- Thread starter
- #61
Utaumia kwa chuki halafu upate presha ujiulize. kama wasomi duniani wanamwita mwanahisria nguli inatosha kupata heshima yakeHahahahaha akaamua kuweka ktk vitabu ,akaita historia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaumia kwa chuki halafu upate presha ujiulize. kama wasomi duniani wanamwita mwanahisria nguli inatosha kupata heshima yakeHahahahaha akaamua kuweka ktk vitabu ,akaita historia
Malaria...Hongera sheikh Moahmmed Said, wapagani wakisikia hio wanatype kwa uchungu humu, wao hata kitabu cha faida ya kufuga kuku hawajuwi kuandika,
Malaria...
Ahsante ndugu yangu.
Video hiyo hapo chini Gumzo la Ghassani imeangaliwa na watu 9.5 K:
View: https://youtu.be/oeaXzJY47bc
Hahahahaha, huyo ni mzee wangu namuheshimu sanaUtaumia kwa chuki halafu upate presha ujiulize. kama wasomi duniani wanamwita mwanahisria nguli inatosha kupata heshima yake
ILA?Hahahahaha, huyo ni mzee wangu namuheshimu sana
Hahahahaha napenda kumchallenge ili azidi kuweka madini ,na wengine nione kama wanachojua kama yeyeILA?
akiweka humu andiko. mnavamia kama nyuki aliemuna mtu, halafu unasema wanadharau
Huyu mzee shida yake anaamini nchi hii ni waislam pekee yaoSijawahi kuuona mjadala wowote unaopinga historia ya Sheikh Mohammed Said. Sio Nkuruma Hall, sio katika kumbi nyengine za wasomi, ukiondoka hapa Jf ambapo watu wanajificha nyuso zao ndio wanajadili
Au tunaongoja sheikh Mohammed Said amefariki ndio tuitane Nkurumah hall ili tukose majibu?
View attachment 3080932
View attachment 3080935
ALICHOSEMA YEYE WAISLAM WAMEONGOZA MAPAMBANO YA UHURU WAKATI WENGINE WAKIPINGA UHURU, BAADA YA KUONA HIVYO MWALIMU AKAAMUA KUUNGANA NA WAISLAM KUPIGANIA UHURUHuyu mzee shida yake anaamini nchi hii ni waislam pekee yao
So unapokuwa na mwana historia mwenye perspective ya upande mmoja hawez keta history ya kweli
.
Kama walivyo waislam wengine duniani kuamini kuwa wao ndo watu bora zaidi kuliko wengine na wenye uelewa zaidi kuliko wengine basi pia mzee said anaamini waislam wa tanzania ni bora zaidi na walifanya mengi zaidi kuliko wengine
Pia anaamini waislam ndo wasomi zaidi kuliko watu wengine n wana uelewa zaid kuliko watu wengine
Kwa mantiki hiyo huyu mzee ni mwanahistoria wa jamii ya kiislamu na maandiko yake yataishia kwa jamii husika kuja kwenye jamii ya kisomi ni ngumu yataishis kwenye misikit vijiwe vya kahawa nje ya misikiti..... huko zanzibar maana maandiko yake ni ya jamii hiyo tu na mara nyingi kulalamika mara mfumo kristo mara sijui tunaonewa
LA MWISHO MZEE SAID UKISOMA COMMEMT HII ANDIKA KITABU KITACHOFANYA WAISLAM WENZIO WAPENDE ELIMU DUNIA ......SIO KUKAA TU ELIMU ZA MADRASSA BAAADAE KUJA KUANDIKA HISTORIA ZA MALALAMIKO
Lkn kujadili humu sio kupoteza mudaMambo mengine kuyajadili ni kupoteza muda tu, Historia ya Wazee wa Kariakoo ijadiliwe huko huko kariakoo. Nyerere aliona mbali sana
Mzee Mohamed Said HAJAWAHI kuandika historia yoyote ya maana Tanzania. Kwahiyo hata akifa atakumbukwa na watu wa Mtaa wa Tandamti tu! Ahahahahaha!!!Sijawahi kuuona mjadala wowote unaopinga historia ya Sheikh Mohammed Said. Sio Nkuruma Hall, sio katika kumbi nyengine za wasomi, ukiondoka hapa Jf ambapo watu wanajificha nyuso zao ndio wanajadili
Au tunaongoja sheikh Mohammed Said amefariki ndio tuitane Nkurumah hall ili tukose majibu?
View attachment 3080932
View attachment 3080935
Soma makala nyingi za huyo mzeee ni praise team ya kiislamu makala zake ..... haya walipigania wewe ungekuwa muingereza ungewaachia nchi darasa la saba waaongoze ..... wale wazee wengi wa kariakoo elimu walikuwa hawana hata sifa ya mawaziri walikuwa hawanaALICHOSEMA YEYE WAISLAM WAMEONGOZA MAPAMBANO YA UHURU WAKATI WENGINE WAKIPINGA UHURU, BAADA YA KUONA HIVYO MWALIMU AKAAMUA KUUNGANA NA WAISLAM KUPIGANIA UHURU
Hapo ndio mzee Mohamed alivyowadanganya kuanzi Jamii Forums, vijiwe vya kahawa hadi misikitiniWAISLAM WAKUWA 90% LAKINI MWALIMU KAPA USHINDI UNAHISI KWANINI? WAKATI DINI NYENGINE WAPO BEGA KWA BEGA NA WAZUNGU?
Africa wamesoma sana, wapo maprofesa wengi tena wa dini yako hata madrasa hawakwenda bali wapita sunday school lkn mbona iko nyuma?Soma makala nyingi za huyo mzeee ni praise team ya kiislamu makala zake ..... haya walipigania wewe ungekuwa muingereza ungewaachia nchi darasa la saba waaongoze ..... wale wazee wengi wa kariakoo elimu walikuwa hawana hata sifa ya mawaziri walikuwa hawana
Kule zanzibar nchi alipewa mtu wa darasa la nne ....kisha akaja kufunga mkataba wa muungano na mtu mwenye degree ya makelele .....sasa kosa la nani.....
Aandike kitabu kinaitwa UMUHIMU WA ELIMU DUNIA KWA WAISLAM ....kitawasaidia
Sio kila siku kutuandika history malalamiko wakati watoto kwa ajili ya kwenda shule wanaenda madrassa
akina SOKA?Muda wa kuwapa airtime wachochezi wa dini haupo.
Kinasomeshwa Uganda na Kenya kwenye misikiti au kwenye mtaala wa elimu ya sekondari/ msingi.Hui...
Tuna maduka ya vitabu katika misikiti mitatu Dar-es-Salaam: Msikiti wa Mtoro, Manyema na Kichangani kama vile Wakatoliki walivyokuwa na duka la vitabu la pale St. Joseph's Cathedral.
Kuhusu Wizara ya Elimu na vitabu vyangu hiyo inataka muda ila kwa ufupi wamekwepa kitabu changu, "The Torch on Kilimanjaro," cha Oxford University Press, Nairobi (2006).
Kitabu hiki kinasomeshwa Kenya, Uganda na kwengineko ila Tanzania.
Uchuro huo nani anataka?? Waislamu wanaotaka kusoma wanajuwa vitabu vya kusoma lakini hawahangaiki na hiyo itikadi ya mzee Mohamedmtunga mitaala ndio wewe, hapa umeonesha chuki zako zidi ya msikiti. ndio utaiweka katika mitaala ya shule ambapo mwanao asome?