaliano au vinginevyo kilistahili kuungwa mkono na wahanga wote wa Israel.

5. Kutokuwepo kwa kina Muamar Gaddafi, Saddam Hussein, Assad Senior ni pigo kubwa kwa Palestina.

6. Kusubiria huruma ya Israeli ni sawa na kusubiria katiba mpya kutoka CCM Kwa huruma yao.

mkuu bado hujaelewa point yangu.. rejea comment yangu ya kwanza hao uliowataja kina ghadafi na sadaam walitolewa na kwenye madaraka na watu wa west katika staili ambayo Ali khamein wa Iran ameistukia na anajaribu kuiepuka..ambayo ni ni kutengeneza unrest ndan ya nchi ili west wapate sababu ya kuingia direct au indirect...

Ghadaf, Saadam nutaona kuwa ilitengenezwa zengwe kukaanzishwa unrest.. Saad wa sassa hv wa syria Ilikuwa chupuchupu salama yake ni kuwa super power mbili walikuwa wanapingana wenyewe kwa wenyewe.. isingekuwa urusi kuwa upande wa syria sasa hv tungekuwa tunaongea mengine.. infact Saad sasa hv ni puppet wa Urusi.. so utaona ni yale yale tu.

ndo maana narudia kukwambia hao unaosema ni wahanga wa Israel. tawala zao they no better.. ni aidha waingie ila warisk kuwa kicked out kutoka kwenye madaraka ( hapa namaanisha kuwa wakiingia vitan, obviously kutakuwa na negative impact kwenye uchumi wao.. na west watapiga spana zaid... kisha west waatanza kufanya kaz na mamluki ndani ya nch kutengeneza unrest.. rejea mambo ya sadam na vita ya quwait... au ghadafi

Iran,, Syria jordan, Misri they know better.. they do not have the guts kuingiza jeshi kupigana na israel sio kwa tawala hizi zao za sasa... west wanajua hili, wao wenyewe wanajua hili, palestina leaders wanajua the whole arab league wanajua hili.. watakaokuwa wanapiga kelele ni wanaharakati na wananchi wa kawaida ila wanasiasa wao kamwe ndo mana nikawambia sababu zozote zile ambazo washirika wa palestina wanazo bado wanaona hazina uzito wa kias cha kuhatarisha tawala zao na kuingia vitan.. wamechagua kulinda tawala zao kuliko kutengeneza uadui na west ambao utawacost madaraka..

yaan wazungu wanasema "it's not personal, it’s just business" yaan ni kama wamewaambia palestina kuwa hawawachukii palestina wanaumia wanavyoona kuwa wanauawa ovyo ila wamechagua kulinda maslah yao zaid ambayo ni
 
Hizi pumba zingine afu anakuja anzisha mada 😄

We wambie basi Israel wawamalize Hamasi kama wao wanaume, we ka unasikiliza kelele za Natanyahu wakati jeshi Lake wengine wameisha kimbia Gaza

Israel anaomba vita visiendele we unakuja leta ujinga wa Paulo hapa.
Mbona mashujàa koko wanajificha kwenye mahandaki mkuu?
 
The World Must Wake Up to Israel's Lies

HAMAS:

1. Hawakuuwa watoto.

2. Hawakuchinja watu.

3. Hawakuchoma mtu moto.

4. Hospitaii hazikuwa command center.

5. Uongo baada ya uongo.
Kweli kabisa
Hata Biden aliungama kuwa habari hizo zilikuwa z
1. Alianza vizuri HAMAS kuwapigania wapalestina na waarabu kwa ujumla vita vyao dhidi ya mvamuzi wao sugu 7 Oct 2023.

2. Bahati mbaya waarabu hadi wapalestina wa West Bank wameufyata na kumwachia mtiti wote peke yake!

3. Mafanikio yake kwenye vita hivi yalikuwa:

a) Kumpata Israel kukubali kuongea.
b) Kumpata Israel kukubali kubadilishana wafungwa.
c) Kumfanya Israel na Marekani kuitambua sura ya HAMAS. Kumbe nani anaongea na gaidi?

4. Lakini alipo HAMAS sasa, ni heri angeamua kujitoa mhanga; yeye na jamii yake yote.

5. Kwamba wakati wa kubadilishana wafungwa, Israel anaendelea kukamata na kuuwa wapalestina wengine.

6. Kwamba walioachiwa wanaweza kuuwawa na hata kukamatwa tena wakati wowote.

7. Kwamba Israel kasema lengo lake ni kumfuta HAMAS duniani.

8. Kwamba lengo ni kumsubiri amalize kuachilia mateka tu, halafu akione cha mtema kuni!

View attachment 2827378

Kulikoni HAMAS kuendelea kukenua kinyonge hivi?
Blaza hebu nikuulize. Ni Hamas wangapi wameuliwa na Israel? Ni Hamas wangapi wamekamatwa na Israel? Jibu pamoja na USHAHIDI siyo porojo za kijiweni
a uongo wa Israel
 
Kweli kabisa
Hata Biden aliungama kuwa habari hizo zilikuwa z

Blaza hebu nikuulize. Ni Hamas wangapi wameuliwa na Israel? Ni Hamas wangapi wamekamatwa na Israel? Jibu pamoja na USHAHIDI siyo porojo za kijiweni
a uongo wa Israel

Takwimu hizo za vita utazipata wapi? SI Israeli wala HAMAS mwenyewe anaweza kuwa takwimu hizo.

Zingatia HAMAS ni wana mgambo ambao wengi wao ni raia wa kawaida.
 
Wanahitaji mazungumzo ya amani hili suala la vita litulie na liishe ni ngumu kuifuta hamas na pia ni rahisi kuitumbukiza dunia ktk vita ya tatu na pia wanahatarisha uchumi wa dunia kupata mkwamo kama vita itaendelea na kusambaa basi ile strait ya hormuz na strait ya bab al mandeb zitakuwa shida kupitika na kusababisha uhaba wa mafuta na nchi zinazoendelea tutapata shida zaidi na uchumi kuyumba. walichoshindwa kukipata ndani ya siku 50 hawataweza kukipata tena kwenye vita ya ukraine imekuwa ngumu kuisha kwa kuwa usa super power anasupport ukraine na hivyo hivyo kwa kuwa hamas anapata support ya Iran na Russia hii ni ngumu kwa hamas kumalizwa kwa kuwa iran ni regional power na russia ni super power mfano mzuri ni syria assad regime ipo hadi leo kwa kuwa kunasupport ya russia na iran la angekuwa historia kama gaddafi.
Wazee walisema!; chako kula, halahala Jirani!
Iwapo wapalestina wangetaka Amani na Israel kungekuwa na Amani ya Kumwaga Palestine. Iwapo Israel Ingetaka vita na palestina kusingekuwa na Palestina duniani!
 
Kwenye hii vita Israel kachapika sana kuliko vita yoyote ile aliyopigana na Hamas.
Wanajeshi wake wengi wameuwawa na vifaru vyake mwenywewe ndio alikuwa anaona funga kazi, vimeonekana si lolote si chochote yaani vinabondwa kama vile vimetengenezwa kwa kutumia udongo na ndio baada ya kuona mtanange unamtoa jasho amaamua kupiga/kuuwa ovyo ovyo watoto, wamama na wagonjwa

Hii kusema mtanange bado unaendelea ni kama vile kujitoa kimasomaso kwa aibu kibwa aliyoipata na kwasababu anakiburi, basi ktk hii vita Israel inakwenda kuumbuka vibaya sana
upo sawa Israel ameonesha udhaifu mkubwa kijeshi hasa ground attack wanachapwa kweli kweli lakn upande wa pili wa shilling Hamas wanapata nini cha maana kwenye hii vita Zaidi ya kupoteza watoto na wanawake wasio na hatia kama kafara tu?

wins this war haina maana yoyote kama Raia Tena watoto wadogo maskini wanakufa kama KUKU Jeshi lolote duniani swear an Oath to defend and protect his people Lakin Hamas don't give damn fvcking life of palestine children ndio kwanza Hamas wakishangiria Allah akubar kwa kupinga kifaru cha IDF
 
upo sawa Israel ameonesha udhaifu mkubwa kijeshi hasa ground attack wanachapwa kweli kweli lakn upande wa pili wa shilling Hamas wanapata nini cha maana kwenye hii vita Zaidi ya kupoteza watoto na wanawake wasio na hatia kama kafara tu?

wins this war haina maana yoyote kama Raia Tena watoto wadogo maskini wanakufa kama KUKU Jeshi lolote duniani swear an Oath to defend and protect his people Lakin Hamas don't give damn fvcking life of palestine children's life ndio kwanza Hamas wakishangiria Allah akubar kwa kupinga kifaru cha IDF
Kama haufahamu Hamas wamepata nini ktk hii vita basi utakuwa na akili ndogo sana.

Kwanza ngoja nikulesheshe ktk kauli ya waziri wa ulinzi wa USA aliposema, Israel inaweza kushinda vita in tacktic but in strategic Hamas akawa mshindi

Kwanza unatakiwa ujuwe kabla ya hii vita issue ya matatizo ya palestina yalikuwa yamesaulika au yamezikwa kwamakusudi lakini sasa yameibuliwa tena upya na unia nzima sasa hivi wanalifahamu kwa uwelewa zaidi na linatakiwa kupatiwa suluhisho kwa nguvu sana
Dunia sasa inafahamu maisha ya wapalestina under occupation yalivyo. Dunia sasa inafahamu kuwa wapalestina wengi wanakamatwa na kuwekwa magerezani bila ya mshitaka yoyote, setters wanajichikulia sheria mkononi kwa kufanya fujo na mauwaji dhidi ya wapalestina bila kuchukuliwa hatua zozote. Jana serikali ya marekani imeitaka Israel kutunga sheria ya kudhibiti fujo zinzofanywa na hao wakazi walowezi.

Mengi ya kusema ambayo yalikuwa hayafahamiki na watu wengi sasahivi yamejitokeza na yanajadiliwa kwa uzito mkubwa hasa hili la two states solution ninawashangaa sana wanaofikifili Hamas hawaja achieve chochote ktk hii vita.
 
So is it worth sacrifice life of those kids for that ushindi walio pata kujadiliwa na Dunia nzima Hahaha Man like seriously?

A wise man once said tulipo gundua Amani ni bora kuliko ushindi tuliwapa ushindi tukabaki na Amani

In this madness only kids are suffer the consequences WIN or Lose means nothing compared to casualties and fatalities of innocent people in Palestine
 
Wanahitaji mazungumzo ya amani hili suala la vita litulie na liishe ni ngumu kuifuta hamas na pia ni rahisi kuitumbukiza dunia ktk vita ya tatu na pia wanahatarisha uchumi wa dunia kupata mkwamo kama vita itaendelea na kusambaa basi ile strait ya hormuz na strait ya bab al mandeb zitakuwa shida kupitika na kusababisha uhaba wa mafuta na nchi zinazoendelea tutapata shida zaidi na uchumi kuyumba. walichoshindwa kukipata ndani ya siku 50 hawataweza kukipata tena kwenye vita ya ukraine imekuwa ngumu kuisha kwa kuwa usa super power anasupport ukraine na hivyo hivyo kwa kuwa hamas anapata support ya Iran na Russia hii ni ngumu kwa hamas kumalizwa kwa kuwa iran ni regional power na russia ni super power mfano mzuri ni syria assad regime ipo hadi leo kwa kuwa kunasupport ya russia na iran la angekuwa historia kama gaddafi.
Vita ya tatu mtapigana nyie wapumbavu. Congo RAIA wanakufa mbona hampigani vita ya 3
 
Back
Top Bottom