Kwanini haya Magari aina hii Toyota Fielder sio maarufu sana yana tatizo gani?

Protector

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2019
Posts
422
Reaction score
893
Habari wana jukwaa, moja kwa moja kwenye mada.
Kuna aina hii ya magari yanaitwa TOYOTA FIELDER naona kwa hapa bongo ni machache sana na ukikaa barabarani kuyaonayanapita ni nadra sana. Shida ni nini? Pia nimefatilia yanapouzwa yanakuwa na kilometer nyingi sana, mengi siyo chini ya 100,000km.
Kwa nini watanzania hawayapendi sana

 
Wajuzi wanasema hii gari ikifika speed 130 inakosa balansi kabisa tofauti na wenzake Kuna runx na Alex
 
Nakupa sababu zangu,hapa sina lengo baba ila ni maoni binafsi tu. 1.Mwonekano sio mzuri
2.Lipo chini chini
 
Nimeshapiga road test na exact model kama uliyoweka pichani lake ni la 2012.

Ni bonge moja la gari, Very comfortable(nadhani hiyo wheel base imechangia).

Pia nina mtu nina mtu wangu wa karibu analitumia hili tangu 2018 day in day out, Changamoto kubwa aliyowahi pata ni kupasua sump ya gearbox, halafu akawekewa Oil za 7000 huku chuma inataka CVT (Hakuchukua round ikamtoka 2m ya kununua gearbox nyingine).

Changamoto ya hii gari iko chini kama gari za Kijerumani. ni hili tu.
 
Wajuzi wanasema hii gari ikifika speed 130 inakosa balansi kabisa tofauti na wenzake Kuna runx na Alex
Hawa wajuzi watakuwa ni wale wajuaji ambao gari ikiwa chini wanainyanyua.

Hii gari iko chini sana in such a way kuna matuta mengi hapa mjini inakwangua.

Katika 130 inaweza isiwe stable kama mjerumani lakini iko stable ukilinganisha na toyota nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…