Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani apinge? Wana ubavu kwanzaSijawahi kuuona mjadala wowote unaopinga historia ya Sheikh Mohammed Said. Sio Nkuruma Hall, sio katika kumbi nyengine za wasomi, ukiondoka hapa Jf ambapo watu wanajificha nyuso zao ndio wanajadili
Au tunaongoja sheikh Mohammed Said amefariki ndio tuitane Nkurumah hall ili tukose majibu?
View attachment 3080932
View attachment 3080935
Kwa vile tumemdharau na uwongo wake. Mtu anayesifia wazee wake wa Kariakoo kwa nini uhangaike naye?Sijawahi kuuona mjadala wowote unaopinga historia ya Sheikh Mohammed Said. Sio Nkuruma Hall, sio katika kumbi nyengine za wasomi, ukiondoka hapa Jf ambapo watu wanajificha nyuso zao ndio wanajadili
Au tunaongoja sheikh Mohammed Said amefariki ndio tuitane Nkurumah hall ili tukose majibu?
View attachment 3080932
View attachment 3080935
Hui...Kwa vile tumemdharau na uwongo wake. Mtu anayesifia wazee wake wa Kariakoo kwa nini uhangaike naye?
Kama ni vitabu vya maana basi hata Wizara ta Elimu wangeviweka kwenye mitaala ya elimu. Lakini vimeishia kuuzwa misikitini tu hasa msikiti wa Kwa Mtoro
mtunga mitaala ndio wewe, hapa umeonesha chuki zako zidi ya msikiti. ndio utaiweka katika mitaala ya shule ambapo mwanao asome?Kwa vile tumemdharau na uwongo wake. Mtu anayesifia wazee wake wa Kariakoo kwa nini uhangaike naye?
Kama ni vitabu vya maana basi hata Wizara ta Elimu wangeviweka kwenye mitaala ya elimu. Lakini vimeishia kuuzwa misikitini tu hasa msikiti wa Kwa Mtoro
Sijawahi kuuona mjadala wowote unaopinga historia ya Sheikh Mohammed Said. Sio Nkuruma Hall, sio katika kumbi nyengine za wasomi, ukiondoka hapa Jf ambapo watu wanajificha nyuso zao ndio wanajadili
Au tunaongoja sheikh Mohammed Said amefariki ndio tuitane Nkurumah hall ili tukose majibu?
View attachment 3080932
View attachment 3080935
bbc swahili, Germany wanamsikiliza na wanamualika. Nyinyi wachungaji wa makanisa ya Mbagala ndio mnaambia waumini wenu wasisome huku nyinyi hata historia ya kanisa unaliloongoza hujui, umejengewa wala huulizi pesa zimetoka wapiWATU WAMEMDHARAU .... HATA NYUZI ZAKE KAANGALIE KAMA ZINA WATU WANACHANGIA SIKU HIZI. WATU WAMEMWACHA AONGEE ANAVYOJISIKIA APATE AHUENI. AANDIKE ANACHOJISIKIA. SI KILA KITU CHA KUJIBU
bbc swahili, Germany wanamsikiliza na wanamualika. Nyinyi wachungaji wa makanisa ya Mbagala ndio mnaambia waumini wenu wasisome huku nyinyi hata historia ya kanisa unaliloongoza hujui, umejengewa wala huulizi pesa zimetoka wapi
Waislam wamejibu hadharani mpaka akawa anajificha na kulindwa.UNAMFAHAMU SALMAN RUSHDIE? AMEHOJIWA NA WATU WENGI SANA NA MASHIRIKA MAKUBWA. UMESOMA KITABU CHAKE MAARUFU?
" AYA ZA KISHETANI"
Komeo...WATU WAMEMDHARAU .... HATA NYUZI ZAKE KAANGALIE KAMA ZINA WATU WANACHANGIA SIKU HIZI. WATU WAMEMWACHA AONGEE ANAVYOJISIKIA APATE AHUENI. AANDIKE ANACHOJISIKIA. SI KILA KITU CHA KUJIBU
Hongera sheikh Moahmmed Said, wapagani wakisikia hio wanatype kwa uchungu humu, wao hata kitabu cha faida ya kufuga kuku hawajuwi kuandika,Komeo...
Kuwa nadharauliwa hapana.
Hapa JF nimechaguliwa mwandishi bora mara mbili 2021 na 2022.
OK KWA SABABU ALIONGEA UKWELI? UNAMAANISHA HIVYO? UNAKUJA KWENYE MSTARI SASA.... 😁Waislam wamejibu hadharani mpaka akawa anajificha na kulindwa.
Komeo...
Kuwa nadharauliwa hapana.
Hapa JF nimechaguliwa mwandishi bora mara mbili 2021 na 2022.
akiweka humu andiko. mnavamia kama nyuki aliemuna mtu, halafu unasema wanadharauHUDHARAULIWI. WATU WAMEDHARAU TU WANAENDELEA NA MAISHA YAO.
Hahahahaha akaamua kuweka ktk vitabu ,akaita historiaKwa mtu anayeijua Kariakoo kwa kirefu atagundua mzee Mohamed hajawahi kuandika historia,huyo anaandika zile stories wanazosimuliana vijiweni watu jioni wanapokuwa wametoka kwenye mihangaiko yao huyu akisema hili yule akisema lile alimradi saa ziende waingie ndani kulala.
Na kizazi kilichosimuliana hayo ni kile kilichoishia 2005 kurudi nyuma,anachofanya mzee anayakusanya anayajengea lugha ya kisomi ukichanganya na sympathy ya kidini anayotafuta jambo linakuwa supported na jamii aliyoilenga(anaofanana nao dini) ndiyo maana ana kundi linalomsikiliza na kumuamini.