Nyakitagara
Member
- Feb 7, 2019
- 57
- 90
Habari wadau wa jukwaa la ujenzi.
Mimi ni mama wa watoto wadogo watatu.
Ninaishi katika jiji la Dar es Salaam mitaa ya Temeke. Yaani huwa natamani kuwapeleka watoto wangu sehemu ya kucheza karibu na nyumbani lakini hakuna, yaani wazungu wanaita park.
Tumeshidwa kabisa kuweka sehemu kama hizi kwa ajili ya mapumzuko au jumuiko la wakazi. Kila sehemu ni bar tu.
Tufanyeje tuweze kupata sehemu kama hizi. Sio tu kwenda kubanana Coco Beach ma kulazimishwa kula mihogo na mishikaki hata kama hitaki.