Kwanini historia anayosimulia Sheikh Mohammed Said haipingwi hadharani?

Kwanini historia anayosimulia Sheikh Mohammed Said haipingwi hadharani?

Mambo mengine kuyajadili ni kupoteza muda tu, Historia ya Wazee wa Kariakoo ijadiliwe huko huko kariakoo. Nyerere aliona mbali sana
Nyerere ali washinda abdul sykes na wazee wa pwani akili .
USifanye mchezo na elimu ya missionary wakimpika mtu anapikika kwelikweli.
Waislam walikuwa hawana roho mbaya nae, kama nyie ingalikuwa shida tena
 
Hakuna research pale nakwambia,research iishie wigo wa Kariakoo na Dar tu huku ikizunguka kwenye dini uiite research?

Utamsikia akisema hii imesomeshwa sijui chuo gani marekan mara profesa fulani aliniomba nimtumie nakala asijue wazungu humsikiliza yeyote hata kama mwendawazimu alimradi wapate kumsoma ufahamu wake.
BBC , CNN , ALJAZERA wanamtumia, weye na chuki zao unapiga majungu
 
Malaria2,
Hiyo picha ya mkusanyiko wa wananchi imepigwa na Mohamed Shebe.

Shebe ndiye alikuwa mpiga picha wa kwanza wa TANU na mpiga picha wa Nyerere.

Mimi kanipiga picha yangu ya kwanza mwaka wa 1953 na ninayo hadi leo na hapa jamvini nimepata kuiweka.

Katika hiyo picha angalia mkono wa kushoto utaona kuna sehmu nyeusi.
Hapo ndipo wakikaa wanawake na huo weusi ni mabaibui.

View attachment 3080964
Mohamed Shebe
View attachment 3080965
Safari ya Kwanza Nyerere UNO 1955​
Hongera sna Sheikh Mohammed Said, Allah akuweke. wanajua hawa watu
 
Mkuu ni quote kwa tahadhari na umakini
Muulize sheikh Said, waislam walikuwa wangapi hapo na wasiokuwa waislam wangapi? kama 90% ya wapiga ni waislam halafu mkiristo anashinda, unahisi nini kwamba mkiristo anaakili kubwa? ile sio mashindano ya hesbu
 
Hili ndio tatizo lako na mzee wangu Mohamed, kila kitu mnakitazama kwa Jicho la 'Ukristo' na 'Uislam', Hayati Nyerere aliona mbali sana kuwaweka pembeni hao wazee wa Kariakoo, wangeligawanya taifa hili katika misingi ya udini.
 
kumbe umekubali kwamba wazee wa kariakoo ndio waliopigania uhuru. mwanzo si ulipinga, ukasema Moshi ndio walioiganmia uhuru kabla Sheikh Mohammed Said kuweka sawa?
 
BBC , CNN , ALJAZERA wanamtumia, weye na chuki zao unapiga majungu
Nimekwambia hapo juu wazungu bila kujali wewe ni mzima au siyo mzima kiakili watakupa air time uzungumze unachokitaka ikiwa tu wanajua kwa kufanya hivyo kwao watapata ushabiki na haiwadhuru.

Mzee Mohamed anayoandika alisimuliwa na anachokosea zaidi anapunguza materials alizosimuliwa kwa malengo yake anayoyajua mwenyewe kama kuondoa watu ktk simulizi zake kwa kigezo cha dini,Kariakoo kuna mzee akiitwa Sungura ni babu yake Maulid Kitenge huyu mzee nimemfahamu pale mtaa wa Sukuma na Kariakoo since 1998 alikuwa akizungumza sana habari za CCM na uhuru hasa kwa upande wa pwani hii ya Dar es salaam walioshiriki kulikuwa na mchanganyiko mkubwa wa majina lakini leo tunaambiwa ni kikundi fulani kwa mrengo wa dini fulani kilileta uhuru wa nchi.
 
wewe baada ya Redio maria kuimba kwaya kama nafasi yako , wapi tena umepewa air time?
 
Aandike hostoria ya gaza wenzie wanavyokung’utwa aache stor za uongo na ukweli za miaka ile nyerere anapigania uhuru wazee wake wanajificha kwenye mashamba ya mihogo kigamboni leo anawajumlisha nao wapigania uhuru
Utakuwa na chuki binafsi. wewe wenzio wa UKRAIN?
 
Siyo waarabu tena?
Lucy Lameck: Mwanaharakati wa Tanzania ambaye barabara ya Ujerumani kupewa jina lake - BBC News Swahili soma hapo Mwanahistoria Mohammed Said - Kimataifa

Nimemuuliza mwanahistoria nguli wa Tanzania, Mohammed Said; ni vipi alikuwa na umuhimu mkubwa katika harakati za TANU?
"Lucy alikuwa mwanamke msomi ndani ya TANU. Kwa kushirikiana na wanawake wengine Halima Selengia, Amina Kinabo, Mama Bint Maalim waliifanya TANU kuwa na nguvu Moshi".
Mohammed anaendelea, "katika matawi yote ya TANU Tanganyika, hakuna tawi lililopata nguvu kutoka kwa wanawake kama tawi la Moshi Mjini. Akina Mama hao walileta ngoma ya Msanja ambayo ilichangamsha chama".
Baadae Lucy kwa ufadhili alisoma katika Chuo cha Ruskin, huko Oxford, Uingereza na chuo kingine huko Michigan, Marekani kabla ya kurudi Tanzania na kuingia katika siasa moja kwa moja.
Bi Lucy alikuwa mpinzani wa wazi wazi wa ukoloni. Katika mahojiano yaliyochapishwa Febuari 1960 na jarida la Jet la nchini Marekani, aliulaumu ukoloni kwa umasikini uliokuwepo Tanganyika.

Katika mahojiano Lucy alieleza juu ya ukoloni wa Uingereza kuwa, "utaondoshwa na kurudishwa England hivi punde".

KAMA WAZUNGU WANAMUITA NGULI, WEWE STD 7 UNALETA MATUSI HUMU. HALAFU BAADHI YA WATU HUMU WANAULIZA KWANINI WANASHERIA WA KENYA WAMEWAZIDI MARA 100 WANASHERIA WATZ.
 
Back
Top Bottom