Kongo hata wapigane hadi judgement day maisha ya sisi nchi masikini hayatikisiki ila kinachotokea pale mashariki ya kati kitagusa maisha yetu na gharama za maisha hivyo ni vyema amani mabwana vita wakubali tena cease fire kuepusha dunia na shida na tabu kwa kuwa mafuta yanatokea huko uchumi wa watu masikini utatikisika zaidi waache hiyo mambo waongeee wanegotiate yaishe amani ni bora zaidi ikipatikana kwa mazungumzo na mambo ya kufutana kumalizana sio ya karne hii tena.Vita ya tatu mtapigana nyie wapumbavu. Congo RAIA wanakufa mbona hampigani vita ya 3