Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Mfanyakazi wa asili ya Afrika ameonekana akinyonyesha mbwa huko Saudi Arabia
Hii nchi kwanini inachukia na kunyanyasa sana Waafrika? Maana tangu nijue kusoma sijawahi kusoma nchi inayotesa Waafrika kama hii, visa ni vingi sana
Kwanini Waafrika tusiungane na kuisusia hii nchi na kufunga balozi zetu zote huko? Tutakosa nini?