Kwanini Hayati Magufuli aliamua kumlinda Askofu Malasusa kwa nguvu zote?

Jiwe aliwapa rushwa za kila aina watumishi wa Mungu. Zikiwemo hizo ulizozitaja ili Udikteta wake utamalaki
 
Huyo si aliwahi kumshika matakro mtikila?
 
Kwanza ni uongo pili kwa nin8 unaleta hii waksti tukijua askofu anashughulika na issue ya mchungaji mmoja mjivuni kwenye diodis yake
 
Hivi ulifikiri kabla ya kuleta uzushi huo? Sasa Magufuli, anamsaidiaje Malasusa kuhubiri? Hao waumini unaodai walimkataa walifuatwa majumbani na polisi? Na wakaamuriwa lazima wamsikilize Malasusa!! Uongo mwingine bwana, issue ya Kimaro isiwanyang'anye mpaka uwezo wa kufikiri, haya ni mambo ya kawaida. Uongozi haujasema kwa nini wamempa likizo kama ambavyo hawakusema kwa nini walimleta Kijitonyama.
Epukeni kuabudu na kuwategemea wanadamu, mnamkufuru Mungu Bure, kanisa linao watumishi wengi na wa kutosha.
 
Kwa sababu Malasusa ni mtiss kama alivyo Sheikh wa mkoa wa Dar es salaam. Ni vitendea kazi vya CCM huko kwenye mimbari za dini
 
Swali zuri hili....
 
Waumini hawakumkataa, bali kulikuwa na wachafuzi wachache ambao walikuwa wanamshambulia kwa sababu binafsi, Hakuna binadamu asiye na mapungufu, wao walizidisha mashambulizi mengi yasiyo ya kweli.
 
Dadavua zaidi
 
JPM alikuwa na maono, ndio maana aliona maono kwa Malasusa, akaamua kumlinda.. kwa ajili ya kizazi cha kesho. Ona sasa ameibuka tena.
 
Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"-Baba Paroko wetu leo 27/08/2023
 
Hakuna kitu kama hicho. Yote ni uhasama tu wa chadema kwani mpango wao akitoka mkuu wa kkkt chadema aingie mchadema mwingine bagonza. Sema waomini wakamchagua tena mtu hawampendi. Ndio maana wanahamaki ovyo barabarani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…