Oooooooh....basi hata sikujua kuwa unashindana nami. Nlijua twapeana Ilimu/darsa kumbe sheikh wangu ulikuwa unashindana? Hapana kwa sasa napumzika na nina mambo ya maana ya kufanya kuliko kushindania bure.
Endelea kuandika utashinda zaidi naona wote mwapambania tuzo we na mwenizo Yericko naye akusanya tuzo...hongereni sheikh wangu.
Minjingu...
Mimi nishindane na wewe na Yericko Nyerere naanzia wapi?
Mimi nishindane na wewe na Yericko Nyerre tunashindania nini?
Bahati mbaya hata sheria za uandishi huzijui sasa naanza wapi kushindana na wewe?
Mimi ni wa kukufunza wewe kama mwanafunzi si mshindani wangu.
''Ooooooooh....''
Hizo sifuri za nini?
Katika uandishi dots zinakuwa tatu tu...
Jifunze kwanza kuandika.
''Mwenizo.''
Nini hiki?
Hatuandiki kwa ''bold'' yaani ''heavy ink'' pasi na sababu.
Baada ya hayo hapo juu sasa tufahamiane:
PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES
The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as
Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006
Contributing author for an African anthology:
The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.
Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam
Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaaam
Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam
Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam
The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam
Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam,
Sal Davis, An Autobiography, Readit, 2023 (Amazon)
In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).
Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).
Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).
Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).
Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.
Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.
Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.
Awards: Several Awards
Visiting Scholar: (2011)
University of Iowa, Iowa City, USA
Northwestern University, Chicago, Illinois, USA
Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.
OTHER COUNTRIES VISITED
Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.
Minjingu unapaona Dubai kwako ni mbali.
Nakuandikia haya kutoka shajara yangu ya mwaka wa 1991 tarehe 23 December niko Glasgow Scotland likizo shule zimefungwa.
Nimeamka saa 5am nimepika chai na mayai ya kuchemsha niko nyumbani kwangu Cardiff, South Wales.
Nimeondoka na treni kuelekea Crewe 7.49 am.
Tumewasili Crewe 10.30 am.
Tumeondoka kuelekea Glasgow 11.25 am.
Tumewasili Glasgow 3.30 am.
Mji umefurika X Mass shoppers hakuna hata pa kutia mguu.
Nimefika Edinburgh mara kadhaa.
Nimefika hadi North Sea.
Gleneagles, North Sea, Kaskazini kabisa ya Uingereza nikifananisha na nilikotoka Kariakoo hakika ni mbali.
Mbali yako ni Dubai.
Ati mimi nishindane na wewe na Yericko Nyerere.
Naanzia wapi?
Carlton Hotel, Dubai 1999
Burj Khalifa, Dubai 2016