youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 443
Wadau wa tasnia ya burudan ya bongofleva kwanza rejea kwny mada tajwa hapo juu.
Kwny tasnia ya muziki wa hip hop tuna Faridi Kubanda aka Fid Q binafsi naona ni mtu ambae anapewa heshima sana na wanahiphop wa bongo na amewah kutajwa km mwanahip hop bora namba moja kwa tz lakini naona heshima hii haitendei haki.
Unaweza ukawa unajiuliza kwann nasema hivi,binafsi nshangaa leo hii tukisema tutaje wasanii wa hip hop ambao walipaswa kufanya km diamond kwny bongofleva ni fid Q
Huyu jamaa kila siku yuko pale pale anashindwa hata na bill nas ambae amekuwa recognised kwny cocstudio africa.
Huwa nikimuangalia Sarkodie wa ghana ambae ndo rapa namba moja Afrika huwa km namuona na Fid Q ktk level hizo km akitia juhudi.
Sitak kuamini toka fid anaanza mziki mpaka sasa anatuzo moja ya KTMA
Nimalize kwa kusema Fid Q needs to step ahead tunataka kusikia hizo fresh zikipigwa dunian kwan unafloo kali na mashairi makini sana.
Myself [HASHTAG]#youngdonats18[/HASHTAG]