Kwanini hawa Wanamuziki Wakongwe wa Miziki ya Dansi na waliofanya vyema Kipindi chao tukionyeshwa Wanaumwa wanaonekana 'Wamedhoofu' mno?

Kwanini hawa Wanamuziki Wakongwe wa Miziki ya Dansi na waliofanya vyema Kipindi chao tukionyeshwa Wanaumwa wanaonekana 'Wamedhoofu' mno?

ACHA UNAFIKI NA ACHA KUJIPENDEKEZA KWANGU. MIMI NA WEWE HATUJAWAHI NA KAMWE HATUTAWAHI KUWA MARAFIKI. NA WALA SIHITAJI UWE UNAUNGA MKONO MADA ZANGU BALI NAPENDA KILA SIKU UWE UNAENDELEA KUZIKANDIA HUKU UKINIDHALILISHA KAMA UFANYAVYO SAWA?

TANGIA LINI ISRAEL IKAWA NA URAFIKI NA PALESTINE? NAPENDA VITA KWAKUWA NAVIWEZA HIVYO NAOMBA MIMI NA WEWE VITA YETU IENDELEE DAIMA HAPA JAMIIFORUMS NA SITAKI TUPATANE AU TUPATANISHWE NA YOYOTE YULE. UKO HURU PIA KUENDELEA KUNITUKANA NA KUNIDHALILISHA KWA ZILE ID'S ZAKO ZINGINE TATU MAARUFU HAPA JAMIIFORUMS.

HUNIPENDI NA KUTWA HUWA UNAHUBIRI HIVYO HALAFU LEO ULIVYO MNAFIKI, JUHA NA USIYE NA AIBU UNASEMA UNAUNGA MKONO HII MADA YANGU. NI MARA NGAPI GENTAMYCINE HUWA NAKUJA NA MADA ZA MAANA HAPA ILA HUWA UNAZIKANDIA, KUNITUSI NA KUNIDHALILISHA? SIYO WEWE JANA ULIWAITA MODERATORS WA JAMIIFORUMS WANIPIGE BAN? SASA WANGENIPIGA HIYO BAN HII MADA YANGU ULIYOIUNGA MKONO UNGEIJULIA WAPI AU UNGEICHANGIA WAPI?

NIMEMALIZA.
Tatizo lako huwa ukivurugwa na yule msimbe wako wa kizanaki mwenye mwanya mkubwa kama pengo unataka hasira zako kunimalizia Mimi!

Mimi siwezi kupatana na wewe kamwe,na nilikueleza kabisa siku nikikudaka ndo utajua ulikuwa hujui!

Halafu tangu lini wewe ukachapisha hapa JF mada zenye mantiki ili watu wenye akili timamu tusome?,Hii mada ni kwasababu inamuhusu Marehemu King Kikii nikaona nije niichangamshe !

Mara zote mada zako zimekuwa za Kishubwada,Umbeya,Ushambenga na Uongo mwingi!,Sasa mada kama hizo mtu mwenye IQ kubwa kama Mimi nishiriki zitanisaidia Nini?

Nilikwambia mada zote unazozungumzia kuhusu Yanga Kwa mlengo wa Kishambenga,aaaah nitakubomoa sana tu!,yaani nitakula na wewe sambamba hadi urudi Butiama Kwa mguu!
 
1. Magonjwa ya muda mrefu husababisha kukosa hamu ya chakula/Kukosa uwezo wa kula vizuri hivyo Mwili hutumia virutubishi(protini, glucoses) vyote vilivyohifadhiwa sehemu mbalimbalu za mwili kama mbadala wa kuzalisha nishati inayohitajika ili kuendesha shughuli za mwili hasa Respiration.

Nyamanyama zako za shingo, mbavu, kifua, tako n.k ni protin/fat/glucose zilizohifadhiwa.

2. Kukua(Development) kwa mwili kunahitaji kuzaliana kwa seli kuwe kwingi ukilinganisha na sell zinazokufa, kwa wazee ni tofauti seli zinazokufa ni nyingi kuliko zile zinazozaliwa hivyo kupelekea mwili kudhoofika badala ya kunawili hii ni nature hata kama hana Ugonjwa wowote.
 
7
Alizaliwa nwaka 1947. Hakuna la ajabu kufa na miaka 77.

Labda tumuongelee Lawrence Mafuru aliye fariki na miaka 5

Alizaliwa nwaka 1947. Hakuna la ajabu kufa na miaka 77.

Labda tumuongelee Lawrence Mafuru aliye fariki na miaka 52
Miaka 77 ni mingi pia heri apumzike kwa amani,sarungi hakosi miaka 87 ...sisi hajui kama hata 60m tutafika
 
Tatizo lako huwa ukivurugwa na yule msimbe wako wa kizanaki mwenye mwanya mkubwa kama pengo unataka hasira zako kunimalizia Mimi!

Mimi siwezi kupatana na wewe kamwe,na nilikueleza kabisa siku nikikudaka ndo utajua ulikuwa hujui!

Halafu tangu lini wewe ukachapisha hapa JF mada zenye mantiki ili watu wenye akili timamu tusome?,Hii mada ni kwasababu inamuhusu Marehemu King Kikii nikaona nije niichangamshe !

Mara zote mada zako zimekuwa za Kishubwada,Umbeya,Ushambenga na Uongo mwingi!,Sasa mada kama hizo mtu mwenye IQ kubwa kama Mimi nishiriki zitanisaidia Nini?

Nilikwambia mada zote unazozungumzia kuhusu Yanga Kwa mlengo wa Kishambenga,aaaah nitakubomoa sana tu!,yaani nitakula na wewe sambamba hadi urudi Butiama Kwa mguu!
Sijawahi kutishwa hata Siku moja na Mpiga Mluzi tukuka kama Wewe.
 
Jichanganye siku moja nikudake,nakwambia utasimulia Famba wewe!
Kumbe hata Wanaume Wapiga Miluzi nao Siku hizi wanaweza kuwa na Kibesi kwa Wanaume Kamili kama akina Sisi?
 
Mtu yeyote akiumwa anaweza akawa kama hao unaowadhihaki.
 
Kumbe hata Wanaume Wapiga Miluzi nao Siku hizi wanaweza kuwa na Kibesi kwa Wanaume Kamili kama akina Sisi?
Keyboard warrior !

Unatamba sana nyuma ya Keyboard ila nikikwambia tuonane ili nione ulivyo mwanaume unaingia mitini!

We jitape tu lakini omba Mungu kila uchwao nisije nikakudaka one day!,nakulia timing sana na nina uhakika ipo siku utaingia kwenye kumi na nane!

Siku hiyo ndo utaelewa hilo tumbo lako kubwa kama pakacha hukupaswa Kuwa nalo!
 
Sawa Mpiga Mluzi tukuka na Mwandamizi JamiiForums.
 
Back
Top Bottom