Kwanini hatuna maeneo ya kupumzikia katika mitaa yetu?

Kwanini hatuna maeneo ya kupumzikia katika mitaa yetu?

Nyakitagara

Member
Joined
Feb 7, 2019
Posts
57
Reaction score
90
Habari wadau wa jukwaa la ujenzi.

Mimi ni mama wa watoto wadogo watatu.

Ninaishi katika jiji la Dar es Salaam mitaa ya Temeke. Yaani huwa natamani kuwapeleka watoto wangu sehemu ya kucheza karibu na nyumbani lakini hakuna, yaani wazungu wanaita park.

Tumeshidwa kabisa kuweka sehemu kama hizi kwa ajili ya mapumzuko au jumuiko la wakazi. Kila sehemu ni bar tu.

Tufanyeje tuweze kupata sehemu kama hizi. Sio tu kwenda kubanana Coco Beach ma kulazimishwa kula mihogo na mishikaki hata kama hitaki.
 
Sehemu za wazi temeke mbona zipo nyingi.

Wewe unaishi temeke ipi?

Viwanja vya TCC chang'ombe, viwanja vya mwembe yanga, viwanja vya madenge, viwanja vya makangarawe, na viwanja vilivyopo katika kila shule ya msingi iliyopo wilaya ya temeke. Vyote hivyo huvioni?
 
Poor city planning hakuna kingine. Lakini pia ikitokea tu eneo likaachwa wazi basi amini nakuambia hilo litakuwa solo, uwanha wa mpira..ni, haliwezi tu kuachwa hivi. Ustaarabu hakuna.
 
Mkuu hizo sehemu zote umetaja viwanja vya kucheza mpira na sio park.
452b487d163f6b441898769575334412.jpg
 
Habari wadau wa jukwaa la ujenzi.
Mimi ni mama wa watoto wadogo watatu.

Ninaishi katika jiji la Dar es Salaam mitaa ya Temeke.Yaani huwa natamani kuwapeleka watoto wangu sehemu ya kucheza karibu na nyumbani lakini hakuna, yaani wazungu wanaita park.

Tumeshidwa kabisa kuweka sehemu kama hizi kwa ajili ya mapumzuko au jumuiko la wakazi.Kila sehemu ni bar tu.

Tufanyeje tuweze kupata sehemu kama hizi.Sio tu kwenda kubanana coco beach ma kulazimishwa kula mihogo na mishikaki hata kama hitaki.
Naungana nawe katika hili..kila sehemu ya wazi kama sio bar, basi ni garage au kituo cha mafuta nk
 
Bora wasiweke na wakiweka kuwe na viingilio kuanzia teni kwenda juu, jobles wasije wakageuza makao yao ya kuzugia watz wengi ni wavivu wavivu ndio mana likitokea tukio utawakuta wamejazana kumbe lengo wapate pakupotezea muda shenziiiii kbs
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari wadau wa jukwaa la ujenzi.

Mimi ni mama wa watoto wadogo watatu.

Ninaishi katika jiji la Dar es Salaam mitaa ya Temeke. Yaani huwa natamani kuwapeleka watoto wangu sehemu ya kucheza karibu na nyumbani lakini hakuna, yaani wazungu wanaita park.

Tumeshidwa kabisa kuweka sehemu kama hizi kwa ajili ya mapumzuko au jumuiko la wakazi. Kila sehemu ni bar tu.

Tufanyeje tuweze kupata sehemu kama hizi. Sio tu kwenda kubanana Coco Beach ma kulazimishwa kula mihogo na mishikaki hata kama hitaki.
CCM wamefanya free park zote kuwa zao, wanapaki magari, wanauza kitimoto/nguruwe maeneo ya mikocheni kwa kikwete, na maeneo mengi Tanganyika, kawaulize hao wenye chama
 
Habari wadau wa jukwaa la ujenzi.

Mimi ni mama wa watoto wadogo watatu.

Ninaishi katika jiji la Dar es Salaam mitaa ya Temeke. Yaani huwa natamani kuwapeleka watoto wangu sehemu ya kucheza karibu na nyumbani lakini hakuna, yaani wazungu wanaita park.

Tumeshidwa kabisa kuweka sehemu kama hizi kwa ajili ya mapumzuko au jumuiko la wakazi. Kila sehemu ni bar tu.

Tufanyeje tuweze kupata sehemu kama hizi. Sio tu kwenda kubanana Coco Beach ma kulazimishwa kula mihogo na mishikaki hata kama hitaki.
Zilikuwapo hizo sehemu pamoja na viwanja vya watoto kucheza ila serikali iliojaa ufisadi yale maeneo yote waliuziwa watu na makanisa.
 
Kwa bongo hii city standard bado kuifikia Zaid ya miaka 100 mbele. Itaishambuliwa kiajabu ajabu na wafanya biashara wadogo wadogo Kama makazi yao! Ona walivyozifany road reserves [emoji23]
Ni kweli kabisa. Kwanza tuanzie na kuwa na Mipango madhubuti AKILINI mwetu (i.e. Tuelimishane hadi tuive kabisa kwanza) ndipo tuingie kwenye Mchakato wa kuyaanzisha. Mbona Maeneo wazi yapo (Open spaces zipo) lakini kama Ulivyobainisha na pia Wadau walivyosema hapo juu, huvamiwa na Hakuna anayesimama na kukemea jambo hilo kwa madai eti --"Usiwabughudhi wapiga kura wangu.."
 
Back
Top Bottom