Kwanini hii nyimbo haikuwahi kupata tuzo yoyote hata ya mchongo

Kwanini hii nyimbo haikuwahi kupata tuzo yoyote hata ya mchongo

Metronidazole 400mg

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
1,177
Reaction score
2,553
Naibu waziri wa sanaa, utamaduni na michezo, hamisi Mwinjuma almaarufu MWANA FA.......kipindi cha huko nyuma alishawahi kutoa hii nyimbo inaitwa KAMA ZAMANI FT MAN DOJO NA DOMOKAYA

Hii ni ngoma kubwa sana na inayoishi na alitumia akili kubwa sana, kuanzia kuandika production na kila kitu kama unajua mziki utanielewa.

Kwangu mimi hii ni ngoma yangu bora kabisa ya muda wote, huwezi kuikosa kwenye playlist yangu.

Nichukue nafasi kupitia jukwaa hili kubwa la JF, kumpongeza Mheshimiwa mwana FA, Mwanangu hii ngoma ni kila sanaa sanaa, hawakuwahi kuipa tuzo....ila nyimbo inaishi na itaendelea kuishi hiyo ni tuzo tosha!!

Mzee wa "tusubiri mwongozo" Smart911, ifanye iwe dedication kwa yule kipenzi chako humu Jf mkipishana, Fasta anarudi kwako niamini!!
 
Sikukukukosea ila nilikosea kuamua /
Nakadhani umenikosea sana nikashindwa kuchagua /

Hii nyimbo ndio nyimbo bora ya majuto ya kuachwa
Saxophone 🎷 ya wana njenje sio masikhara
Mandojo na domo kaya kile kiitikio kama cha waimba kwaya ya kijitonyama

Perfection
 
Umeona sasa...
Noma sanaa, aina hii ya mziki sikuizi hakuna kabisa.....Respect to him
 
Back
Top Bottom