Kwanini Hayati Dkt John Pombe Magufuli aliwafuta uongozi Humphrey Polepole na Dkt Bashiru Ally?

Moja kati ya sera mbovu kabisa ya CCM ni hii ya kofia moja. Hii ndio inasababisha baadi ya viongozi wa serikali kuvurunda mara kwa mara.

Chama kinajitenga na serikali yake kwa sababu viongozi wa serikali sio viongozi wa Chama.
Ndani ya Chama kuna kusemana, kufunzwa, kujifunza, kinyooshwa n.k.

Serikalini ni sheria.

Watu walikuwa wanahangaika kuoata ujumbe wa Halmashauri Kuu kwa sababu utamhakikishia uwezekano wa kupata ubunge ambao utamfanya aingie baraza la mawaziri.

Kwa waziri anakuwa ni mjumbe wa halmashauri kuu ambae kapikwa barabara kule chamani.

Akitetereka wizarani anakutana na rungu ndani ya Chama na kurekebisha makosa kabla hata masuala hayajafika bungeni.

Wakuu wa mikoa na wilaya walikuwa wajumbe wa mikutano mikuu ya chama kindakindaki.

Wanaojua Imani, sera na malengo ya Chama chao kwa kuwa wanaishi nayo.

Leo hii mtu hata hajui nini kimezungumzwa na makutano wa wilaya anakuwa mkuu wa wilaya.

Inatakiwa mtu atafute uongozi wa Chama kwanza ili kupata nafasi ya kuteuliwa kuwa kiongozi wa serikali.

CCM rudisheni kofia nyingi ili viongozi waanze kupokwa ndani ya Chama.
 
Mbowe nae anapaswa kutuambia kuhusu utaratibu uliotumika mpaka yule tulieaminishwa na chama kuwa fisad papa kupewa nafas ya kugombea urais kwa njia ya kubadil gia angani au kwel jamaa hiyo nafas aliinunua???
 
Hao uliowataja kuwa wanapokea minono ya nchi, hawani amani kabisa mioyoni mwao. Kubwa zaidi masimango toka huko walikokimbilia. Hakuna hata mmoja ajuae kesho yake.

Ndoto za hawa watu zilikuwa ni kukamata nafasi za Kisiasa za kuchaguliwa na sio za kuteuliwa.

Nafasi za kuteuliwa ni sawa na majani kwenye mti. Wakati wowote yanaweza kupukutishwa. Au mti wenyewe kukauka. Hawa wote tuwape muda mti unaweza kukumbwa na kiangazi wakati wowote. Hivyo kuyapukutisha majani yote.
 
Laana hiyo,
Hela za wastaafu zilizokuwa mifuko ya kijamii walikula wapinzani huku wastaafu wanaambiwa wapeleke barua za ajira.
 
Hakika wanastahili kuoukutishwa maana usaliti ni dhambi kuu ndiyo maana hata kwenye vitabu vitukufu umelaanika
 
Aliyewatosa ni mtu wao hasira wanapeleka kwingine kwanini?
 
Hii andiko lako litaisaidiaje Taida kupata Katiba Bora na Mpya
 
Bashiru aliteuliwa ukatibu mkuu kiongoz ikulu..kwahyo alipandshwa cheo sio kushushwa
 
Hawa jamaa walikuwa ni outcast na kuna wengine wapo kama wabunge watu kama mwana fa na babu tale wametoka wapi kwenye chama?kuna watu wamekipiganiq chama sana na walitegemea matundq katokea mtu mmoja kavuruga utaratibu wote nasema tena kwenye nafsu zao wanajua walibebwa tu na ukweli hawakupaswa kuwa pale ata kidogo.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Hawezi kupumzika kwa amani mtu mshenzi kama yule.

Asante Mungu kwa kutuondolea huyu shetani bila umwagaji damu.🙏🙏
Si ajabu wewe ukawa mshenzi zaidi yake ila ndio hivyo hatukujui.
 
Bashiru aliteuliwa ukatibu mkuu kiongoz ikulu..kwahyo alipandshwa cheo sio kushushwa
Ndio na ndio kilimwondolea Ukatibu Mkuu wa Chama, Kwanini apakaziwe Mama Samia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…