The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Basi nimekupata mkuuUyo yupo kule kwenye suti nyeusi km ilivyo muft wa tz[emoji16]
Matumbo haya, shida kweli!Kwenye dini kuna makachero, kwenye kazi za serikali kote usalama wapo, shuleni wapo, bank wapo, kuna mmoja anajifanya chizi yupo maeneo flani. Kuna siku namkuta eneo la mkuu wa usalama aliniangalia nikatabasamu na kumpita.
Waumini wepi na wa sharika zipi walimkataa na kwa kikao kipi?Kama mnakumbuka Waumini wa kanisa la KKKT walimkataa Askofu Malasusa kutokana na tuhuma mbalimbali alizokua nazo.
Cha ajabu Serikali ya rais Magufuli ikaamua kumlinda Askofu Malasusa kwa kumpatia ulinzi binafsi na kuhakikisha kwamba kwa lazima anaendesha ibada kinyume na matakwa ya waumini.
Hua najiuliza ni kwa nini Rais Magufuli aliamua kutumia nguvu kubwa kumlinda Malasusa?
Kama mnakumbuka Waumini wa kanisa la KKKT walimkataa Askofu Malasusa kutokana na tuhuma mbalimbali alizokua nazo.
Cha ajabu Serikali ya rais Magufuli ikaamua kumlinda Askofu Malasusa kwa kumpatia ulinzi binafsi na kuhakikisha kwamba kwa lazima anaendesha ibada kinyume na matakwa ya waumini.
Hua najiuliza ni kwa nini Rais Magufuli aliamua kutumia nguvu kubwa kumlinda Malasusa?
Si busara kutoa tuhuma dhanifu kwa mtu ambaye hayupo na hawezi kujitetea!. Sii kazi ya serikali kuingilia uendeshaji wa ndani wa taasisi za kidini unless kunapotokea mgogoro unaoweza kuhatarisha amani!.Kama mnakumbuka Waumini wa kanisa la KKKT walimkataa Askofu Malasusa kutokana na tuhuma mbalimbali alizokua nazo.
Cha ajabu Serikali ya Rais Magufuli ikaamua kumlinda Askofu Malasusa kwa kumpatia ulinzi binafsi na kuhakikisha kwamba kwa lazima anaendesha ibada kinyume na matakwa ya waumini.
Hua najiuliza ni kwanini Rais Magufuli aliamua kutumia nguvu kubwa kumlinda Malasusa?
Haluna intelligensia Tanzania ya hivyo. Danganyaneni tu. Eti jalalani.Matumbo haya, shida kweli!
Kujifanya chizi siyo mchezo. Na hao kama kituo chake ni Dar, familia anaiacha Musoma. Akirudi likizo, familia wanajua kuwa Baba ana ofisi Dar. Kumbe ofisi ni barabarani na majalalani. Na likizo ikiisha anaiambia familia, lazima niondoke kesho, maana nahitajika kuripoti ofusini keshokutwa.
Watasema wewe ni Mchagga tena mfuasi wa KimaroKama mnakumbuka Waumini wa kanisa la KKKT walimkataa Askofu Malasusa kutokana na tuhuma mbalimbali alizokua nazo.
Cha ajabu Serikali ya Rais Magufuli ikaamua kumlinda Askofu Malasusa kwa kumpatia ulinzi binafsi na kuhakikisha kwamba kwa lazima anaendesha ibada kinyume na matakwa ya waumini.
Hua najiuliza ni kwanini Rais Magufuli aliamua kutumia nguvu kubwa kumlinda Malasusa?
Watasema wewe ni Mchagga tena mfuasi wa KimaroKama mnakumbuka Waumini wa kanisa la KKKT walimkataa Askofu Malasusa kutokana na tuhuma mbalimbali alizokua nazo.
Cha ajabu Serikali ya Rais Magufuli ikaamua kumlinda Askofu Malasusa kwa kumpatia ulinzi binafsi na kuhakikisha kwamba kwa lazima anaendesha ibada kinyume na matakwa ya waumini.
Hua najiuliza ni kwanini Rais Magufuli aliamua kutumia nguvu kubwa kumlinda Malasusa?
Magufuli alileta fujo kwa mwingila mwenge kanisani ,akaja kufunga benki yake kwa mtutu wa bundukiMagufuli anajua tumeambiwa
ZABURI 105:15
"Akisema, Msiwaguse masihi wangu, Wala msiwadhuru nabii zangu."