Kwanini Hayati Magufuli alikuwa hapendwi jimboni kwake?

Unaona, watu wabaya wanabuni stori zao tu
 
Hahaha 😂
 
Well done!

Andiko lako lina kiwango kikubwa cha ukweli na uhalisia.
 
Mkuu hapa umepiga msumari wa moto ki ukweli mwamba hakuwa na maneno matamu sana mara nyingi ukweli huwa sio mtamu kama uongo ila kwenye utendaji ndipo alipogusa nyoyo za watu.
Hakuwa na hekima wala busara - hivyo hakuwa kiongozi wala mtendaji mzuri.
Ndio maana dr. Diallo akasema "shujaa" alikuwa Mwendawazimu.

Kiongozi yeyote mzuri na mwenye weledi hawezi toa yale maneno hadharani!
Na alithibitisha jinsi alivyokuwa katili, aliporudia tena maneno kama hayo kwenye uzinduzi wa Bus Stand wiki chache kabla ya umauti wake.

No excuse. No defense
whatsoever can exonerate him from ukora na upumbavu wake.
 
Pascal uko sahihi kuna majinga yamefanya aonekane mkatili,kuna vitu yalifanya bila yeye kushirikishwa,na alikuwa anabadilika kuwa mwema kadri siku zinavyoenda.
Hapo umekosa standing, tambua ukweli hautaki unafiki. Ukweli ni ukweli, basi.

Sasa kama "...alianza kubadilika kuwa mwema kadiri siku zilivyoenda" ni sahihi kabisa kuwa alianza akiwa MKATILI NA MWOVU. Na andiko lako na rekodi zote za uhai wake zinathibitisha kuwa Magufuli alikuwa nyang'au.

Nikukumbushe kuwa, madaraka hayajwahi kumfanya binadamu kuwa mwema; bali HUMDHIHIRISHA tu alivyo.
"Power Corrupts".
Hivyo inabidi uwe mwema na bora sana KABLA ya kupata cheo na madaraka ili usiweharibikiwe, sio kinyume chake.

Hayati Magufuli tayari alikuwa na historia za kuua, kuteka, visasi, rushwa, wizi, ufisadi, unafiki, uongo nk nk toka miaka ya 1990s. Yaani lilikuwa kosa kubwa na doa kubwa kwa Taasisi zetu za vetting - yule mwehu alikuwa Rais wa Tz.
Matukio ya wizi wa kura na uharibifu wa chaguzi za 2019 na 2020 vilikuwa ni mwendelezo wa matendo yake toka zamani huko Biharamulo na baadaye Chato. Hakuwahi kuheshimu "tofuati" za maoni au mawazo au maamuzi.

Siku moja na mimi nitaandaa nilivyomfahamu.
 
Huna unachojua kuhusu Chato na jinsi watu walivyompenda - CDM akili zenu mnazijua wenyewe.

Ni sahihi 1990 aligombea lkn hakushinda sbb ya uchanga na uwezo mdogo wa kifedha;

Mwaka 1995 baada ya jimbo kugawanywa - Chato alipambana na Mabina Nyororo Meneja wa Nyanza akiwa na fedha nyingi lkn CCM wakamchagua JPM kwa upendo mkubwa;

Chaguzi zilizofuata wananchi ndio waliomchukulia fomu na aliwabwaga mbali wapinzani wake;

Magufuli, ni MTU alopendwa sana hapa Chato
 
Mwandishi unahitaji huruma ya kuaminisha umma yasioaminika huwezi kuhukumu kitoto hivi kwa hoja za kitoto namna hii tuliosoma Cuba tunasema umeyakanyaga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Rudi darasani
Tuambie ukweli ni upi?
Talking a lot and saying nothing.
 
MAbina nyororo anatoka familia ya majambazi kwelikweli haoa wana kesi ya kumuua ndugu yao recently,watu hawakumpenda nyororo sababu ya historia ya familia yao
 
Nilisikia hajawahi kushinda uchaguzi zaidi ya kupora kwenye jimbo lake.

Akiwa Rais Uchaguzi wa vijiji 2019, Kijijini kwake alishinda Chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…