Kwanini Hayati Magufuli aliamua kumlinda Askofu Malasusa kwa nguvu zote?

Kwanini Hayati Magufuli aliamua kumlinda Askofu Malasusa kwa nguvu zote?

Si busara kutoa tuhuma dhanifu kwa mtu ambaye hayupo na hawezi kujitetea!. Sii kazi ya serikali kuingilia uendeshaji wa ndani wa taasisi za kidini unless kunapotokea mgogoro unaoweza kuhatarisha amani!.

Huwezi kuuliza swali kwa marehemu huku sio kumtendea haki marehemu!.
JPM aachwe apumzike!.
P
Kwani nini asiwepo mpaka sasa ?

Question
 
Si busara kutoa tuhuma dhanifu kwa mtu ambaye hayupo na hawezi kujitetea!. Sii kazi ya serikali kuingilia uendeshaji wa ndani wa taasisi za kidini unless kunapotokea mgogoro unaoweza kuhatarisha amani!.

Huwezi kuuliza swali kwa marehemu huku sio kumtendea haki marehemu!.
JPM aachwe apumzike!.
P
Fact kabisa.
 
Huwezi kuuliza swali kwa marehemu huku sio kumtendea haki marehemu!.
Marehemu ana haki gani inayominywa??
Huwezi kumuuliza marehemu sababu hutojibiwa, it sound better and logical, ila hii ya kusema ni kutomtendea haki, inafikirisha sana, kujua haki inayozungumzwa ni ipi.

Marehemu apumzike - kwamba akiulizwa maswali, hapumziki sababu anayatafutia majibu?😁
 
Mnasahau Mwamposa aliua watu kwa mafuta yake Moshi, na akakimbilia Dar.
Polisi waliamuriwa kumwachia walipomkamata.
Huyu mtumishi wa Mungu alihujumiwa kwa kiwango cha ajabu sana. Nia ilikuwa ni kuwachonganisha watumishi wa Mungu na Serikali ya JPM.

Kama kuna uwezekano, kuna haja ya Serikali kuliangalia upya tukio hili ili waliohusika na hujuma hizi waweze kuwajibishwa. Yalikuwa ni makinikia mengine kwenye muundo mwingine
 
Matumbo haya, shida kweli!

Kujifanya chizi siyo mchezo. Na hao kama kituo chake ni Dar, familia anaiacha Musoma. Akirudi likizo, familia wanajua kuwa Baba ana ofisi Dar. Kumbe ofisi ni barabarani na majalalani. Na likizo ikiisha anaiambia familia, lazima niondoke kesho, maana nahitajika kuripoti ofusini keshokutwa.
Imetukuta kwenye familia yetu hii.
Baba Yetu nyumbani tunajua n Mchungaji,akawa Ana aga anaenda semina mikoani, kumbe huko mikoani akifika anakuwa kichaa haswaa.

Hamadi,siku kaenda mkoani jirani yetu alikuwa mkoa husika, akapiga simu nyumbani kumtaarifu mama mbona Mchungaji xxx
Yupo huku na amechanganyikiwa Ana okota makopo na kushinda jalalani? Na inasemekana ni chizi wa muda mrefu na jina wamempa kabisa?

[emoji23]
 
Si busara kutoa tuhuma dhanifu kwa mtu ambaye hayupo na hawezi kujitetea!. Sii kazi ya serikali kuingilia uendeshaji wa ndani wa taasisi za kidini unless kunapotokea mgogoro unaoweza kuhatarisha amani!.

Huwezi kuuliza swali kwa marehemu huku sio kumtendea haki marehemu!.
JPM aachwe apumzike!.
P
Amen. JPM aachwe apumzike. Kuna mengi anasingiziwa bila sababu yoyote
 
Kama mnakumbuka Waumini wa kanisa la KKKT walimkataa Askofu Malasusa kutokana na tuhuma mbalimbali alizokua nazo.

Cha ajabu Serikali ya Rais Magufuli ikaamua kumlinda Askofu Malasusa kwa kumpatia ulinzi binafsi na kuhakikisha kwamba kwa lazima anaendesha ibada kinyume na matakwa ya waumini.

Hua najiuliza ni kwanini Rais Magufuli aliamua kutumia nguvu kubwa kumlinda Malasusa?
Malasusa ni human being kama alivyokuwa Dauid, Selemani na Musa. Alikosea Nini Cha Ajabu kuliko Wanadamu wengine au Viongozi wa Dini wengine? Alibaka? Alifunga Ndoa za Mashoga? Au aliukana Msalaba? Yuko pia Mkono wa Baunsa Live mbona kabebwa hadi Mjengoni kapelekwa?
 
Kama mnakumbuka Waumini wa kanisa la KKKT walimkataa Askofu Malasusa kutokana na tuhuma mbalimbali alizokua nazo.

Cha ajabu Serikali ya Rais Magufuli ikaamua kumlinda Askofu Malasusa kwa kumpatia ulinzi binafsi na kuhakikisha kwamba kwa lazima anaendesha ibada kinyume na matakwa ya waumini.

Hua najiuliza ni kwanini Rais Magufuli aliamua kutumia nguvu kubwa kumlinda Malasusa?
Fitina zile zile za wakristo wenzangu wa kanisa la walutheri na haswa huyu atakuwa mtu wa kaskazini anamuanzishia ugomvi askofu Malasusa.

Anaua ndege wawili kwa jiwe moja, anamchonganisha Marehemu JPM na wasomaji na pia anapeleka mashambulizi kwa Askofu Malasusa.
 
Si busara kutoa tuhuma dhanifu kwa mtu ambaye hayupo na hawezi kujitetea!. Sii kazi ya serikali kuingilia uendeshaji wa ndani wa taasisi za kidini unless kunapotokea mgogoro unaoweza kuhatarisha amani!.

Huwezi kuuliza swali kwa marehemu huku sio kumtendea haki marehemu!.
JPM aachwe apumzike!.
P
Naishia Happ kusoma comment yako

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Yaani hata huna uhakikakm umedanganywa eti nnimeelewa, kirahisi tu hivi? watanzania watu wepesi sana. Hujui hata ni mlevi tu amekuandikia. nasikia kabisa!!!!
Mkuu, sio kwamba nimekubali tu kama likondoo, unachokifanya ni kukubali ama kupokea kila taarifa kisha unafanya uchambuzi.

Mkusanya taarifa hitakiwi kukataa ama kuacha taarifa yoyote maana taarifa ndogo ndio inaweza kua umeficha ukweli halisi.

Nimekuelewa mkuu😂
 
Back
Top Bottom