Kwanini HAMAS sasa anapigana vita alivyoshindwa?


Mkuu kombora likiripuka likateketeza maghorofa mtaa mzima utauliza wanaume walikokuwa? Kwani hao wanaume huwa wao wananusurika?
 
Wavaa kobazi wakiangalia etrugru basi wanajiona mabaunsa wanawaza kupigana na yeyote
 

Israel hakuwa na muoga wa kufanya mazungumzo ndiyo maana kufanyishwa mazungumzo ni mafanikio Kwa HAMAS.

Au wewe huoni hivyo ndugu?
 
jambo wasiloelewa, kuna faida gani kumwachia mtu amaye nyumba yake imevunjwa na any time anaweza kuigwa risasi akiwa nje, si bora angebaki ndani tu? hao walioachiwa utasikia muda si mrefu wameuawa.

Huu ndiyo ulio msingi was Mada. Wote anaoachia Sasa Israel akisha chukua waliokuwa mateka wake atarejea kuwafanya atakacho.
 
Huwezi kuvamia raia kuua na kuteka halafu wakakuita shujaa sbb hauna tofauti na majambazi.
Hamas wangeonekana mashujaa wangetangaza vita kwa Israel kutangaza vita mbona jambo rahisi tu

HAMAS alivamia majambazi waliopora ardhi ya wapalestina. Kumvamia jambazi hakukufanyi kuwa jambazi.
 

Kwa mbinyo alio nao HAMAS hata yeye mwenyewe hawezi kusema hayo.
 
Huwezi kuvamia raia kuua na kuteka halafu wakakuita shujaa sbb hauna tofauti na majambazi.
Hamas wangeonekana mashujaa wangetangaza vita kwa Israel kutangaza vita mbona jambo rahisi tu
Waliovamiwa kwa miaka 75 na kutekwa ardhi yao na kufanywa waishi kwenye kambi za mateso, hamuyaoni?
 
Iran Reginal power gan uliona wap maskin akawa Reginal power,angejib kipindi kile trump alikuwa madarakan alipouwawa suleman ,reginal power ukisema saud arabia ntakuambia Sawa na yeye akishajiunga na Israel Iran ameisha
 
Israel anatiwa presha kufanya mazungumzo na mataifa ambayo raia wake walitekwa na Hamas pamoja na maandamano ndani ya Israel.
Pale Uganda ilituma makomandoo kuwaokoa mateka Israel.

Urusi ilituma makomandoo kwenye jumba la starehe baada ya raia kutekwa humo.

Uganda ni mbali lakini walienda,iweje Gaza wapo pua na mdomo washindwe? Huoni kua Kuna tatizo ?
 
Sidhani kama upo sahihi katika mambo mengi uliyosema.
1)Hamas hawakutelekezwa Hizbollah upande wa shebah wamekua wakimtwanga Israel,Houthi Yemeni wameteka meli ya mizigo ya Israel,Iraq kikundi Cha Islamic Resistance kimelipua baadhi ya Kambi za USA,Jordan na Turkiye zimechukua hatua za kidiplomasia za kufunga balozi za Israel nchini mwao kiasi ilitetemesha wizara ya nje ya Israel na kukimbia kwa Erdogan haraka kufanya mazungumzo na Occupied west bank raia walifanya supportive rally kwa Hamas.
2)Israel Hali mbaya kwa mwezi mmoja kapoteza wanajeshi 340+ na toka afanye ground invasion kapoteza vifaru zaidi ya 50 na askari 72.
Kuifuta Hamas ni kitu hakiwezekani maana super power wa Middle east (Iran na Jordan) pamoja na Turkiye wanawatambua Hamas na kuwaunga mkono pia kwa yanayoendelea Gaza IDF wanapigika sana wakiishia kuua raia hospitali.

Hivyo Hamas hawapo kinyonge na kama Israel ataendelea kunang'ana Gaza patamtia aibu.
 
The World Must Wake Up to Israel's Lies

HAMAS:

1. Hawakuuwa watoto.

2. Hawakuchinja watu.

3. Hawakuchoma mtu moto.

4. Hospitaii hazikuwa command center.

5. Uongo baada ya uongo.
Hata idadi ya vifo wanabadilisha takwimu Kila Siku.
Walianza na watu 1400 wakapunguza mpaka 1300 sasa wanasema ni raia 1149 ndio waliofariki.
Sijui kesho watasema wangapi.
 
Duuu yaani wewe ndiyo mtumishi hasa wa yule Shetani Mkubwa yaani ALLAH
SAHIH AL- BUKHARI 4950

Kwani wewe ni nabii Tito hata kuyajua hayo huko uliko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…