Kwanza hii term mzungu ina apply kwa mtu wa ulaya, watu wa Marekani ambapo chanjo, sijui Arv na mengineyo yanatoka si wazungu.
Na kuna mataifa mengi ya ulaya Denmark, Norway, Sweden, Finland na Nordic countries kwa Ujumla ni wadau wa maendeleo siku Nyingi, hawaibi, wala hawana Masharti magumu kivile.
Huku kwetu Tanga, pembezoni mwa Bahari kuna Bustani zimezunguka kote, na makochi ya Cement, kila Mtu anaweza kupumzika Jioni na familia na kula Good time, jamaa wanajali sana Utu na Ubora wa maisha.
Na Tunadaiwa matrilioni ya Hela na hao wazungu na Nyengine tunasamehewa ila sijawahi kusikia wakitunyang'anya mbuga ama migodi,