Kwanini hatutambui umuhimu wa China kwa mataifa yanayoendelea?

Kwanini hatutambui umuhimu wa China kwa mataifa yanayoendelea?

There have been credible reports of talks between the Zambian government and China on handing over the country’s national electricity company, ZESCO to the Chinese due to the inability of Zambia to meet its loan repayment promises. This is expected as China is already in control of the country’s broadcasting company, ZNBC. There are also fears the main airport in Lusaka could be the next target.

Obliviously, Zambia is in trouble. And for other African beneficiaries of Chinese loans, they should prepare for the same possibility in the eventuality that they aren’t able to repay China.

Debt Acceleration was the Plan​

China is smart and deliberate about its policy in Africa. It understands the development deficit on the continent and it is strategically using this to keep Africa’s economic future under its arms.

Africa has what China needs to further propel its economy, specifically crude oil and copper. The best way to ensure an abundant supply of these in the future would be to make the depository countries owe it, which it has excellently done so far.

The play is simple. Give staggering loans to inept leaders and keep the details of repayment from the prying eyes of the public. Eventually, if debtors are unable to service their debts, China takes over its collateral which is mostly in national assets. But this does not comprehend the severity of the situation Africa finds itself.

Reports show that a substantial number of African countries have taken Chinese loans since 2000, totaling a whopping $124 billion by 2016. Of course, there have been more after that. But, Africa is only a victim of its own ignorance as the world had severally warned of China’s end goal.

Just last month, the International Monetary Fund (IMF) and the United States advised African leaders of the imperial intentions of China. A core of the Belt and Road Initiative developed by President Xi Jinping in 2013. However, the lack of thought and foresight by African leaders will not let them vet the deal thoroughly before putting ink on paper.

Africa bought the Play​

Nearly all major economies in sub-Saharan Africa today are massively indebted to China. What makes this worse is that most of them have poor economic projections for the next few years and will almost certainly have problems servicing their debts.

For instance, around 72 percent of Kenya’s $50 billion bilateral debts are owed to China, with the East African country requesting an additional $3.8 billion extension. Nigeria also recently accrued some $5 billion in loans from China, and Angola still owes about $21.2 billion with a pending proposal for another $4.4 billion.

South Africa should be getting $14.5 billion in Chinese investment soon and another $2.5 billionloan for its embattled national power company, ESKOM. Weaker economies like the Democratic Republic of Congo, Sudan, and Ethiopia have also incurred large debt from China.

The reality in these figures is that the majority of the beneficiary countries will not achieve the intended goals of the loans. This primarily because of corruption and poor economic structure.

How the beneficiary countries will manage to repay China without ending up like Zambia is yet to be seen, especially now that China is responding hard.

Defaulters should not also expect any help as they had from the IMF in 2005, with the Multilateral Debt Relief Initiative that canceled over $100 billion debt for 30 Africans countries. The US has admonished the IMF not to bail out any country having debt servicing troubles with Chinese loans.

It also does not seem like any other bloc will be willing, too, considering the volume of money involved, or in light of risking the US consequences.

A Ready-Made Alternative to Loan?​

Now that Africa is having trouble with China, perhaps African leaders could consider prioritizing better financial structuring and eliminate corruption.

The African Union reported in 2014 that the continent lost $184 billion to corruption annually. This was only derived from documented figures three years ago, which logically puts the figure much higher. Whereas, if African countries can plug all leakages, they could generate enough money to finance a substantial part of the many development problems they face.

More so, the excessive expectation on governments to provide jobs, infrastructure, education, and other needs is a driving force for loan procurement.

It is evident that governments cannot provide all that is required to make an economy flourish. In fact, the more it consumes itself in this belief, the greater the problems it creates for the economy.

For instance, transportation and power generation that accounts for most of the spending of Chinese loans can be efficiently provided by private investors.

The same reason telecommunication is solving many problems on the continent without government ownership or the need for loans, is the same reason privatization would work for these crucial sectors.

China has made its intentions to dominate the global economy clear enough for any serious mind to realize. It knows the enormous potentials Africa possesses, and it will go the extra length to utilize them for its selfish mission. Just like Europe did with colonialism.

If African countries should make themselves the stepping stones for China and worse-off afterward, the consequences would be theirs to bear, alone.

Ibrahim B. Anoba is a Senior Fellow at AfricanLiberty.org. Follow his tweets on Africa:@ibrahim_anoba.
Sasa mfano hapa inaonekana kabisa mali za aliyekopa zinachukuliwa ambapo ni kitu cha kawaida hata kwa mtu mojamoja hata hapa kwetu katika mabenki.

Wewe unataka ukikopa ukishindwa kulipa uongezwe mkopo, alafu tena ukishindwa uongezewe tena vivyo hivyo kama vile hauna ubongo. Je, kwako wewe hii ni sahihi?

Unapowajibishwa pale unaposhindwa kulipa ni sawa na kukumbushwa kutumia mikopo kwa usahihi na si kununulia wapinzani, kuunda magenge ya kihalifu, kuhonga wanawake weupe weupe na kujijengea majumba ya kifahari na viwanja vya ndege vya kifahari porini ambako kutakufanya ushindwe kurejesha mkopo.

China inatumia kanuni za asili za kukumbushwa kulipa gharama ya matendo yako... Mataifa ya magharibi wanakunyamazia ili wawe na nguvu ya kukuforce kukubaliana na mambo yao hata kama hutaki
 
Tatizo sio China bali ni Zambia kwa kukopa bila kujua unaenda kufanyia nini huo mkopo
kwenye shabba ambayo zambia ingetosha kabisa kuwafanya wawe nchi ya maendeleo ya juu wanapata nini ? shabba ndiyo ipo kwenye betri zote na mitambo yote ya air condition na china inaongoza kwasababu ya Zambia. Haya madeni ya Zambia yamewekwa makusudi kuitawala na kuchukuwa shabba leo unataka tuwasifia china kwa lipi?
 
Hebu acha KUKURUPUKA!!! Ulisikia lini nchi yoyote ile ya Magharibi kuchukua asset ya nchi yoyote ile Africa au third World kwa kushindwa kulipa deni!?
😳😳😳😳😳
Sasa mfano hapa inaonekana kabisa mali za aliyekopa zinachukuliwa ambapo ni kitu cha kawaida hata kwa mtu mojamoja hata hapa kwetu katika mabenki.

Wewe unataka ukikopa ukishindwa kulipa uongezwe mkopo, alafu tena ukishindwa uongezewe tena vivyo hivyo kama vile hauna ubongo. Je, kwako wewe hii ni sahihi?

Unapowajibishwa pale unaposhindwa kulipa ni sawa na kukumbushwa kutumia mikopo kwa usahihi na si kununulia wapinzani, kuunda magenge ya kihalifu, kuhonga wanawake weupe weupe na kujijengea majumba ya kifahari na viwanja vya ndege vya kifahari porini ambako kutakufanya ushindwe kurejesha mkopo.

China inatumia kanuni za asili za kukumbushwa kulipa gharama ya matendo yako... Mataifa ya magharibi wanakunyamazia ili wawe na nguvu ya kukuforce kukubaliana na mambo yao hata kama hutaki
 
CHINA WANAKUSAIDIA WAKUMALIZE. KAULIZE ZAMBIA NA SRI LANKA... AFRICA IJITEGEMEE TUACHE KUSUBIRIA WAKOLONI
Dawa ya deni ni kulipa sio kutaka kuongezewa mikopo huku ukisamehewa mikopo ya zamani... Ukiwa na akili hizi za kutaka raia wa Ulaya walipe kodi alafu wakuletee wewe ule tu huo ni upumbavu wa hali ya juu sana!

Hivi ulishawahi kukopa kidogo kwenye taasisi yoyote au kwa mtu binafsi ujue haya mambo au nakupigia gitaa?
 
kwenye shabba ambayo zambia ingetosha kabisa kuwafanya wawe nchi ya maendeleo ya juu wanapata nini ? shabba ndiyo ipo kwenye betri zote na mitambo yote ya air condition na china inaongoza kwasababu ya Zambia. Haya madeni ya Zambia yamewekwa makusudi kuitawala na kuchukuwa shabba leo unataka tuwasifia china kwa lipi?
China aliwashikia mtutu kuwalazimisha kusaini hiyo mikopo?

Hapa Tanzania tu maviongozi yenu yanasaini mikataba mibovu ambayo unakuta wao wanaondoka na 90 huku asilimia 10 ikibaki. Haya hamyaoni ila mmebaki kushikilia propaganda za mabeberu dhidi ya China
 
Mleta mada, umeleta jambo zuri sana na niukweli usiopingika kuwa china imejitoa sana katika kulisaidia bara la Africa hasa katika masuala ya kiuchumi, vitu vilivyokuwa bei ghari kama magari imekuwa jambo la kawaida.

Lakini pia pamoja na yote hayo china inamalengo yake kwa Africa, pasipo kujali malengo yake au dhamira yake ching no rafiki bora Wa Africa ukilinganisha na mataifa mengine.

Naomba pia niulize swali, je Africa haiwezi kuendelea pasi na kutegemea mikopo?
 
Hebu acha KUKURUPUKA!!! Ulisikia lini nchi yoyote ile ya Magharibi kuchukua asset ya nchi yoyote ile Africa au third World kwa kushindwa kulipa deni!?
😳😳😳😳😳
Nini maoni yako? Waendelee kutupa mikopo na misaada tuile alafu waje tena kutujengea vyoo?
Hata baba mwenye uwezo hawezi kufanya hivyo kwa mwanae... Hayo ni matumizi mabaya ya akili
 
Jibu swali langu badala ya kulikimbia!!!
Nini maoni yako? Waendelee kutupa mikopo na misaada tuile alafu waje tena kutujengea vyoo?
Hata baba mwenye uwezo hawezi kufanya hivyo kwa mwanae... Hayo ni matumizi mabaya ya akili
 
Mleta mada, umeleta jambo zuri sana na niukweli usiopingika kuwa china imejitoa sana katika kulisaidia bara la Africa hasa katika masuala ya kiuchumi, vitu vilivyokuwa bei ghari kama magari imekuwa jambo la kawaida.

Lakini pia pamoja na yote hayo china inamalengo yake kwa Africa, pasipo kujali malengo yake au dhamira yake ching no rafiki bora Wa Africa ukilinganisha na mataifa mengine.

Naomba pia niulize swali, je Africa haiwezi kuendelea pasi na kutegemea mikopo?
Inaweza. Kinachoonekana mbele ambacho ni kizuri kwa wengi na kibaya kwa wachache ni kwamba, China itakapokuwa imewashusha chini mabwana waliopo sasa itapanga hadi safu ya viongozi wachapakazi sehemu zote duniani kwa lengo moja tu ambalo ni kujenga dunia yenye hatma ya pamoja.

Yani katiba itakayokuja kutawala dunia moja itakuwa ni katiba kutokea China ambayo itaunganisha watu wote wenye kuwajibika kwa usawa na kisheria... Jambo hili litachukua muda ila litatimia... Kwa sasa ufisadi ndio kitu kibaya sana kwenye mataifa masikini ambapo ndicho kitakuwa cha kwanza kuwekewa adhabu kali na serikali moja ya dunia itakayoletwa na watu wenye macho madogo.

Hivyo kwa swali lako, ili Afrika iendelee bila kutegemea mikopo itahitajika kwanza ufisadi na matumizi mabaya ya mali za umma vikomeshwe kwa kiwango kikubwa ili kodi za wananchi ziende kwenye elimu bora ya vitendo ambayo itazalisha maendeleo bila maumivu.
 
Umuhimu gani wakati China ni mkoloni mpya katika Afrika ambaye tofauti yake na wazungu ni kimo chake na wakati? Kwanini hatutaki kujitegemea kwa kuanza kufikiri kama binadamu na si manyani?
Umemaliza yote. Kuna msemo kuwa utumwa ulitufanya akili zetu ziwe tegemezi. Huyu ''mwamba'' yeye badala ya kuhoji ni kwa nini sisi wenyewe tusijitahidi kutengeneza mambo yetu yeye anahoji ni kwa nini tusijiondoe kutoka nchi za Magharibi tukimbilie kwa mchina.🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sasa mkuu unategemea nini kwa mtu anaekukopesha mara kwa mara bila kukudai?
Huoni kuna siku atataka usichoweza kumpa?
Mkuu Unashindwa kutofautisha baina ya Mikopo ya kibaishara na mikataba yake na mikopo ya Kimaendeleo.

Mikopo mingi ya Kimaendeleo inakuwa himilivu na Riba ndogo sana, Sema ina masharti, mfano kama unachukua mkopo WA Elimu basi utumie kuendeleza Elimu. Mara nyingi interest rate ni single digit Asilimia 1 mpaka 9.

Mikopo ya Kichina mingi ni ya Kibiashara, yenye Riba kubwa na Huulizwi, kiongozi wa Africa anaweza chukua mkopo akamjengengea Hawara yake Nyumba, baadae wananchi wanalipa Riba na mkopo. China Wana Charge as much as 17% interest rate.
 
Sasa ni hivi mwenye makosa ni mkopaji sio mkopeshaji
 
China yupo Afrika kimaslahi zaidi

Hao so ndio wamekamatwa juzi Dsm wakitutengenezea K-Vant feki kabisa katika hali ya uchafu uliopindukia
 
China ni taifa kiuhalisia bado halijastaabika... mchina mtu wa ajabu saana..

Ukitaka kujua taifa lao lilivyo..kaa jirani na Mchina - hovyo kabisa hawa jamaa
 
Uungaji mkono wa China kwenye majukwaa ya kimataifa sio jambo la bahati mbaya

Katika muda wa miaka 20 iliyopita China imejitokeza kuwa msaada mkubwa kwa nchi nyingi duniani, hasa nchi za dunia ya tatu ambazo kwa muda mrefu zimekuwa wahanga wa unyonyaji, kupuuzwa na ukandamizaji.

Lakini kujitokeza kwa China na kuwa na sauti kwenye jukwaa la kimataifa, iwe ni kwenye eneo la uchumi au eneo la kidiplomasia, kumefanya hali ya unyonyaji na kupuuzwa kupungua au hata kutoweka.

Tukiangalia tangu mwaka 2001 China ilipojiunga na Shirika la Biashara duniani WTO, hali mpya ilianza kujitokeza katika nchi za Afrika, na kwenye nchi za dunia ya tatu.

Bidhaa ambazo zamani zilikuwa ni haki ya matajiri, zilianza kuwa za kawaida kwa watu maskini katika nchi hizo.
Polepole mambo ambayo yalikuwa ndoto tu au yaliyoonekana kuwa haki ya matajiri wa Ulaya na Marekani, yakaanza kuonekana kuwa ni mambo yanayowezekana kwa watu wa nchi hizo.

Maendeleo ya viwanda nchini China yakawa ni msaada mkubwa sana kwa watu wa nchi hizo kubadilisha maisha yao.

Lakini mbali na biashara zilizogusa moja kwa moja maisha ya watu wa kawaida, serikali za nchi hizo zilipata chanzo kipya cha fedha, iwe ni mikopo au mitaji.

Kwa muda mrefu, baadhi ya nchi za magharibi zilikuwa zinatumia nyenzo hizo kama njia ya uingiliaji na ukandamizaji wa nchi za dunia ya tatu.

Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ambazo kwa muda mrefu zimedhibitiwa na nchi za magharibi, zilikuwa zikitoa mikopo kwa masharti magumu ambayo yalifanya maendeleo kwa nchi hizo liwe jambo lisilowezekana.

Kujitokeza kwa China kiuchumi kulifanya China iwe chanzo kipya cha fedha, na kuondoa utegemezi wa nchi za magharibi.

Hali hii sio kama tu inaonekana kwenye eneo la uchumi, bali pia inaonekana kwenye eneo la siasa za kimataifa.

Mara nyingi kwenye majukwaa ya kimataifa, kumekuwa na majaribio ya kuishambulia China kwa kutumia majukwaa hayo.

Baadhi ya nchi za magharibi zimekuwa zikipeleka miswada inayoilenga China ili kupigiwa kura. Iwe ni suala la haki za binadamu, au iwe ni suala la kujaribu kuipenyeza Taiwan kwenye mkutano wa WHO, miswada hiyo imekuwa ikigonga mwamba.

Baadhi ya wanahabari na wachambuzi wa mambo ya kisiasa wa nchi za magharibi wamekuwa wakijiuliza, ni kwanini China imekuwa inaungwa mkono na nchi za Afrika, au hata nchi nyingine za dunia ya tatu kwenye majukwaa ya kimataifa, wakati nchi hizo zina tofauti kubwa sana na China?

Jibu la swali hili, linaweza kuwa swali. Kwanini China inaziunga mkono nchi za Afrika na nchi za dunia ya tatu kwenye upigaji kura kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa?

Ukweli ni kwamba nchi hizo zote ambazo si wajumbe wa kudumu wa Baraza la Usalama, zimekuwa wahanga wa maamuzi yasiyo ya haki kwenye vikao vya Baraza hilo, na China imekuwa mtetezi wa nchi hizo, na wakati mwingine imekuwa ikipiga kura ya turufu kuzuia maamuzi yasiyo ya haki dhidi ya nchi hizo.

Kwa hiyo nchi nyingi zinatambua kuwa sauti yao kwenye Baraza la Usalama inawakilishwa na China.
Kwa hiyo si ajabu kwa nchi za Afrika na nchi za dunia ya tatu kuiunga mkono China, na hali hii itaendelea kwa muda mrefu kwa sababu msingi wake ni imara.

Yapi maoni yako katika hili? Kumbuka kuwa, kama sio China hata smartphone zingekuwa ni jambo la anasa huku
Afrika

Sisi Binadamu ni wanafki sana.
 
Back
Top Bottom