Kwanini HAMAS sasa anapigana vita alivyoshindwa?


Hakuna anayepinga na kwa hakika wanastahili pongezi. Ndivyo maana kusema wakimaliza kuachia mateka watakuwa wamebakiza karata gani?

Ilikuwa kheri kubaki na mateka na kufa na mvamizi kuliko kumpa mateka alutokee akisha wachukua wote.
 
Hakuna anayepinga na kwa hakika wanastahili pongezi. Ndivyo maana kusema wakimaliza kuachia mateka watakuwa wamebakiza karata gani?

Ilikuwa kheri kubaki na mateka na kufa na mvamizi kuliko kumpa mateka alutokee akisha wachukua wote.

Uislamu ni dini ya huruma, ukitekwa na hamas ujue utaishi kama upo nyumbani kwako. Je! Wale mashetani/mskafiri wa kiyahudi!!
 
Wameufyata mazayuni waliojidai hakuna kuongea mpaka HAMAS WAISHE, HAKUNA KUBADILISHANA MATEKA MPPAKA hAMAS WAISHE. Kiko wapi?

Tazama kichapo hiki walichochezea Ghaza:

Your browser is not able to display this video.


Mainstream media hutoyakuta hayo.
 
Kwamba hamas kauwa askari wa IDF zaidi ya 3000 mpaka sasa, kwamba israeli kaangamiza vifaru na magari zaidi ya 350 mpaka sasa, kwamba Hamas karusha zaidi ya rocket 5000 ndani ya Israel on target na off target madhara yanafichwa na vyombo vya habari vya israeli.
 
Huwezi kuvamia raia kuua na kuteka halafu wakakuita shujaa sbb hauna tofauti na majambazi.
Hamas wangeonekana mashujaa wangetangaza vita kwa Israel kutangaza vita mbona jambo rahisi tu
 
Qur'an haisemi kitu chenye shaka.

Mwenyewe hapo umejisuta.
 
jambo wasiloelewa, kuna faida gani kumwachia mtu amaye nyumba yake imevunjwa na any time anaweza kuigwa risasi akiwa nje, si bora angebaki ndani tu? hao walioachiwa utasikia muda si mrefu wameuawa.
 
Hakuna anayepinga na kwa hakika wanastahili pongezi. Ndivyo maana kusema wakimaliza kuachia mateka watakuwa wamebakiza karata gani?

Ilikuwa kheri kubaki na mateka na kufa na mvamizi kuliko kumpa mateka alutokee akisha wachukua wote.
Ni kweli kabisa ila wao ndio wanajua zaidi makubaliano yao, ndio maana pande zote hawajasema waliafikiana nini mpaka kuachia mateka
Mtu yeyote asingekubali kupatana na kuongea kuhusu mateka wakati watu wameteketea hivyo, wana uchungu sana lakini wamefikia muafaka
Yote kheri na sisi tunajiuliza Netanyahu anasema mpaka kieleweke sasa anawatisha nani wakati alishindwa kuwaokoa mpaka Qatar kaingia kati

Vita sio nzuri nimeiona kwa macho tena mara mbili
Tuwaombee tu
 
Qur'an haisemi kitu chenye shaka.

Mwenyewe hapo umejisuta.
Ni kweli mpk nimejisuta. Hata huko peponi wanaume watapewa mabikra 72. Wanaume wakiislsmu watakuwa wanafanya ngono muda wote yaani huko peponi itakuwa itakuwa inasikika milio ya watu wakifanya ngono. Hakika Quran ni kitabu kisicho nashaka ndani yake.
Nyie wanawake mtapewa nini au ndiyo utakuwa mojawapo wa mabikra 72?

Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.

Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;

Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”

Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-

Quran 37:48-49:

And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.

“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.
 
Mimi na wewe tumpongeze Kwa kweli Hamas,siku zaidi ya 46 waisrael wamekosa Mateka wao.

Hivi angesaidiwa ingekuaje.(Kwa maelezo yako)
Hizi ni story za kudanganyana, Israel alitumia muda mrefu kufanya mashambulizi ya angani kulenga ngome za Hamas. Vita ya ardhini ina wiki tatu na eneo la Hamas lishakatwa vipande viwili. Israel anatiwa presha kufanya mazungumzo na mataifa ambayo raia wake walitekwa na Hamas pamoja na maandamano ndani ya Israel. Israel hakuwa na mpango wa kufanya mazungumzo yoyote na Hamas.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hamas ishapotea, kilichobakia ni kurusharusha miguu tu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaaa!
 

Swali: Huyo Israel anaua wamama na watoto waume zao na baba watoto wakiwa wapi hadi wawatelekeze wamama na watoto? Si hao wanaume wameshapukutishwa wote? Na kama Israel imepata hasara kubwa mbona mtanange unaungurumia kwenye ardhi ya wapalestina badala ya ardhi ya Israel?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…