Nyakitagara
Member
- Feb 7, 2019
- 57
- 90
Bora wao yaani huku bara ni bure kabisaZanzibar wanajitahidi sana katika hili. Japo kuna kiingilio kidogo ila hukosi sehemu za kuchill na familia na kula upepo zinazomilikiwa na serikali
Naungana nawe katika hili..kila sehemu ya wazi kama sio bar, basi ni garage au kituo cha mafuta nkHabari wadau wa jukwaa la ujenzi.
Mimi ni mama wa watoto wadogo watatu.
Ninaishi katika jiji la Dar es Salaam mitaa ya Temeke.Yaani huwa natamani kuwapeleka watoto wangu sehemu ya kucheza karibu na nyumbani lakini hakuna, yaani wazungu wanaita park.
Tumeshidwa kabisa kuweka sehemu kama hizi kwa ajili ya mapumzuko au jumuiko la wakazi.Kila sehemu ni bar tu.
Tufanyeje tuweze kupata sehemu kama hizi.Sio tu kwenda kubanana coco beach ma kulazimishwa kula mihogo na mishikaki hata kama hitaki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora wasiweke na wakiweka kuwe na viingilio kuanzia teni kwenda juu, jobles wasije wakageuza makao yao ya kuzugia watz wengi ni wavivu wavivu ndio mana likitokea tukio utawakuta wamejazana kumbe lengo wapate pakupotezea muda shenziiiii kbs
CCM wamefanya free park zote kuwa zao, wanapaki magari, wanauza kitimoto/nguruwe maeneo ya mikocheni kwa kikwete, na maeneo mengi Tanganyika, kawaulize hao wenye chamaHabari wadau wa jukwaa la ujenzi.
Mimi ni mama wa watoto wadogo watatu.
Ninaishi katika jiji la Dar es Salaam mitaa ya Temeke. Yaani huwa natamani kuwapeleka watoto wangu sehemu ya kucheza karibu na nyumbani lakini hakuna, yaani wazungu wanaita park.
Tumeshidwa kabisa kuweka sehemu kama hizi kwa ajili ya mapumzuko au jumuiko la wakazi. Kila sehemu ni bar tu.
Tufanyeje tuweze kupata sehemu kama hizi. Sio tu kwenda kubanana Coco Beach ma kulazimishwa kula mihogo na mishikaki hata kama hitaki.
Afrika tuwe tu na mazingira yanayoendana na mawazo yetu! Kutaka tuwe kama ulaya hata uchumi tu hauruhusu mbali na tamaduniHizo park hata zikiwepo utunzaji sifuri... Uhuru park pale moshi wana eneo kubwa ila pamechoka sana, bembea zimechoka maji hakuna alaf cha ajabu bado kuna kiingilio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zilikuwapo hizo sehemu pamoja na viwanja vya watoto kucheza ila serikali iliojaa ufisadi yale maeneo yote waliuziwa watu na makanisa.Habari wadau wa jukwaa la ujenzi.
Mimi ni mama wa watoto wadogo watatu.
Ninaishi katika jiji la Dar es Salaam mitaa ya Temeke. Yaani huwa natamani kuwapeleka watoto wangu sehemu ya kucheza karibu na nyumbani lakini hakuna, yaani wazungu wanaita park.
Tumeshidwa kabisa kuweka sehemu kama hizi kwa ajili ya mapumzuko au jumuiko la wakazi. Kila sehemu ni bar tu.
Tufanyeje tuweze kupata sehemu kama hizi. Sio tu kwenda kubanana Coco Beach ma kulazimishwa kula mihogo na mishikaki hata kama hitaki.
Ni kweli kabisa. Kwanza tuanzie na kuwa na Mipango madhubuti AKILINI mwetu (i.e. Tuelimishane hadi tuive kabisa kwanza) ndipo tuingie kwenye Mchakato wa kuyaanzisha. Mbona Maeneo wazi yapo (Open spaces zipo) lakini kama Ulivyobainisha na pia Wadau walivyosema hapo juu, huvamiwa na Hakuna anayesimama na kukemea jambo hilo kwa madai eti --"Usiwabughudhi wapiga kura wangu.."Kwa bongo hii city standard bado kuifikia Zaid ya miaka 100 mbele. Itaishambuliwa kiajabu ajabu na wafanya biashara wadogo wadogo Kama makazi yao! Ona walivyozifany road reserves [emoji23]