Kwanini Hayati Magufuli alikuwa hapendwi jimboni kwake?

1.Mkuu kwanza Mkoa unaongoza kwa makabila mengi hapa Tanzania ni Mkoa wa Mara.
2.Kwenye siasa za kiafrika ukabila ni kete muhimu-huwezi ukapewa nafasi ya uwakilishi kama sio mwenyeji ya eneo husika hasa kwa majimbo ya vijijini.Huwezi ukawa Msukuma akaenda kugombea Ubunhe kwenye ambalo lina Wakurya 99%
3.Siasa ni mchezo mchafu duniani kote unatambulika hivyo-hamna haki kwenye siasa aliyetangwaza ndio mshindi haijalishi ameshinda kihalali au hakushinda kihalali,alipendwa au hakupendwa.
4.Magufuli amekuwa Mbunge for 20 years,Kiongozi hata awe mzuri vipi akikaa madarakani kwa muda mrefu watu wataanza kumchukia na kuyompenda-that is human nature.
 
Nimeongelea jimbo lenye makabila ,sio mkoa,na hayo unayoita makabira huko mara ni koo,kitaalamu hazijagraduate kuwa makabila,wanyanchari,wanyanchoka etc
 
Kiburi na dharau dhidi ya wazee wake wa Chato ni moja ya vitu vilivyomuangusha sana .

Wakati mmoja akiwa na ziara jimboni Chato , Wazee walimuomba awawekee lami kwenye barabara yao , wakati huo alikuwa waziri wa ujenzi , lakini pia alikuwa mbunge wao , Magufuli aliwashambulia wazi wazi wazee wale kwamba yeye siyo Waziri wa Chato bali ni waziri wa Tanzania nzima , hivyo hawezi kuwapendelea wao ili wapate lami , na kwamba KAMA WANATAKA LAMI WANYE MAVI YAO WAYASILIBE BARABARANI IWE LAMI .

Watu wote walishangazwa na kauli ile na hiyo ni moja ya kauli iliyomfanya achukiwe kwao , huyu mahusiano yake na wananchi yalirejea baada ya kuteuliwa kugombea Urais baaasi , hakuwa na ushawishi wowote kabla ya hapo
Tunaweza share ata audio akiwaambia wanye mavi yao?

Binafsi naona magufuli alikuwa na ushawishi ila ushawishi wake ulibebwa na utendaji wake wa kazi sio maneno kama walivyokuwa wengine! Binafsi sikuhitaji kampeni kumpigia magufuli kura 2015 ila aliyoyatenda huko nyuma kabla 2015 October ndiyo yalipelekea nione sehemu sahihi ya kura yangu ni kwa Magufuli.
 
Sina haja ya kumsingizia , bali unatakiwa kujiuliza mwenyewe kwa vipi Chadema ilishinda vijiji vyote kwenye jimbo hilo 2014 ?
 
Tunaweza share ata audio akiwaambia wanye mavi yao?

Binafsi naona magufuli alikuwa na ushawishi ila ushawishi wake ulibebwa na utendaji wake wa kazi sio maneno kama walivyokuwa wengine! Binafsi sikuhitaji kampeni kumpigia magufuli kura 2015 ila aliyoyatenda huko nyuma kabla 2015 October ndiyo yalipelekea nione sehemu sahihi ya kura yangu ni kwa Magufuli.
Mkuu hapa umepiga msumari wa moto ki ukweli mwamba hakuwa na maneno matamu sana mara nyingi ukweli huwa sio mtamu kama uongo ila kwenye utendaji ndipo alipogusa nyoyo za watu.
 
Ni kweli cos ata mwenyewe alishasema kuwa hajaja kuuza sura, ye kaja kufanya kazi! Lakini ili lakusema wazee wanye mavi yao wayafanye Lami huyu kamsingizia.
 
Kaandika uongo na ushahidi ameshidwa kuwek
 
Back
Top Bottom