Kwanini historia anayosimulia Sheikh Mohammed Said haipingwi hadharani?

Huyo mzee,anachoandika ni zaidi ya asilimia 90 ni ukweli!

Historian ya kiada ya vitabu vya shule msingi na secondary ni ya kutunga na mapishi meengi sana!

Ni kweli kwamba uhuru ulipiganwa na wazee wa pwani walioiunda TANU na Nyerere alitumwa na wazungu ndani ya TANU ku neutralize harakati zisiwe chungu Kwa wakoloni Ili aimamie transition vizuri Kwa favor ya wazungu !!!

Hakuna anaeanzisha mjadala was maandiko ya huyu mzee said coz wanaona no ukweli kabisa na hofu ya kuzua taharuki watu wakijua ukweli!!

Mungu amlinde huyu Mzee mi namuona kama version ya Mchungaji Mtikila ya upande wa pili wa kidini!!
 
Sijawahi kuuona mjadala wowote unaopinga historia ya Sheikh Mohammed Said. Sio Nkuruma Hall, sio katika kumbi nyengine za wasomi, ukiondoka hapa Jf ambapo watu wanajificha nyuso zao ndio wanajadili

Au tunaongoja sheikh Mohammed Said amefariki ndio tuitane Nkurumah hall ili tukose majibu?

View attachment 3080932

View attachment 3080935
Huyu mzee shida yake anaamini nchi hii ni waislam pekee yao

So unapokuwa na mwana historia mwenye perspective ya upande mmoja hawez keta history ya kweli
.
Kama walivyo waislam wengine duniani kuamini kuwa wao ndo watu bora zaidi kuliko wengine na wenye uelewa zaidi kuliko wengine basi pia mzee said anaamini waislam wa tanzania ni bora zaidi na walifanya mengi zaidi kuliko wengine

Pia anaamini waislam ndo wasomi zaidi kuliko watu wengine n wana uelewa zaid kuliko watu wengine

Kwa mantiki hiyo huyu mzee ni mwanahistoria wa jamii ya kiislamu na maandiko yake yataishia kwa jamii husika kuja kwenye jamii ya kisomi ni ngumu yataishis kwenye misikit vijiwe vya kahawa nje ya misikiti..... huko zanzibar maana maandiko yake ni ya jamii hiyo tu na mara nyingi kulalamika mara mfumo kristo mara sijui tunaonewa

LA MWISHO MZEE SAID UKISOMA COMMEMT HII ANDIKA KITABU KITACHOFANYA WAISLAM WENZIO WAPENDE ELIMU DUNIA ......SIO KUKAA TU ELIMU ZA MADRASSA BAAADAE KUJA KUANDIKA HISTORIA ZA MALALAMIKO
 
ALICHOSEMA YEYE WAISLAM WAMEONGOZA MAPAMBANO YA UHURU WAKATI WENGINE WAKIPINGA UHURU, BAADA YA KUONA HIVYO MWALIMU AKAAMUA KUUNGANA NA WAISLAM KUPIGANIA UHURU
 
Sijawahi kuuona mjadala wowote unaopinga historia ya Sheikh Mohammed Said. Sio Nkuruma Hall, sio katika kumbi nyengine za wasomi, ukiondoka hapa Jf ambapo watu wanajificha nyuso zao ndio wanajadili

Au tunaongoja sheikh Mohammed Said amefariki ndio tuitane Nkurumah hall ili tukose majibu?

View attachment 3080932

View attachment 3080935
Mzee Mohamed Said HAJAWAHI kuandika historia yoyote ya maana Tanzania. Kwahiyo hata akifa atakumbukwa na watu wa Mtaa wa Tandamti tu! Ahahahahaha!!!
 
ALICHOSEMA YEYE WAISLAM WAMEONGOZA MAPAMBANO YA UHURU WAKATI WENGINE WAKIPINGA UHURU, BAADA YA KUONA HIVYO MWALIMU AKAAMUA KUUNGANA NA WAISLAM KUPIGANIA UHURU
Soma makala nyingi za huyo mzeee ni praise team ya kiislamu makala zake ..... haya walipigania wewe ungekuwa muingereza ungewaachia nchi darasa la saba waaongoze ..... wale wazee wengi wa kariakoo elimu walikuwa hawana hata sifa ya mawaziri walikuwa hawana

Kule zanzibar nchi alipewa mtu wa darasa la nne ....kisha akaja kufunga mkataba wa muungano na mtu mwenye degree ya makelele .....sasa kosa la nani.....

Aandike kitabu kinaitwa UMUHIMU WA ELIMU DUNIA KWA WAISLAM ....kitawasaidia

Sio kila siku kutuandika history malalamiko wakati watoto kwa ajili ya kwenda shule wanaenda madrassa
 
Africa wamesoma sana, wapo maprofesa wengi tena wa dini yako hata madrasa hawakwenda bali wapita sunday school lkn mbona iko nyuma?
 
Hui...
Tuna maduka ya vitabu katika misikiti mitatu Dar-es-Salaam: Msikiti wa Mtoro, Manyema na Kichangani kama vile Wakatoliki walivyokuwa na duka la vitabu la pale St. Joseph's Cathedral.

Kuhusu Wizara ya Elimu na vitabu vyangu hiyo inataka muda ila kwa ufupi wamekwepa kitabu changu, "The Torch on Kilimanjaro," cha Oxford University Press, Nairobi (2006).

Kitabu hiki kinasomeshwa Kenya, Uganda na kwengineko ila Tanzania.
Kinasomeshwa Uganda na Kenya kwenye misikiti au kwenye mtaala wa elimu ya sekondari/ msingi.

Nawashukuru waliokupiga stop Tanzania usieneze itikadi yako mbaya
 
mtunga mitaala ndio wewe, hapa umeonesha chuki zako zidi ya msikiti. ndio utaiweka katika mitaala ya shule ambapo mwanao asome?
Uchuro huo nani anataka?? Waislamu wanaotaka kusoma wanajuwa vitabu vya kusoma lakini hawahangaiki na hiyo itikadi ya mzee Mohamed
 
Back
Top Bottom