Kwanini heshima anayopewa FID Q na wabongo kwenye HipHop haitendei haki?

youngdonats18

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
685
Reaction score
443
Wadau wa tasnia ya burudan ya bongofleva kwanza rejea kwny mada tajwa hapo juu.
Kwny tasnia ya muziki wa hip hop tuna Faridi Kubanda aka Fid Q binafsi naona ni mtu ambae anapewa heshima sana na wanahiphop wa bongo na amewah kutajwa km mwanahip hop bora namba moja kwa tz lakini naona heshima hii haitendei haki.

Unaweza ukawa unajiuliza kwann nasema hivi,binafsi nshangaa leo hii tukisema tutaje wasanii wa hip hop ambao walipaswa kufanya km diamond kwny bongofleva ni fid Q
Huyu jamaa kila siku yuko pale pale anashindwa hata na bill nas ambae amekuwa recognised kwny cocstudio africa.

Huwa nikimuangalia Sarkodie wa ghana ambae ndo rapa namba moja Afrika huwa km namuona na Fid Q ktk level hizo km akitia juhudi.

Sitak kuamini toka fid anaanza mziki mpaka sasa anatuzo moja ya KTMA

Nimalize kwa kusema Fid Q needs to step ahead tunataka kusikia hizo fresh zikipigwa dunian kwan unafloo kali na mashairi makini sana.

Myself [HASHTAG]#youngdonats18[/HASHTAG]
 
Fid Q pia nadhani ashawahi kua recognized Coke studio mkuu
 
Tatizo connections mkuu, jamaa ambao ndo washika dau wa bongo bado hawajaamua kuifanya hiphop ya bongo itusue internationally
 
Nilivo soma title nmekuja mbio nikuponde ila baada yakusoma nmeona umeandika point tupu mzee fid ni kichwa mzee ila anatakiwa aipeleke hip hop ya bongo kwenye level nene zaid hautendei haki ufaza
aliopewa na wabongo
 
Tatizo hana jipya. Ana rap kama wazungu, nani atamsikiliza?

Kuliko nimsikilize huyu wannabe si bora nikamsikilize KRS-One? Maana anaiga kutoka kwao.
 
Juhudi zinahitajika...Akikaza zaidi atatoboa kimataifa
 
Mziki wako kusikilizwa dunia nzima ama afrika nzima sio tu mashairi au mitambao kuna mambo mengi.
Fid Q anafuata nyayo za Guru wa Gangstarr.

Mistari mikali, lakini kwenye tuzo na mauzo chini.

In fact ukisikiliza mistari fulani ya Fid Q, kama umemsikiliza sana Guru, utaona katafsiri mistari ya Guru kwenye Kiswahili.
 
Fid Q anajulikana kwa uandishi wake zaidi, ambao lazima uwe unaielewa lugha ya kiswahili ili kwenda naye sawa. Watu kama Sarkodie wana substance, unique sound, wanatengeneza club friendly joints, n.k. ndio maana hata usipoelewa anachoimba, muziki utakuvutia. It's one thing to be nice with them bars, it's totally a different thing to make a dope song.
 
Mimi naomba nikurekebishe Fid Q ana tuzo nne za KTMA.

Ngoma ya mwanza mwanza ilimpa tuzo mbili ya wimbo bora na msanii bora wa hiphop mwaka sikumbuki ilikuwa mwaka gani.

Mwaka 2014 pia alichukua tuzo ya mtunzi bora wa mashairi ya hiphop na msanii bora wa hiphop.

Alishawahi kushiriki coke studio mwaka 2015.

Unapoanzisha thread uwe na uhakika na detail zako usitulishe matango pori.

Ni hayo tu.
 
He is professional labda hujui umeandika mengi nadhani bado uko na ligi za kumpambanisha na Joh kwa kufanya collabo na watu wengi
 
Nilivo soma title nmekuja mbio nikuponde ila baada yakusoma nmeona umeandika point tupu mzee fid ni kichwa mzee ila anatakiwa aipeleke hip hop ya bongo kwenye level nene zaid hautendei haki ufaza
aliopewa na wabongo
watu wa kusikiliza hiphop ya fid wana majukumu,ni watu wa 1988 kurudi nyuma,kizazi chenye shangwe na muziki kwa sasa ni cha 1990 kuja mbele,bill Nas hafanyi hiphop,tusidanganyane
 
Fid Q anafuata nyayo za Guru wa Gangstarr.

Mistari mikali, lakini kwenye tuzo na mauzo chini.

In fact ukisikiliza mistari fulani ya Fid Q, kama umemsikiliza sana Guru, utaona katafsiri mistari ya Guru kwenye Kiswahili.
guru yupi na mistari IPI katafsiri?!..namsikiliza fid daily
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…