Pre GE2025 Kwanini hawakamatwi kwenda kulisaidia Jeshi la Polisi baada ya kutenguliwa? Ni mpaka wawe wapinzani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Acha kuwaza njia zilizoshindikina, TUMIA NJIA BORA ZAIDI YAO.... wanadhania wao ndo wanakuwa zaidi ya WENGINE...

Wasipokaa mguu sawa ndio mambo yanaekelea huko, watu watake matters into their own hands
 
Wako Wengi saaana ila pia Jeshi la Polisi wanahusika
 
K

View: https://vm.tiktok.com/ZMrKd6we3/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok Lite - Save Data - Apps on Google Play
 
Amna anabadilishiwa kitengo huyo 😁
 
Sasa shida yake ni nini? Mtu akiwa na mawazo todauti na ulichofikiria basi ana tatizo kwenye elimu yake?
Kuwa na mawazo tofauti siyo vibaya. Vibaya ni kuwa na mawazo yasiyo sahihi au kutokuona jambo lililo dhahiri. Hivi kweli mlikuwa mnasubiri huyu DC awaambie kuwa mwaka 2020 CCM waliweka mazingira ya kuengua wapinzani na madiwani walipitishwa kwa nguvu? Mbona hili lilikuwa dhahiri kabisa? Hofu yangu ni kuwa kitu ambacho kilitokea dhahiri tena hadharani kama hicho tulikuwa hatukijui basi tuna shida kubwa. NB: tusifiche ujinga wetu kwenye kivuli cha mawazo mbadala!!
 
Siasa za Vyama vya Upinzani katika nchi za Kiafrika ni Ngumu sana sana.
Ndio maana akina Mchungani wanarudia Chama tawala.
RIP Mchungaji Christopher Mtikila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…