Kwanini HAMAS sasa anapigana vita alivyoshindwa?

Kwanini HAMAS sasa anapigana vita alivyoshindwa?

Swali: Huyo Israel anaua wamama na watoto waume zao na baba watoto wakiwa wapi hadi wawatelekeze wamama na watoto? Si hao wanaume wameshapukutishwa wote? Na kama Israel imepata hasara kubwa mbona mtanange unaungurumia kwenye ardhi ya wapalestina badala ya ardhi ya Israel?

Mkuu kombora likiripuka likateketeza maghorofa mtaa mzima utauliza wanaume walikokuwa? Kwani hao wanaume huwa wao wananusurika?
 
Wavaa kobazi wakiangalia etrugru basi wanajiona mabaunsa wanawaza kupigana na yeyote
 
Hizi ni story za kudanganyana, Israel alitumia muda mrefu kufanya mashambulizi ya angani kulenga ngome za Hamas. Vita ya ardhini ina wiki tatu na eneo la Hamas lishakatwa vipande viwili. Israel anatiwa presha kufanya mazungumzo na mataifa ambayo raia wake walitekwa na Hamas pamoja na maandamano ndani ya Israel. Israel hakuwa na mpango wa kufanya mazungumzo yoyote na Hamas.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app

Israel hakuwa na muoga wa kufanya mazungumzo ndiyo maana kufanyishwa mazungumzo ni mafanikio Kwa HAMAS.

Au wewe huoni hivyo ndugu?
 
jambo wasiloelewa, kuna faida gani kumwachia mtu amaye nyumba yake imevunjwa na any time anaweza kuigwa risasi akiwa nje, si bora angebaki ndani tu? hao walioachiwa utasikia muda si mrefu wameuawa.

Huu ndiyo ulio msingi was Mada. Wote anaoachia Sasa Israel akisha chukua waliokuwa mateka wake atarejea kuwafanya atakacho.
 
Huwezi kuvamia raia kuua na kuteka halafu wakakuita shujaa sbb hauna tofauti na majambazi.
Hamas wangeonekana mashujaa wangetangaza vita kwa Israel kutangaza vita mbona jambo rahisi tu

HAMAS alivamia majambazi waliopora ardhi ya wapalestina. Kumvamia jambazi hakukufanyi kuwa jambazi.
 
Kwamba hamas kauwa askari wa IDF zaidi ya 3000 mpaka sasa, kwamba israeli kaangamiza vifaru na magari zaidi ya 350 mpaka sasa, kwamba Hamas karusha zaidi ya rocket 5000 ndani ya Israel on target na off target madhara yanafichwa na vyombo vya habari vya israeli.

Kwa mbinyo alio nao HAMAS hata yeye mwenyewe hawezi kusema hayo.
 
Wanahitaji mazungumzo ya amani hili suala la vita litulie na liishe ni ngumu kuifuta hamas na pia ni rahisi kuitumbukiza dunia ktk vita ya tatu na pia wanahatarisha uchumi wa dunia kupata mkwamo kama vita itaendelea na kusambaa basi ile strait ya hormuz na strait ya bab al mandeb zitakuwa shida kupitika na kusababisha uhaba wa mafuta na nchi zinazoendelea tutapata shida zaidi na uchumi kuyumba. walichoshindwa kukipata ndani ya siku 50 hawataweza kukipata tena kwenye vita ya ukraine imekuwa ngumu kuisha kwa kuwa usa super power anasupport ukraine na hivyo hivyo kwa kuwa hamas anapata support ya Iran na Russia hii ni ngumu kwa hamas kumalizwa kwa kuwa iran ni regional power na russia ni super power mfano mzuri ni syria assad regime ipo hadi leo kwa kuwa kunasupport ya russia na iran la angekuwa historia kama gaddafi.
Iran Reginal power gan uliona wap maskin akawa Reginal power,angejib kipindi kile trump alikuwa madarakan alipouwawa suleman ,reginal power ukisema saud arabia ntakuambia Sawa na yeye akishajiunga na Israel Iran ameisha
 
Israel anatiwa presha kufanya mazungumzo na mataifa ambayo raia wake walitekwa na Hamas pamoja na maandamano ndani ya Israel.
Pale Uganda ilituma makomandoo kuwaokoa mateka Israel.

Urusi ilituma makomandoo kwenye jumba la starehe baada ya raia kutekwa humo.

Uganda ni mbali lakini walienda,iweje Gaza wapo pua na mdomo washindwe? Huoni kua Kuna tatizo ?
 
1. Alianza vizuri HAMAS kuwapigania wapalestina na waarabu kwa ujumla vita vyao dhidi ya mvamuzi wao sugu 7 Oct 2023.

2. Bahati mbaya waarabu hadi wapalestina wa West Bank wameufyata na kumwachia mtiti wote peke yake!

3. Mafanikio yake kwenye vita hivi yalikuwa:

a) Kumpata Israel kukubali kuongea.
b) Kumpata Israel kukubali kubadilishana wafungwa.
c) Kumfanya Israel na Marekani kuitambua sura ya HAMAS. Kumbe nani anaongea na gaidi?

4. Lakini alipo HAMAS sasa, ni heri angeamua kujitoa mhanga; yeye na jamii yake yote.

5. Kwamba wakati wa kubadilishana wafungwa, Israel anaendelea kukamata na kuuwa wapalestina wengine.

6. Kwamba walioachiwa wanaweza kuuwawa na hata kukamatwa tena wakati wowote.

7. Kwamba Israel kasema lengo lake ni kumfuta HAMAS duniani.

8. Kwamba lengo ni kumsubiri amalize kuachilia mateka tu, halafu akione cha mtema kuni!

View attachment 2827378

Kulikoni HAMAS kuendelea kukenua kinyonge hivi?
Sidhani kama upo sahihi katika mambo mengi uliyosema.
1)Hamas hawakutelekezwa Hizbollah upande wa shebah wamekua wakimtwanga Israel,Houthi Yemeni wameteka meli ya mizigo ya Israel,Iraq kikundi Cha Islamic Resistance kimelipua baadhi ya Kambi za USA,Jordan na Turkiye zimechukua hatua za kidiplomasia za kufunga balozi za Israel nchini mwao kiasi ilitetemesha wizara ya nje ya Israel na kukimbia kwa Erdogan haraka kufanya mazungumzo na Occupied west bank raia walifanya supportive rally kwa Hamas.
2)Israel Hali mbaya kwa mwezi mmoja kapoteza wanajeshi 340+ na toka afanye ground invasion kapoteza vifaru zaidi ya 50 na askari 72.
Kuifuta Hamas ni kitu hakiwezekani maana super power wa Middle east (Iran na Jordan) pamoja na Turkiye wanawatambua Hamas na kuwaunga mkono pia kwa yanayoendelea Gaza IDF wanapigika sana wakiishia kuua raia hospitali.

Hivyo Hamas hawapo kinyonge na kama Israel ataendelea kunang'ana Gaza patamtia aibu.
 
The World Must Wake Up to Israel's Lies

HAMAS:

1. Hawakuuwa watoto.

2. Hawakuchinja watu.

3. Hawakuchoma mtu moto.

4. Hospitaii hazikuwa command center.

5. Uongo baada ya uongo.
Hata idadi ya vifo wanabadilisha takwimu Kila Siku.
Walianza na watu 1400 wakapunguza mpaka 1300 sasa wanasema ni raia 1149 ndio waliofariki.
Sijui kesho watasema wangapi.
 
Duuu yaani wewe ndiyo mtumishi hasa wa yule Shetani Mkubwa yaani ALLAH
SAHIH AL- BUKHARI 4950

Kwani wewe ni nabii Tito hata kuyajua hayo huko uliko?
 
Back
Top Bottom