Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
- Thread starter
- #41
Tukiondoka asubuhi tunakutana usiku kila mmoja anashinda kwenye harakati zakeCha kwako au cha wote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukiondoka asubuhi tunakutana usiku kila mmoja anashinda kwenye harakati zakeCha kwako au cha wote?
Kwa watu wa Daslam hata kama haulali unaweka tu begi lao kwao wanataka waone na wewe ukijitoa mzee uchangie chochote kitu.Hapa Mimi nalala tu mkuu
Bill ya maji na umeme natoaKwa watu wa Daslam hata kama haulali unaweka tu begi lao kwao wanataka waone na wewe ukijitoa mzee uchangie chochote kitu.
Nunua chakula cha woteTukiondoka asubuhi tunakutana usiku kila mmoja anashinda kwenye harakati zake
Huu uvivu sasa, fanyeni kaziNunua chakula cha wote
Nunua unga, mchele, maharage, mafuta weka ndaniHuu uvivu sasa, fanyeni kazi
Mkiishi masikini-kunuka wote sehemu moja hayo ndiyo matokeo yake.Wakuu nipo Daressalam yapata mwezi sasa, nilitoka mkoani kuja huku kufukuzia fursa mbalimbali na kuongeza exposure.
Ukizingatia mimi sio mtu wa kuishi sehemu moja kwa muda mrefu, kule mkoani kuna ishu zangu ambazo huwa nafanya na zinaniingizia pesa ya kuendesha maisha yangu.
Toka nimekuja huku daressalam sijaweza kufanikiwa kwa lolote, naona watu wengi huku wanaishi kinafiki Sana, kuna rafiki yangu nimejiegesha kwake kwa muda yaani mimi ni kulala tu.. mambo mengine yote namaliza mwenyewe.
Sasa kinachoniacha hoi ni kuhusu hawa rafiki zangu wa dar😀😀 nikinunua kitu kizuri mfano kiatu au simu unaona kabisa wanaumia.
Bajeti yangu toka nimefika hapa huwa nanunua ile chupa kubwa ya maji lita 13 ...napo pia naona wanaumia nahisi walitegemea niteseke😀😀😀😀..
kweli mkuu Mimi nanuka umasikini... lakini hawa wana daressalam wananuka zaidiMkiishi masikini-kunuka wote sehemu moja hayo ndiyo matokeo yake.
Wavumilie.Ndivyo walivyo.😂😂😂kweli mkuu Mimi nanuka umasikini... lakini hawa wana daressalam wananuka zaidi
akili zako ukiishi dar utakuwa maskin kweliSimu ya laki mbili inakuumiza roho VIP.... Mimi sio mkaaji wa dar napita tu, nikiishi dar nitakuwa masikini
Nikianza kula miguu ya kuku ndio tena Innalillah wainna iraih rajiunKwa
akili zako ukiishi dar utakuwa maskin kweli