Sijawahi kuuona mjadala wowote unaopinga historia ya Sheikh Mohammed Said. Sio Nkuruma Hall, sio katika kumbi nyengine za wasomi, ukiondoka hapa Jf ambapo watu wanajificha nyuso zao ndio wanajadili.
Pia soma:
www.jamiiforums.com
Au tunaongoja sheikh Mohammed Said amefariki ndio tuitane Nkurumah hall ili tukose majibu?
Pia soma:
Sheikh Mohamed Said heko wewe ni gwiji la historia Sasa mambo yanajitokeza hadharani!
Asalaam aleykum Al-Akh, Sheikh Mohammed Said kwa muda mrefu tumekuwa tukijadiliana kwa marefu na mapana kuhusu historia ya Tanzania. Ukaleta kitabu cha life and times of Abdulwahid Sykes watu wakakubeza. Kikaja kitabu chengine cha the Rise of Muslim Militants wakakubeza. Ukweli umeanza...
Au tunaongoja sheikh Mohammed Said amefariki ndio tuitane Nkurumah hall ili tukose majibu?