Ushindi wa watu katika vita haijali wafuatiliaji ni dini gani.
Hoja kama hizo mtaungana mkono na wadini uchwara wenzenu kama kina MK254 tu.
Si lazima wakutangazie, wao wanaamini hivyo kwani dini inawatuma kufikiri hivyo by default
Usingekua unatokwa povu huku za kushabikia maugaidi kama sio udini unakusumbua, haitokuja hata siku moja mfaulu kuua Wayahudi wote kama alivyoagiza huyo muarabu 'mungu' wenu.
sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
Povu unatokwa wewe. Hujishangai hakuna popote penye reference ya dini yoyote kokote katika andiko langu lolote?
Wala sitokwi povu, niko humu nafurahi namna maugaidi ya dini yenu yanavyosambaratishwa, inapaswa mbadilike maana haya maandiko ndio yanawachonganisha na dunia na kuishia kuuawa bure...
sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
1. HAMAS hawezi kulaumiwa kwa kusalitiwa na washirika au wahanga wenzake.
2. Tambua kama Palestine pia Syria, Lebanon na wengine wana ardhi zao mikononi mwa Israel.
3. Manowari zilizosogezwa pale ni kuwatia hofu washirika wengine kutowaunga mkono HAMAS.
4. Alichokuwa kakianzishia HAMAS pale iwe kwa makubaliano au vinginevyo kilistahili kuungwa mkono na wahanga wote wa Israel.
5. Kutokuwepo kwa kina Muamar Gaddafi, Saddam Hussein, Assad Senior ni pigo kubwa kwa Palestina.
6. Kusubiria huruma ya Israeli ni sawa na kusubiria katiba mpya kutoka CCM Kwa huruma yao.
Mbona mashujàa koko wanajificha kwenye mahandaki mkuu?Hizi pumba zingine afu anakuja anzisha mada 😄
We wambie basi Israel wawamalize Hamasi kama wao wanaume, we ka unasikiliza kelele za Natanyahu wakati jeshi Lake wengine wameisha kimbia Gaza
Israel anaomba vita visiendele we unakuja leta ujinga wa Paulo hapa.
Kweli kabisaThe World Must Wake Up to Israel's Lies
HAMAS:
1. Hawakuuwa watoto.
2. Hawakuchinja watu.
3. Hawakuchoma mtu moto.
4. Hospitaii hazikuwa command center.
5. Uongo baada ya uongo.
Kweli kabisaThe World Must Wake Up to Israel's Lies
HAMAS:
1. Hawakuuwa watoto.
2. Hawakuchinja watu.
3. Hawakuchoma mtu moto.
4. Hospitaii hazikuwa command center.
5. Uongo baada ya uongo.
Blaza hebu nikuulize. Ni Hamas wangapi wameuliwa na Israel? Ni Hamas wangapi wamekamatwa na Israel? Jibu pamoja na USHAHIDI siyo porojo za kijiweni1. Alianza vizuri HAMAS kuwapigania wapalestina na waarabu kwa ujumla vita vyao dhidi ya mvamuzi wao sugu 7 Oct 2023.
2. Bahati mbaya waarabu hadi wapalestina wa West Bank wameufyata na kumwachia mtiti wote peke yake!
3. Mafanikio yake kwenye vita hivi yalikuwa:
a) Kumpata Israel kukubali kuongea.
b) Kumpata Israel kukubali kubadilishana wafungwa.
c) Kumfanya Israel na Marekani kuitambua sura ya HAMAS. Kumbe nani anaongea na gaidi?
4. Lakini alipo HAMAS sasa, ni heri angeamua kujitoa mhanga; yeye na jamii yake yote.
5. Kwamba wakati wa kubadilishana wafungwa, Israel anaendelea kukamata na kuuwa wapalestina wengine.
6. Kwamba walioachiwa wanaweza kuuwawa na hata kukamatwa tena wakati wowote.
7. Kwamba Israel kasema lengo lake ni kumfuta HAMAS duniani.
8. Kwamba lengo ni kumsubiri amalize kuachilia mateka tu, halafu akione cha mtema kuni!
View attachment 2827378
Kulikoni HAMAS kuendelea kukenua kinyonge hivi?
Because I deal with them daily and I knowKama hawajakutangazia kulikoni wewe kujiaminisha hilo unilaterally?
Kweli kabisa
Hata Biden aliungama kuwa habari hizo zilikuwa z
Blaza hebu nikuulize. Ni Hamas wangapi wameuliwa na Israel? Ni Hamas wangapi wamekamatwa na Israel? Jibu pamoja na USHAHIDI siyo porojo za kijiweni
a uongo wa Israel
If even Natenyahu, Galant, Barnea, Raisi, Nasrallah or Abbas don't deal with them daily. If you heard of "bange" yours could be typical.Because I deal with them daily and I know
Tatizo we unaongea kwenye key board ungewajuwa mashujaa kama ungepigana nao, waulize IDF wanawafahamu hao wanaume wa kaziMbona mashujàa koko wanajificha kwenye mahandaki mkuu?
Wazee walisema!; chako kula, halahala Jirani!Wanahitaji mazungumzo ya amani hili suala la vita litulie na liishe ni ngumu kuifuta hamas na pia ni rahisi kuitumbukiza dunia ktk vita ya tatu na pia wanahatarisha uchumi wa dunia kupata mkwamo kama vita itaendelea na kusambaa basi ile strait ya hormuz na strait ya bab al mandeb zitakuwa shida kupitika na kusababisha uhaba wa mafuta na nchi zinazoendelea tutapata shida zaidi na uchumi kuyumba. walichoshindwa kukipata ndani ya siku 50 hawataweza kukipata tena kwenye vita ya ukraine imekuwa ngumu kuisha kwa kuwa usa super power anasupport ukraine na hivyo hivyo kwa kuwa hamas anapata support ya Iran na Russia hii ni ngumu kwa hamas kumalizwa kwa kuwa iran ni regional power na russia ni super power mfano mzuri ni syria assad regime ipo hadi leo kwa kuwa kunasupport ya russia na iran la angekuwa historia kama gaddafi.
We lia tu ila ukweli ndio huoIf even Natenyahu, Galant, Barnea, Raisi, Nasrallah or Abbas don't deal with them daily. If you heard of "bange" yours could be typical.
We lia tu ila ukweli ndio huo
upo sawa Israel ameonesha udhaifu mkubwa kijeshi hasa ground attack wanachapwa kweli kweli lakn upande wa pili wa shilling Hamas wanapata nini cha maana kwenye hii vita Zaidi ya kupoteza watoto na wanawake wasio na hatia kama kafara tu?Kwenye hii vita Israel kachapika sana kuliko vita yoyote ile aliyopigana na Hamas.
Wanajeshi wake wengi wameuwawa na vifaru vyake mwenywewe ndio alikuwa anaona funga kazi, vimeonekana si lolote si chochote yaani vinabondwa kama vile vimetengenezwa kwa kutumia udongo na ndio baada ya kuona mtanange unamtoa jasho amaamua kupiga/kuuwa ovyo ovyo watoto, wamama na wagonjwa
Hii kusema mtanange bado unaendelea ni kama vile kujitoa kimasomaso kwa aibu kibwa aliyoipata na kwasababu anakiburi, basi ktk hii vita Israel inakwenda kuumbuka vibaya sana
Kama haufahamu Hamas wamepata nini ktk hii vita basi utakuwa na akili ndogo sana.upo sawa Israel ameonesha udhaifu mkubwa kijeshi hasa ground attack wanachapwa kweli kweli lakn upande wa pili wa shilling Hamas wanapata nini cha maana kwenye hii vita Zaidi ya kupoteza watoto na wanawake wasio na hatia kama kafara tu?
wins this war haina maana yoyote kama Raia Tena watoto wadogo maskini wanakufa kama KUKU Jeshi lolote duniani swear an Oath to defend and protect his people Lakin Hamas don't give damn fvcking life of palestine children's life ndio kwanza Hamas wakishangiria Allah akubar kwa kupinga kifaru cha IDF
So is it worth sacrifice life of those kids for that ushindi walio pata kujadiliwa na Dunia nzima Hahaha Man like seriously?Kama haufahamu Hamas wamepata nini ktk hii vita basi utakuwa na akili ndogo sana.
Kwanza ngoja nikulesheshe ktk kauli ya waziri wa ulinzi wa USA aliposema, Israel inaweza kushinda vita in tacktic but in strategic Hamas akawa mshindi
Kwanza unatakiwa ujuwe kabla ya hii vita issue ya matatizo ya palestina yalikuwa yamesaulika au yamezikwa kwamakusudi lakini sasa yameibuliwa tena upya na unia nzima sasa hivi wanalifahamu kwa uwelewa zaidi na linatakiwa kupatiwa suluhisho kwa nguvu sana
Dunia sasa inafahamu maisha ya wapalestina under occupation yalivyo. Dunia sasa inafahamu kuwa wapalestina wengi wanakamatwa na kuwekwa magerezani bila ya mshitaka yoyote, setters wanajichikulia sheria mkononi kwa kufanya fujo na mauwaji dhidi ya wapalestina bila kuchukuliwa hatua zozote. Jana serikali ya marekani imeitaka Israel kutunga sheria ya kudhibiti fujo zinzofanywa na hao wakazi walowezi.
Mengi ya kusema ambayo yalikuwa hayafahamiki na watu wengi sasahivi yamejitokeza na yanajadiliwa kwa uzito mkubwa hasa hili la two states solution ninawashangaa sana wanaofikifili Hamas hawaja achieve chochote ktk hii vita.
Vita ya tatu mtapigana nyie wapumbavu. Congo RAIA wanakufa mbona hampigani vita ya 3Wanahitaji mazungumzo ya amani hili suala la vita litulie na liishe ni ngumu kuifuta hamas na pia ni rahisi kuitumbukiza dunia ktk vita ya tatu na pia wanahatarisha uchumi wa dunia kupata mkwamo kama vita itaendelea na kusambaa basi ile strait ya hormuz na strait ya bab al mandeb zitakuwa shida kupitika na kusababisha uhaba wa mafuta na nchi zinazoendelea tutapata shida zaidi na uchumi kuyumba. walichoshindwa kukipata ndani ya siku 50 hawataweza kukipata tena kwenye vita ya ukraine imekuwa ngumu kuisha kwa kuwa usa super power anasupport ukraine na hivyo hivyo kwa kuwa hamas anapata support ya Iran na Russia hii ni ngumu kwa hamas kumalizwa kwa kuwa iran ni regional power na russia ni super power mfano mzuri ni syria assad regime ipo hadi leo kwa kuwa kunasupport ya russia na iran la angekuwa historia kama gaddafi.