The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Kama mnakumbuka Waumini wa kanisa la KKKT walimkataa Askofu Malasusa kutokana na tuhuma mbalimbali alizokua nazo.
Cha ajabu Serikali ya Rais Magufuli ikaamua kumlinda Askofu Malasusa kwa kumpatia ulinzi binafsi na kuhakikisha kwamba kwa lazima anaendesha ibada kinyume na matakwa ya waumini.
Hua najiuliza ni kwanini Rais Magufuli aliamua kutumia nguvu kubwa kumlinda Malasusa?