Kwanini hawa Wanamuziki Wakongwe wa Miziki ya Dansi na waliofanya vyema Kipindi chao tukionyeshwa Wanaumwa wanaonekana 'Wamedhoofu' mno?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mwezi Mmoja uliopita huko Mitandaoni tulionyeshwa Picha Mjongeo ya Marehemu Mzee King Kikii na hali yake ya Kiafya na wenye Maono tukajua ni suala la muda tu Israeli atafanya yake na imekuwa. Muda si mrefu tena (yaani leo) kuna Picha Mjongeo nyingine inamuonyesha Mwanamuziki mahiri kipindi chake Mzee Zahir Ally na yenyewe kila nikiiona na kutumia Maono yangu naona huenda tufululiza tu Kuvimba Macho kwa Kulia baada ya Israel kama kawaida kufanya yake.

Leo GENTAMYCINE nauliza huku Kudhoofu kunakopitiliza hadi unaona Mifupa yote ya Mwili kwa hawa Wanamuziki (hasa wa Miziki ya Dansi) nchini Tanzania unatokana na nini? Kama vipi Watu wa NIMR na Wizara ya Afya wafanye Utafiti kujua huku Kudhoofu Kwao kunasababisha labda na Mdudu au Kirusi gani?
 
Attachments

  • 1731598375087.jpg
    1731598375087.jpg
    202.7 KB · Views: 5
Mimi mwenyewe nataka nikapimwe kama niko salama au si salama nitulie tu. Wiki mbili zilizopita kimenikuta kisanga mpaka leo bado sija recover.
Mlimbwende mtanashati alikuja hapa tukala, tukanywa na kucheka vizuri tu lakini ilivyowadia muda wa kushusha ile jeans ilibidi nimuonyeshe mlango ulipo na matumizi yake.
Yaani jeans ipo kwenye ugoko nikajisikia kama nimekaribia lile soko maarufu la Magogoni.
Imenifanya nirudi kwenye mstari, at least for now, haya mambo ya ujinga ujinga hayana faida yoyote na mwisho wake ni vilio.
 
Mwezi Mmoja uliopita huko Mitandaoni tulionyeshwa Picha Mjongeo ya Marehemu Mzee King Kikii na hali yake ya Kiafya na wenye Maono tukajua ni suala la muda tu Israeli atafanya yake na imekuwa. Muda si mrefu tena (yaani leo) kuna Picha Mjongeo nyingine inamuonyesha Mwanamuziki mahiri kipindi chake Mzee Zahir Ally na yenyewe kila nikiiona na kutumia Maono yangu naona huenda tufululiza tu Kuvimba Macho kwa Kulia baada ya Israel kama kawaida kufanya yake.

Leo GENTAMYCINE nauliza huku Kudhoofu kunakopitiliza hadi unaona Mifupa yote ya Mwili kwa hawa Wanamuziki (hasa wa Miziki ya Dansi) nchini Tanzania unatokana na nini? Kama vipi Watu wa NIMR na Wizara ya Afya wafanye Utafiti kujua huku Kudhoofu Kwao kunasababisha labda na Mdudu au Kirusi gani?
Japo maradhi ni kawaida kwa mwanadamu, lakini pia maradhi ni kitu mbaya sana ndrugo zangu. Hayawezi kukuacha ukinawiri. Daima yatakukongorosha sana mwili wako. Pole sana kwa wanaopitia maradhi mbalimbali humu nchini.

Tumuombe Mwenyezi Mungu atujaalie Afya nje na atuepushe na magojwa na maradhi mbalimbali 🐒
 
Mwezi Mmoja uliopita huko Mitandaoni tulionyeshwa Picha Mjongeo ya Marehemu Mzee King Kikii na hali yake ya Kiafya na wenye Maono tukajua ni suala la muda tu Israeli atafanya yake na imekuwa. Muda si mrefu tena (yaani leo) kuna Picha Mjongeo nyingine inamuonyesha Mwanamuziki mahiri kipindi chake Mzee Zahir Ally na yenyewe kila nikiiona na kutumia Maono yangu naona huenda tufululiza tu Kuvimba Macho kwa Kulia baada ya Israel kama kawaida kufanya yake.

Leo GENTAMYCINE nauliza huku Kudhoofu kunakopitiliza hadi unaona Mifupa yote ya Mwili kwa hawa Wanamuziki (hasa wa Miziki ya Dansi) nchini Tanzania unatokana na nini? Kama vipi Watu wa NIMR na Wizara ya Afya wafanye Utafiti kujua huku Kudhoofu Kwao kunasababisha labda na Mdudu au Kirusi gani?
Si unaona umri unachangia pia hawafanyi mazoezi unyabeni na unyabezi
 
Lifestyle ya maisha : pombe, wanawake, lishe duni baada ya kipato kuisha ,msongo wa mawazo. Hata DRC Congo wanapukitika sana wengi wamesha kabisa wale wakongwe wa zamani.
 
Mkuu GENTAMYCINE kwenye hili linalohusu jamii tuko pamoja!

Hebu Weka utaratibu namna tunavyoweza kuchanga pesa ya rambirambi ya mzee wetu King Kikii ili iwafikie wafiwa!

Usije ukakusanya Vyambate halafu ukachikichia Butiama kula Bata na yule msimbe wako wa miaka yote pale Ikizu!

Weka utaratibu tata!
 
ACHA UNAFIKI NA ACHA KUJIPENDEKEZA KWANGU. MIMI NA WEWE HATUJAWAHI NA KAMWE HATUTAWAHI KUWA MARAFIKI. NA WALA SIHITAJI UWE UNAUNGA MKONO MADA ZANGU BALI NAPENDA KILA SIKU UWE UNAENDELEA KUZIKANDIA HUKU UKINIDHALILISHA KAMA UFANYAVYO SAWA?

TANGIA LINI ISRAEL IKAWA NA URAFIKI NA PALESTINE? NAPENDA VITA KWAKUWA NAVIWEZA HIVYO NAOMBA MIMI NA WEWE VITA YETU IENDELEE DAIMA HAPA JAMIIFORUMS NA SITAKI TUPATANE AU TUPATANISHWE NA YOYOTE YULE. UKO HURU PIA KUENDELEA KUNITUKANA NA KUNIDHALILISHA KWA ZILE ID'S ZAKO ZINGINE TATU MAARUFU HAPA JAMIIFORUMS.

HUNIPENDI NA KUTWA HUWA UNAHUBIRI HIVYO HALAFU LEO ULIVYO MNAFIKI, JUHA NA USIYE NA AIBU UNASEMA UNAUNGA MKONO HII MADA YANGU. NI MARA NGAPI GENTAMYCINE HUWA NAKUJA NA MADA ZA MAANA HAPA ILA HUWA UNAZIKANDIA, KUNITUSI NA KUNIDHALILISHA? SIYO WEWE JANA ULIWAITA MODERATORS WA JAMIIFORUMS WANIPIGE BAN? SASA WANGENIPIGA HIYO BAN HII MADA YANGU ULIYOIUNGA MKONO UNGEIJULIA WAPI AU UNGEICHANGIA WAPI?

NIMEMALIZA.
 
Back
Top Bottom