Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Salamu za Mangi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli sema wana experience ya biashara toka kitambo kwa akili eti ndo wana akili kuliko wote big noooo sema pia waliwahi pata fursa ya shule wazungu walikimbilia kwa wachaga sababu ya rutubaWachagga, Wakinga, Wapemba na Wahindi ni makabila ya kuigwa. Ni watu ambao uwezo wao wa akili uko juu kuliko jamii nyingine za ki-tanzania.
Sasa mawazo ukatoa ya kazi ganiKijana Tembosa historia ya wachagga inawahusu wachagga wenyewe, sie ya nini? Ukitaka hiyo historia nenda uchaggani ukaisome kwa raha zako mwenyewe, sie wengine haina umuhimu kwetu.
Mbona kwenye orodha ya vyeti fake, ingawaje wengine wamerudishwa baada ya kukata rufaa, asilimia kubwa ya surname/ ubini ulikuwa wa hao jamaa.
ni tabia ya watu duni km ww kuwachukia waliofanikiwa .mchaga atabaki kuwa mchaga na huo ndio ukweli. walishawaacha. utabaki unaimba singo hyohyo hadi lini? CHEZEA MANGI.Historia pekee nayoikumbuka na niliyofundishwa shuleni ni ya ule unafiki na usaliti wa kati ya Mangi Sina na Mangi Meli waliposalitiana mbele ya wazu gu. Pengine hili ni muendelezo wa tunachokiona sasa kutoka huko Kaskazini jinsi wanasiasa wa huko wasivyo na msimamo. Wanaongoza kwa kuhama upinzani huku wakimwaga sifa kedekede kwa utendaji JP licha ya kubaguliwa na kukandamizwa waziwazi. Mengine ni mitazamo yao finyu ya ukabila, kisiasa,kikanda na kidini na utokuwa na misimamo thabiti mwishowe wanabeba majani kuomba msamaha (Sare sare?) kwa mtu asiyestahili.
Shida wanajisifia mno bora mkajiweka chini ili mzidi kuchuma maendeleo bora mkawa kama kagera wanajinadi wako nyuma sana wakati vijiji vyao vimeendelea sana mbonaKama kuna Kabila linalozungumziwa zaidi ni wachagga kwa mabaya na hata kwa husuda. Kumekuwa na notion moja ya kuwa wameendelea sana na kunyimwa maendeleo kwa kisingizio cha wameendelea bwana. Mfano huwezi kuamini baadhi ya wilaya zake hazina hata hospitali za Wilaya. Umaskini umetamalaki kuliko maeneo mengi Tanzania huwezi kuamini.
Wachagga, Wakinga, Wapemba na Wahindi ni makabila ya kuigwa. Ni watu ambao uwezo wao wa akili uko juu kuliko jamii nyingine za ki-tanzania.
Hiyo historia haisemwi popote kwa sababu ni ya uongo. Wachagga waliendelea bila msaada wa wakoloni? Uongo.
Wachagga waliendelea kwa msaada wa wakoloni katika mpango wao wa divide and rule. Huu ulikuwa mkakati rasmi wa Governor Sir Donald Cameron katika sera yake ya indirect rule, na ukaendelezwa na magavana waliofuatia.
Jamii ziligawanywa:
Kwa ujumla hakuna chochote cha kusifia kuhusu maendeleo bandia yaliyonasibishwa kwa machifu wa enzi za ukoloni, wote walikuwa waroho tu na njaa zao. Wazalendo wa kweli ni wale waliosimama dhidi ya wakoloni na vibaraka wao na kuwezesha nchi nzima ya Tanganyika kujitawala.
- Kikabila: majimbo yaligawiwa kikabila, na ndani ya kila jimbo kulikuwa na machifu wa kila kabila, hata yale makabila madogo, waliopewa nguvu za ukibaraka kutawala kwa niaba ya wakoloni. Machifu wa enzi ya ukoloni (including huyo Marealle) walikuwa kama viranja tu waliotumwa kazi na wakoloni
- Kwa mgawanyo wa kazi: Wakoloni walihakikisha jamii za Tanganyika zinatengwa kwa mujibu wa kazi. Manamba wa mashamba ya mkonge na miwa walisombwa kutoka Kigoma, Rukwa, Mbeya na kupelekwa mashambani kwa treni. Askari KAR, magereza na polisi wengi wao walichukuliwa kutoka Mara, Tabora, Iringa. Makarani na walimu walitoka Kilimanjaro na Kagera nk. Hii yote ilikuwa kuhakikisha watanganyika hawawezi kuunganisha nguvu kama taifa.
- Kielimu: maeneo fulani fulani yalipewa elimu bora kuliko wengine na kuaminishwa kuwa wako tofauti sana na watanganyika wengine
- Kipato: Maeneo fulanifulani yaliwezeshwa kujipatia kipato kikubwa kwa mazao ya biashara. Kumbuka wakoloni wenyewe ndiyo walioleta mazao ya biashara ya kahawa, pareto, chai, mkonge nk, lakini kwenye maeneo mengine walinyang'anya ardhi wakawapa walowezi wa kizungu na kwenye maeneo mengine wakaruhusu wakulima wenyeji kulima mazao hayo kwenye ardhi yao na kuuza, mfano wake ni huo wa kahawa uchaggani. Hii ilivunja kabisa ule umoja wa kudai ardhi (aliyeruhusiwa kutumia ardhi yake hawezi kuungana na aliyenyang'anywa ardhi)
- Kiimani: serikali ya kikoloni ndiyo iliyoamua mgawanyo wa wamisionari wa kikristo kwenda kutafuta converts sehemu mbalimbali za Tanganyika. Katika kila jimbo, wamisionari walipangiwa maeneo tofauti bila kuingiliana, na walifundisha waumini wao kutengana na wa madhehebu mengine. Wakatoliki walifundishwa kuwatenga waprotestanti nk.
- Kimaendeleo: Wakoloni waliyapendelea maeneo fulani fulani ili yatofautiane na mengine na ili yasitamani kushirikiana na maeneo ya watu 'duni'. Mojawapo ya watu waliopendelewa na wakoloni kwa mtindo huo ni wachagga, hadi kufikia kujiona kuwa wao ni bora kuliko watanganyika wote, na hadi wakatamani wasiwe sehemu ya Tanganyika, na hiki ndicho kisa cha Marealle kutaka uhuru wa wachagga pekee! Mpango huu ungefanikiwa, ungewezesha wakoloni kuendelea kutawala kupitia uhuru bandia wa baadhi ya maeneo kama walivyokuwa wanafanya makaburu kule South Africa.
Mbona kwenye orodha ya vyeti fake, ingawaje wengine wamerudishwa baada ya kukata rufaa, asilimia kubwa ya surname/ ubini ulikuwa wa hao jamaa.
ni tabia ya watu duni km ww kuwachukia waliofanikiwa .mchaga atabaki kuwa mchaga na huo ndio ukweli. walishawaacha. utabaki unaimba singo hyohyo hadi lini? CHEZEA MANGI.
Hii inatokana na historia ya Elimu nchini Tanzania.
Kipindi cha Mwalimu Nyerere, ili kuleta usawa kwenye Elimu, alileta affirmative action. Hii iliitwa "kupiga mark-time". Kutekeleza sera hii, sehemu zilizoonekana kuwa na Elimu kubwa ziliwekewa pass mark kubwa. Pass mark, alama za ufaulu, zilikuwa juu Kilimanjaro, Dar es Salaam (city centre), kuliko sehemu nyingine.
Matokeo yake ni kusababisha wale "waliofeli" Kilimanjaro na maeneo mengine yenye alama za juu, kukimbia na kwenda kusomea maeneo mengine. Huko walipoenda, mfano Lindi, Singida, n.k. hakukuwa na mwamko mkubwa wa elimu. Wazazi wa maeneo ya huko hawakuona umuhimu wa shule. Watu kutoka Kilimanjaro walitumia hiyo kama njia ya wao kuendelea kusoma kwa kutumia majina mengine ya huko.
Ndiyo sababu leo hii ukikagua vyeti feki utaona wale wanaotoka sehemu zilizokuwa na pass mark za juu wapo wengi. Haina maana hawakuingia darasani na kusoma na kufaulu.
JokaKuu
This is a frequent repost, but it is a bit relevant here:
Siri ya mafanikio ya Wachagga ni neema na rehema ya Bwana Yesu Kristo. Bwana Yesu ndie amekua akiwasaidia kwa muda mrefu. Hata ule uamuzi wa mababu zao kusettle kwenye mlima Kilimanjaro ilikua ni msaada wa Bwana Yesu. Bwana Yesu ndie aliwalinda wasiwe katikati ya njia kuu za misafara ya utumwa. Aliwasaidia wawakubali wamissionari wakikristo. Aliwalinda wasinyang'anywe ardhi yao kipindi cha ukoloni. Aliwalinda na anawalinda dhidi ya fitina za kisiasa baada ya uhuru.
Ni muhimu sana kwa Wachagga kuijua injili ya kweli kabisa (bila kujali madhehebu yao) hata kama kwenye maisha yao halisi watakua hawaifuati kikamilifu.
1) Yesu Kristo kwa kiebrania ni Yahushua Mashiah. Yahushua maana yake ni YAHWEH is Salvation. YAHWEH ni Mungu wa Abraham, Isaac na Jacob.
2) Yesu alizaliwa during the Feast of Tabernacles.
3) Siku takatifu ya kikweli kweli kabisa inaanza Ijumaa jioni (jua linapozama) na inaisha Jumamosi jioni (jua linapozama) (Seventh day Sabbath). Avoid kufanya dhambi muda huu (of course tunatakiwa tu avoid kufanya dhambi muda wote).
4) Waafrika weusi (including Wachagga) ni watoto wa Noah kupitia Ham kupitia Mizraim, Cush and Phut.
5) Ni vizuri watu wote (including Wachagga) wa avoid pride, arrogance, malice, hatred and envy.
Mafanikio ya kidunia yatatokana na:
1) Ku successfully participate in the major means of production, distribution and exchange in the economy in an atmosphere of low inequality.
2) Ku successfully participate in the neo-liberal global economy.
3) Kushirikiana vizuri na watu wengine, na kuavoid mahusiano yanayoleta hasara.
4) Majority ya Wachagga wajitahidi kupata elimu ya form 6 na kuendelea.
5) Kuishi a healthy lifestyle (including exercising), itakayowawezesha kuishi kwa muda mrefu huku wakiwa na afya njema kabisa.
Bwana Yesu Kristo anapenda mataifa yote yawe na nuru ya injili ya kweli. Anapenda kuwa na wafuasi kwenye mahema yote ya Shem, Ham na Japheth.
Ni vizuri watanzania waishi vizuri na kushirikiana vizuri na Wachagga (hususan Wachagga waadilifu) katika nyanja mbali mbali kama ambavyo wamekua wakifanya kwa muda mrefu. Ukiona Mchagga muadilifu ana mafanikio ujue sio kwa msuli au akili yake bali kwa neema ya Bwana Yesu Kristo. Kwa hiyo njia bora ya watanzania kufanikiwa ni neema ya Bwana Yesu Kristo.
Part 2
Wachagga ni wachapa kazi kabla hata ya wazungu na waarabu kuja.
Ni kweli hali ya kiuchumi ya wachagga kwa sasa sio nzuri. Hali hii mbaya ilianza baada ya vita vya Uganda, ilizidishwa na economic crisis ya miaka ya mwanzo ya 1980s. Wimbi la privatisation na kurekebisha mashirika ya umma liliwaumiza pia, kwani wafanyakazi wengi wachagga walipunguzwa kazini. Kuporomoka kwa bei ya kahawa miaka ya 1980s. Gonjwa la ukimwi liliwaumiza sana wachagga pia. Muamko wa kimaisha wa mikoa mingi ya Tanzania vile vile imetoa ushindani wa kiuchumi kwa wachagga. kumbuka ni haki, kwa mikoa yote kuamka kimaisha.
Baada ya uchaguzi mkuu wa 1995 wachagga wengi waliondolewa kwenye system ya ndani, ingawa civil servants wachagga bado walikuweko.
Matatizo ya kiuchumi ya sasa ya nchi yalianza baada 2010. Baada ya 2010 serikali ndio once again ikaanza kukopa madeni ya nje kwa riba za kibiashara, hususan baada ya wafadhili kupunguza misaada kwasababu ya scandals zilizotokea wakati huo.
Kwa sasa familia nyingi za wachagga zimeyumba kiuchumi, ingawa wachagga wengi bado wanaweza kuafford vitu vya msingi. Bottom 1/3 wameyumba sana, 1/3 inayofuata wameyumba wastani. 1/3 ya juu wameyumba kidogo. Theluthi ya hiyo 1/3 ya juu, yaani 1/9 top economic group ya wachagga ndio bado wako vizuri. Wachagga vijana wasio na ajira, wachagga wenye ajira zenye mishahara midogo, wachagga wenye ardhi kidogo ya kilimo, wachagga wenye biashara ambazo hazipati faida, pamoja na wachagga wazee wengi wao wameyumba pia. Wachagga ambao wako vizuri ni wale wenye ajira nzuri zenye mishahara mizuri, wenye biashara ambazo bado zinapata faida, wenye ardhi kubwa ya kilimo, na shughuli nyingine ambazo zinaenda vizuri. Familia zilizoyumba kiuchumi mara nyingi huwa zinakuwa na mivutano ya ndani kwa ndani.
Uzi huu unawatia moyo wachagga wakumbuke nguvu yao ya mafanikio inatoka wapi. Na huenda original plan ya Mungu wa Israel ilikua Tanzania iongozwe na wachagga waadilifu tokea uhuru. Ila aliruhusu mambo yawe yalivyokuwa ili wachagga watakapo ongoza nchi makabila mengine yasinung'unike. Na vile vile watakapo ongoza nchi (au wasipo ongoza nchi) waishi kwa kumtegemea Mungu. Kwahiyo ni vizuri watu wakajua kwamba kuwasambaratisha wachagga waadilifu kunaweza kusimfurahishe Mungu wa Israel. Wachagga wawe na subira kwani kipindi cha miaka 70 baada ya uhuru kikija (mwaka 2031) basi hali ya wachagga inaweza ikaanza kua nzuri sana kwa kipindi kirefu. Kuna uwezekano pia hali hiyo isi improve. Pia kuna uwezekano baada ya 2031 akaja Rais mprotestanti atakaependa wachagga, kuna uwezekano hili lisitokee pia.
Pamoja na maelezo hayo marefu kuna wachagga wengi ambao Bwana Yesu anawapigania na kuwasaidia wafanikiwe kimaisha hata kwenye vipindi vigumu. Bwana Yesu pia anagusa mioyo ya watu wa makabila mengine na kuwafanya washirikiane vizuri na wachagga waadilifu. Also indeed ukiweza kuangalia mioyo ya watanzania waadilifu utaona wengi wao kisiri siri wana amini akipatikana Rais mchagga muadilifu, mchapa kazi, mwenye exposure, mwenye akili na ubunifu, nchi itapiga hatua kubwa sana kimaisha na kimaendeleo.
NB: Matatizo mengi yaliyo tajwa hapo juu yamewapata pia watanzania wengine. Also Bwana Yesu anawapenda watu wote.
Siku hizi mambo yote ni Chato,maendeleo yote ni Chato....niambie ni kweli ama si kweli?Hiyo historia haisemwi popote kwa sababu ni ya uongo. Wachagga waliendelea bila msaada wa wakoloni? Uongo.