Kwanini Hayati Magufuli alikuwa hapendwi jimboni kwake?

Eti kuna watu wanchangia huu uzi! Dah!
 
Kweli jiwe alikuwa anaongea kama mtu alie katwa kichwa
 
Dogo, mimi naishi Kijiji cha Rubambangwe hapa Chato. Karibu uyasikie ya Legendary Magufuli. Wewe uliyekuja kujenga mabwaya ya kunyweshea wanyama kuna mengi ya Legendary Magufuli huyajui.
Ntakuja tupate mbili tatu hapo mkuu
 
japo kihistoria baba yake alihamia.
Nashauri mwacheni JPM apumzike kwa amani!, usije kumuibua Mkuu britanicca hapa akamwaga mboga za Katto humu watu mkabaki midomo wazi!.
Mizimu ya kwao ikamsaidia
Mizimu ya kwao kupi?, alipozaliwa, kabila lake halisi, alipokulia au alipohamia?. Mambo haya akina sisi tuliyauliza akingalipo hai, Kauli ya Kakobe "Magufuli atubu", yaibua mambo! Je asili halisi ya Rais Magufuli ni Msukuma, Mhaya au Muha wa Kakonko?
Ukabila upo
Mwache jamaa yetu apumzike kwa amani, ila pia na wewe asante kwa huduma zako JS!.
P
 
Duh mzee una mastori

Kuhusu familia hiyo

Ova
 
Pascal kusema kweli nimezaliwa enzi za Nyerere ila huyu mwamba sitamsahau kwa visa vyake,ana mazuri mengi na mapungufu mengi pia ila yote juu ya yote mwamba alikuwa mpambanaji,atakumbukwa kuliko marais wote ndio maana anaandikwa sana karibu JS
 
Akiwa waziri aliwakomoa ikiwemo kuchepusha barabara iliyotakiwa ipite eneo husika, akiwa Rais akaamua awalipe fadhila kwa kupendelea KILA kitu kwao, funzo binadamu sio milele ubadilika badilika hata baada ya uchaguzi wa pili alikuwa akizidi kuelekea kuwa mtu mwema zaidi hata Paul alikuwa Sauli kabla.
 
Kuna kaukweli hapa
 
Wanajianika.

Wanaona haya haoooo

Leo Kimara... Tutaona hii Jeuri yenu.
Aisee nimecheka sana.

Watu watabadilisha gia angani...Wengi Tayari.
 
Kuna nyuzi zingine hata mtoto anakusonya.

Sijui kama uko na familia wewe, maana mawazo haya sio ya kuendesha familia.

Ulitegemea apendwe na watu wote amekuwa hela au chokoleti?

Wewe unapendwa na watu wote? Mbona hata mademu wanakupiga vibuti kibao tu.

Mwamba alikuwa mwamba. Hadi Sasa mnaweweseka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…