Kwani nini asiwepo mpaka sasa ?Si busara kutoa tuhuma dhanifu kwa mtu ambaye hayupo na hawezi kujitetea!. Sii kazi ya serikali kuingilia uendeshaji wa ndani wa taasisi za kidini unless kunapotokea mgogoro unaoweza kuhatarisha amani!.
Huwezi kuuliza swali kwa marehemu huku sio kumtendea haki marehemu!.
JPM aachwe apumzike!.
P
Unabisha bure mimi yupo mtu namjua anaigiza ni mchunga ng'ombe msumbiji ni watu wa 92Haluna intelligensia Tanzania ya hivyo. Danganyaneni tu. Eti jalalani.
Fact kabisa.Si busara kutoa tuhuma dhanifu kwa mtu ambaye hayupo na hawezi kujitetea!. Sii kazi ya serikali kuingilia uendeshaji wa ndani wa taasisi za kidini unless kunapotokea mgogoro unaoweza kuhatarisha amani!.
Huwezi kuuliza swali kwa marehemu huku sio kumtendea haki marehemu!.
JPM aachwe apumzike!.
P
Marehemu ana haki gani inayominywa??Huwezi kuuliza swali kwa marehemu huku sio kumtendea haki marehemu!.
Huyu mtumishi wa Mungu alihujumiwa kwa kiwango cha ajabu sana. Nia ilikuwa ni kuwachonganisha watumishi wa Mungu na Serikali ya JPM.Mnasahau Mwamposa aliua watu kwa mafuta yake Moshi, na akakimbilia Dar.
Polisi waliamuriwa kumwachia walipomkamata.
Magufuli alileta fujo kwa mwingila mwenge kanisani ,akaja kufunga benki yake kwa mtutu wa bunduki
Imetukuta kwenye familia yetu hii.Matumbo haya, shida kweli!
Kujifanya chizi siyo mchezo. Na hao kama kituo chake ni Dar, familia anaiacha Musoma. Akirudi likizo, familia wanajua kuwa Baba ana ofisi Dar. Kumbe ofisi ni barabarani na majalalani. Na likizo ikiisha anaiambia familia, lazima niondoke kesho, maana nahitajika kuripoti ofusini keshokutwa.
Amen. JPM aachwe apumzike. Kuna mengi anasingiziwa bila sababu yoyoteSi busara kutoa tuhuma dhanifu kwa mtu ambaye hayupo na hawezi kujitetea!. Sii kazi ya serikali kuingilia uendeshaji wa ndani wa taasisi za kidini unless kunapotokea mgogoro unaoweza kuhatarisha amani!.
Huwezi kuuliza swali kwa marehemu huku sio kumtendea haki marehemu!.
JPM aachwe apumzike!.
P
Malasusa ni human being kama alivyokuwa Dauid, Selemani na Musa. Alikosea Nini Cha Ajabu kuliko Wanadamu wengine au Viongozi wa Dini wengine? Alibaka? Alifunga Ndoa za Mashoga? Au aliukana Msalaba? Yuko pia Mkono wa Baunsa Live mbona kabebwa hadi Mjengoni kapelekwa?Kama mnakumbuka Waumini wa kanisa la KKKT walimkataa Askofu Malasusa kutokana na tuhuma mbalimbali alizokua nazo.
Cha ajabu Serikali ya Rais Magufuli ikaamua kumlinda Askofu Malasusa kwa kumpatia ulinzi binafsi na kuhakikisha kwamba kwa lazima anaendesha ibada kinyume na matakwa ya waumini.
Hua najiuliza ni kwanini Rais Magufuli aliamua kutumia nguvu kubwa kumlinda Malasusa?
Fitina zile zile za wakristo wenzangu wa kanisa la walutheri na haswa huyu atakuwa mtu wa kaskazini anamuanzishia ugomvi askofu Malasusa.Kama mnakumbuka Waumini wa kanisa la KKKT walimkataa Askofu Malasusa kutokana na tuhuma mbalimbali alizokua nazo.
Cha ajabu Serikali ya Rais Magufuli ikaamua kumlinda Askofu Malasusa kwa kumpatia ulinzi binafsi na kuhakikisha kwamba kwa lazima anaendesha ibada kinyume na matakwa ya waumini.
Hua najiuliza ni kwanini Rais Magufuli aliamua kutumia nguvu kubwa kumlinda Malasusa?
Kaa kwa mume wako utulie, mjali mpe penzi anapotaka, kunywa maji kwa wingi ,. .....haya Mambo niliyoaandika nimeona kwa machoUlimuona😁😁😁😁😁!??
Kaa kwa mume wako utulie, mjali mpe penzi anapotaka, kunywa maji kwa wingi ,. .....haya Mambo niliyoaandika nimeona kwa macho
Yaani hata huna uhakikakm umedanganywa eti nnimeelewa, kirahisi tu hivi? watanzania watu wepesi sana. Hujui hata ni mlevi tu amekuandikia. nasikia kabisa!!!!Basi nimekupata mkuu
siyo ya kitoto ya mazuzuUtoto raha sana. Hii thread ni ya kitoto.
Hata alivyoingizwa kwenye uaskofu kulikuwa na taabu nyingi chini ya Mn'gwamba.Basi nimekupata mkuu
Naishia Happ kusoma comment yakoSi busara kutoa tuhuma dhanifu kwa mtu ambaye hayupo na hawezi kujitetea!. Sii kazi ya serikali kuingilia uendeshaji wa ndani wa taasisi za kidini unless kunapotokea mgogoro unaoweza kuhatarisha amani!.
Huwezi kuuliza swali kwa marehemu huku sio kumtendea haki marehemu!.
JPM aachwe apumzike!.
P
Mkuu, sio kwamba nimekubali tu kama likondoo, unachokifanya ni kukubali ama kupokea kila taarifa kisha unafanya uchambuzi.Yaani hata huna uhakikakm umedanganywa eti nnimeelewa, kirahisi tu hivi? watanzania watu wepesi sana. Hujui hata ni mlevi tu amekuandikia. nasikia kabisa!!!!