blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Sina hii habari.. Lini!??Unauliza mauwaji Lebanon?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina hii habari.. Lini!??Unauliza mauwaji Lebanon?
Mwaka jana.Sina hii habari.. Lini!??
Alizaliwa nwaka 1947. Hakuna la ajabu kufa na miaka 77.King Kiki amefariki!!?
I had no clue...Mwaka jana.
Hujui Kiswahili kama Sisi Waswahili tuliopo?I had no clue...
I've gone through a thread already..
It's sad. He lived though
🙄🙄🙄Hujui Kiswahili kama Sisi Waswahili tuliopo?
Tatizo lako huwa ukivurugwa na yule msimbe wako wa kizanaki mwenye mwanya mkubwa kama pengo unataka hasira zako kunimalizia Mimi!ACHA UNAFIKI NA ACHA KUJIPENDEKEZA KWANGU. MIMI NA WEWE HATUJAWAHI NA KAMWE HATUTAWAHI KUWA MARAFIKI. NA WALA SIHITAJI UWE UNAUNGA MKONO MADA ZANGU BALI NAPENDA KILA SIKU UWE UNAENDELEA KUZIKANDIA HUKU UKINIDHALILISHA KAMA UFANYAVYO SAWA?
TANGIA LINI ISRAEL IKAWA NA URAFIKI NA PALESTINE? NAPENDA VITA KWAKUWA NAVIWEZA HIVYO NAOMBA MIMI NA WEWE VITA YETU IENDELEE DAIMA HAPA JAMIIFORUMS NA SITAKI TUPATANE AU TUPATANISHWE NA YOYOTE YULE. UKO HURU PIA KUENDELEA KUNITUKANA NA KUNIDHALILISHA KWA ZILE ID'S ZAKO ZINGINE TATU MAARUFU HAPA JAMIIFORUMS.
HUNIPENDI NA KUTWA HUWA UNAHUBIRI HIVYO HALAFU LEO ULIVYO MNAFIKI, JUHA NA USIYE NA AIBU UNASEMA UNAUNGA MKONO HII MADA YANGU. NI MARA NGAPI GENTAMYCINE HUWA NAKUJA NA MADA ZA MAANA HAPA ILA HUWA UNAZIKANDIA, KUNITUSI NA KUNIDHALILISHA? SIYO WEWE JANA ULIWAITA MODERATORS WA JAMIIFORUMS WANIPIGE BAN? SASA WANGENIPIGA HIYO BAN HII MADA YANGU ULIYOIUNGA MKONO UNGEIJULIA WAPI AU UNGEICHANGIA WAPI?
NIMEMALIZA.
Alizaliwa nwaka 1947. Hakuna la ajabu kufa na miaka 77.
Labda tumuongelee Lawrence Mafuru aliye fariki na miaka 5
Miaka 77 ni mingi pia heri apumzike kwa amani,sarungi hakosi miaka 87 ...sisi hajui kama hata 60m tutafikaAlizaliwa nwaka 1947. Hakuna la ajabu kufa na miaka 77.
Labda tumuongelee Lawrence Mafuru aliye fariki na miaka 52
Sijawahi kutishwa hata Siku moja na Mpiga Mluzi tukuka kama Wewe.Tatizo lako huwa ukivurugwa na yule msimbe wako wa kizanaki mwenye mwanya mkubwa kama pengo unataka hasira zako kunimalizia Mimi!
Mimi siwezi kupatana na wewe kamwe,na nilikueleza kabisa siku nikikudaka ndo utajua ulikuwa hujui!
Halafu tangu lini wewe ukachapisha hapa JF mada zenye mantiki ili watu wenye akili timamu tusome?,Hii mada ni kwasababu inamuhusu Marehemu King Kikii nikaona nije niichangamshe !
Mara zote mada zako zimekuwa za Kishubwada,Umbeya,Ushambenga na Uongo mwingi!,Sasa mada kama hizo mtu mwenye IQ kubwa kama Mimi nishiriki zitanisaidia Nini?
Nilikwambia mada zote unazozungumzia kuhusu Yanga Kwa mlengo wa Kishambenga,aaaah nitakubomoa sana tu!,yaani nitakula na wewe sambamba hadi urudi Butiama Kwa mguu!
Jichanganye siku moja nikudake,nakwambia utasimulia Famba wewe!Sijawahi kutishwa hata Siku moja na Mpiga Mluzi tukuka kama Wewe.
Tafuteni pambano mgechane mtapiga hela ,pambano lifanyikie Serengeti mbugani ,watu wa mara nyieSijawahi kutishwa hata Siku moja na Mpiga Mluzi tukuka kama Wewe.
Kumbe hata Wanaume Wapiga Miluzi nao Siku hizi wanaweza kuwa na Kibesi kwa Wanaume Kamili kama akina Sisi?Jichanganye siku moja nikudake,nakwambia utasimulia Famba wewe!
Keyboard warrior !Kumbe hata Wanaume Wapiga Miluzi nao Siku hizi wanaweza kuwa na Kibesi kwa Wanaume Kamili kama akina Sisi?
Tafuteni pambano mgechane mtapiga hela ,pambano lifanyikie Serengeti mbugani ,watu wa mara nyie
Sawa Mpiga Mluzi tukuka na Mwandamizi JamiiForums.Keyboard warrior !
Unatamba sana nyuma ya Keyboard ila nikikwambia tuonane ili nione ulivyo mwanaume unaingia mitini!
We jitape tu lakini omba Mungu kila uchwao nisije nikakudaka one day!,nakulia timing sana na nina uhakika ipo siku utaingia kwenye kumi na nane!
Siku hiyo ndo utaelewa hilo tumbo lako kubwa kama pakacha hukupaswa Kuwa nalo!
KUBWA JINGA LA JFSawa Mpiga Mluzi tukuka na Mwandamizi JamiiForums.