Kwanini hawa rafiki zangu wanaumia sana mioyo yao

wana roho ndogo sana hao. pambana uchomoke hapo ili usiendelee kuwategemea
 
Yaani ulishindwa kupanga chumba cha bei rahisi ununue na kagodoro kadogo uegeshe kwako ukimaliza mishe unaondoka.. Hii inanikumbusha juzi tu madereva wawili ofisini tumewashauri wapange tu chumba maana toka waje wanalala lodge elfu kumi kila siku sasa Kwa mwezi ni laki tatu ambazo ushapata chumba na godoro hata ukiliweka chini poa tu.
 
Jitahidi ubadlishe hayo mawazo

Ukiona watu wanateseka maana yake wewe ndo unateseka

Usiishi hayo maisha play low key ,jishushe Sana live like a commoner you will get alot

Then don't complaining and blaming anybody.

However don't resent anybody

Kill ur Ego.

All peoples are static its up to you to be dynamic as to fit in theirs shoes.
 
Kapange chumba chako mkuu.
Unawabana watu
 
Sasa hela unazo bado unavizia kulala kitanda cha watu, pia unaleta mbwembwe za kununua vitu ilihal usikute unae lala kwake hana hata umeme wa luku lazima akumainidi, japange hotel brother kufikia kwa watu unawanyima uhuru
 
Sasa hela unazo bado unavizia kulala kitanda cha watu, pia unaleta mbwembwe za kununua vitu ilihal usikute unae lala kwake hana hata umeme wa luku lazima akumainidi, japange hotel brother kufikia kwa watu unawanyima uhuru
Simu ya laki mbili inakuumiza roho VIP.... Mimi sio mkaaji wa dar napita tu, nikiishi dar nitakuwa masikini
 
Hapana mkuu Kuna watu huwa wanateseka na vitu vidogo vidogo.... Hasa hawa waswahili wa daressalam...... Sijui ni kwa sababu ya ugumu wa maisha? Mbaya zaidi wengi wao bongo zoo zipo dormant akiferi ameferi Hawana plan b
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…