Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Inabidi tujitambueNa wanapapenda huko baLaa
Waarabu ni takataka na sawa na nguruwe tu!Inabidi tujitambue
Kina RitzKuna mijamaa ya Zanzibar huwaambii kiti kuhusu waarabu
Shhhhh.......!!! Tafadhali usiwaseme hao ni ndugu zetu katika Imaan, na huko ndiko alikozaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) pale Macca na kufia MadinaMfanyakazi wa asili ya Afrika ameonekana akinyonyesha mbwa huko Saudi Arabia
View attachment 2381679
Hii nchi kwa nini inachukia na kunyanyasa sana Waafrika? Maana tangu nijue kusoma sijawahi kusoma nchi inayotesa Waafrika kama hii, visa ni vingi sana
Kwa nin Waafrika tusiungane na kuisusia hii nchi na kufunga balozi zetu zote huko? Tutakosa nini?
Wanafanyiwa mengi zaidi ya hayo kuna jamaa angu alinitumia video wanachofanyiwa dada zetu huko hali inatisha.
Mfanyakazi wa asili ya Afrika ameonekana akinyonyesha mbwa huko Saudi Arabia
View attachment 2381679
Hii nchi kwa nini inachukia na kunyanyasa sana Waafrika? Maana tangu nijue kusoma sijawahi kusoma nchi inayotesa Waafrika kama hii, visa ni vingi sana
Kwa nin Waafrika tusiungane na kuisusia hii nchi na kufunga balozi zetu zote huko? Tutakosa nini?
Hapana, wengi wanaoenda huko wanakuwa hawana elimu kuhusu mateso ya hukoTatizo sio wao,tatizo ni sisi...mijitu kila siku inaskia mateso ya huko na bado inaenda tu. Kama sio kukosa akili ni nini
Hapana, wengi wanaoenda huko wanakuwa hawana elimu kuhusu mateso ya huko
Serikali ilitangaza rasmi tunasusia hawa watu italeta muamko
Ila nyie wavaa kobazi akili hamna, hivi kwa nn wewe mmakonde unajiona pia ni mwarabu kisa tu una Imani sawa na wao?Huwa unapata faida gani kuwachukia/sema waarabu vibaya? Hivi watoto wako watajifunza nini kutoka kwa baba mzazi kama wewe kila kukicha kuwasema waarabu, aise unakazi[emoji28] Mungu aniepushie mbali haya
Bhujiku ng'waka
Dubai huko si wanalishwa mavi kabisa?Mfanyakazi wa asili ya Afrika ameonekana akinyonyesha mbwa huko Saudi Arabia